.Dom radio stations zinakaribia 20(Radio Mwangaza,Radio Missionaries,Radio Uzima,ABM fm,A fm,Kifimbo fm,Impact fm,C fm,Rasi fm,Villa fm,Point fm,Dodoma fm,P fm,Nyemo fm,Maisha fm,Zabibu fm,Jamii fm,) , 1 tv station Dodoma TV,4 cable tv stations,online media hizo ndio hazina idadi,magazeti 3 yote yapo active na bonus nyingine zaidi ya nusu ya media zote Tanzania wana sub-office Dom mfano Azam TV,ITV,Mwananchi,Uhuru ,Channel Ten n.k.
Mwenzako jana nimemwambia anitajie listi ya radio stations tulinganishe na idadi ya za Dom akaanza kutaja mpaka za Arusha,Mbeya,Tanga 😂😂