Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Subiri waje najua midayao ni kuanzia saatano usiku wanasubiria bando la bure au vifurushi vya usiku wakishajiunga utaona wanavyoshambulia na makasiriko yao😀😀....alafu ID zao ni zilezile za sikuzote 🤣🤣🤣
 
👇👇👇Tambukareli Government City as seen from above SGR 😀😀
ANGALIZO TU:Hii Tambukareli ni tofauti na Magufuli Government City na baada ya miaka michache Tambukareli itakua Dubai ndogo kwa jinsi maghorofa yanavyoporomoshwa kilasiku. Mwanza saizi yake ni Nakuru sio Dom kubalini tu matokeo🤣🤣
View attachment 3131714
Hakuna kitu hapo mbona hata Nyegezi mwanza ni pazuri 🤣🤣🤣
 
Umekariri picha zile zile na mpaka Sasa kwa taarifa nilizo nazo sehemu hizo zimeanza kuboreshwa taaratibu mpango ulianzia ibanda juu mpaka Sasa ibanda ni miongoni mwa mitaa ya kishua sana mwanza pengine kuliko mtaa wowote hapo ukameni village hapo hatujazungumia mitaa kama vile kapripoint, Bwiru,nyasaka,malaika, ilemela na mingine mingi ya kishua inayochipukia ,,,makao makuu Dodoma yalitangazwa mwaka 1973 lakini licha ya kutangazwa muda wote huo ukameni village imekuja kupandishwa Hadhi kuwa jiji mwaka 2019 wakati mwanza ilitangazwa mwaka 2000 ambapo ni tofauti ya miaka 19 tafsiri yake Nini? Tafsiri yake ni kwamba inahitajika miaka kumi na tisa Dodoma kuifikia mwanza wakati huo mwanza imesimama na kusiwe na ujenzi unaoendelea 🤣🤣🤣🤣🤣kitu ambacho hakiwezekani mwanza kusimama bila ujenzi Hilo halipo🤣🤣🤣🤣kwa takwimu za sensa ya watu na makazi ya 2022 mwanza ndo jiji linalokaribiana sana yaani sana na Dar kwa kuwa na makazi mengi yanayoendelea kujengwa na ni nyumba za viwango utafikiri upo mbweni kwa huku Dar ,,mfano mitaa kama Bwiru duuuuuuuuh ni kisanga cha Karne Kuna majumba ya kifahari yanajengwa sio kawaida 🤣🤣🤣🤣Yaani nyie washamba wa ukameni village wanamwanza wanawashangaa sana mnapotuma picha za vijumba ambavyo havienei hata kwenye mtaa mmoja wa mkolani🤣🤣🤣ukweli mchungu sana huu ila tuvumiliane ,,,Kila jiji Tanzania limewekewa mkakati na serikali kulingana na jiografia yake kama mwanza IPO katikati ya Afrika mashariki kijiografia licha ya makao makuu kuwa Arusha ndo maana serikali imeweka miundo mbinu ya msingi mwanza kama bandari na mambo ambayo nimewahi kuyaanika humu jamvini ,,mwanza haikwepeki ndo jiji kubwa la pili Tanzania na 7.5 asilimia ya mapato ya nchi yanaratibiwa kutokea mwanza Sasa nashangaa mpaka mtu wa Mbeya na Sumbawanga huko anataka kusafishia nyota yake kupitia kuibeza mwanza🤣🤣🤣cha ajabu eti analinganisha jiji la pili na Mbeya iliyojaa nyumba za tope Hadi CBD tuwe serious na mambo ya msingi
 
