Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hatujamaliza
Rufiji &uhuru ...leta picha za makole ,viwandani ,au barabara zote 11 hapo CBD yenu
IMG-20240424-WA0002.jpg
 
Toa ushamba wako taasisi uchwara inajengwa na nchi zote za east Africa
Kiukweli Mwanza mnatia Huduma, yaani hako ka stoo ka Samaki ndio kamekutoa maudenda hivyo? Sasa Dodoma watasemaje ikiwa Kila taasisi inajenga Majengo ya Kisasa?
 
Utaborkeka sana mpaka utuambie kwanini kwenu njombe hupapendi
Mitaa kama hii iliyopangika n streets zinaonekana huwezi Kuta Mwanza is Slum 🤣🤣

Usifananishe Njombe na slums za Mwanza.
 
Kama sehemu hupajui Bora useme kuliko kujiainisha. Wenzio tunabishana huku miji tunayoiongelea tunaifahamu in and out
Nikajua umepataja jina kumbe ni bla blaa.Acha kuokoteza picha za mitandaoni zilizotiwa rangi
 
Mwanza mitaa ambayo wanaona ni posh areas ni Capri Point na Igogo na huko kumechanganyikana na uswazi balaa😀😀....tofauti na Dom City Ilazo,Kisasa,Mlimwa C,Area D,Area E,Magereza,Oysterbay huwezi kukuta slums kama za Mwanza milimani
Hapa ndio posh area ya Mwanza.Kuna mtaa mwingine tofauti na huu?
 
Back
Top Bottom