Achana nao hao wapumbavu , vindunje wanautapia mlo.
Umekariri picha zile zile na mpaka Sasa kwa taarifa nilizo nazo sehemu hizo zimeanza kuboreshwa taaratibu mpango ulianzia ibanda juu mpaka Sasa ibanda ni miongoni mwa mitaa ya kishua sana mwanza pengine kuliko mtaa wowote hapo ukameni village hapo hatujazungumia mitaa kama vile kapripoint, Bwiru,nyasaka,malaika, ilemela na mingine mingi ya kishua inayochipukia ,,,makao makuu Dodoma yalitangazwa mwaka 1973 lakini licha ya kutangazwa muda wote huo ukameni village imekuja kupandishwa Hadhi kuwa jiji mwaka 2019 wakati mwanza ilitangazwa mwaka 2000 ambapo ni tofauti ya miaka 19 tafsiri yake Nini? Tafsiri yake ni kwamba inahitajika miaka kumi na tisa Dodoma kuifikia mwanza wakati huo mwanza imesimama na kisiwe na ujenzi unaoendelea 🤣🤣🤣🤣🤣kitu ambacho hakiwezekani mwanza kusimama bila ujenzi Hilo halipo🤣🤣🤣🤣kwa takwimu za sensa ya watu na makazi ya 2022 mwanza ndo jiji linalokaribiana sana yaani sana na Dar kwa kuwa na makazi mengi yanayoendelea kujengwa na ni nyumba za viwango utafikiri upo mbweni kwa huku Dar ,,mfano mitaa kama Bwiru duuuuuuuuh ni kisanga cha Karne Kuna majumba ya kifahari yanajengwa sio kawaida 🤣🤣🤣🤣Yaani nyie washamba wa ukameni village wanamwanza wanawashangaa sana mnapotuma picha za vijumba ambavyo havienei hata kwenye mtaa mmoja wa mkolani🤣🤣🤣ukweli mchungu sana huu ila tuvumiliane ,,,Kila jiji Tanzania limewekewa mkakati na serikali kulingana na jiografia yake kama mwanza IPO katikati ya Afrika mashariki kijiografia licha ya makao makuu kuwa a Arusha ndo maana serikali imeweka miundo mbinu ya msingi mwanza kama bandari na mambo ambayo nimewahi kuyaanika humu jamvini ,,mwanza haikwepeki ndo jiji kubwa la pili Tanzania na 7.5 asilimia ya mapato ya nchi yanaratibiwa kutokea mwanza Sasa nashangaa mpaka mtu wa Mbeya na Sumbawanga huko anataka kusafishia nyota yake kupitia kuibeza mwanza🤣🤣🤣cha ajabu eti analinganisha jiji la pili na Mbeya iliyojaa nyumba za tope Hadi CBD tuwe serious na mambo ya msingi
 
Umekariri picha zile zile na mpaka Sasa kwa taarifa nilizo nazo sehemu hizo zimeanza kuboreshwa taaratibu mpango ulianzia ibanda juu mpaka Sasa ibanda ni miongoni mwa mitaa ya kishua sana mwanza pengine kuliko mtaa wowote hapo ukameni village hapo hatujazungumia mitaa kama vile kapripoint, Bwiru,nyasaka,malaika, ilemela na mingine mingi ya kishua inayochipukia ,,,makao makuu Dodoma yalitangazwa mwaka 1973 lakini licha ya kutangazwa muda wote huo ukameni village imekuja kupandishwa Hadhi kuwa jiji mwaka 2019 wakati mwanza ilitangazwa mwaka 2000 ambapo ni tofauti ya miaka 19 tafsiri yake Nini? Tafsiri yake ni kwamba inahitajika miaka kumi na tisa Dodoma kuifikia mwanza wakati huo mwanza imesimama na kusiwe na ujenzi unaoendelea 🤣🤣🤣🤣🤣kitu ambacho hakiwezekani mwanza kusimama bila ujenzi Hilo halipo🤣🤣🤣🤣kwa takwimu za sensa ya watu na makazi ya 2022 mwanza ndo jiji linalokaribiana sana yaani sana na Dar kwa kuwa na makazi mengi yanayoendelea kujengwa na ni nyumba za viwango utafikiri upo mbweni kwa huku Dar ,,mfano mitaa kama Bwiru duuuuuuuuh ni kisanga cha Karne Kuna majumba ya kifahari yanajengwa sio kawaida 🤣🤣🤣🤣Yaani nyie washamba wa ukameni village wanamwanza wanawashangaa sana mnapotuma picha za vijumba ambavyo havienei hata kwenye mtaa mmoja wa mkolani🤣🤣🤣ukweli mchungu sana huu ila tuvumiliane ,,,Kila jiji Tanzania limewekewa mkakati na serikali kulingana na jiografia yake kama mwanza IPO katikati ya Afrika mashariki kijiografia licha ya makao makuu kuwa Arusha ndo maana serikali imeweka miundo mbinu ya msingi mwanza kama bandari na mambo ambayo nimewahi kuyaanika humu jamvini ,,mwanza haikwepeki ndo jiji kubwa la pili Tanzania na 7.5 asilimia ya mapato ya nchi yanaratibiwa kutokea mwanza Sasa nashangaa mpaka mtu wa Mbeya na Sumbawanga huko anataka kusafishia nyota yake kupitia kuibeza mwanza🤣🤣🤣cha ajabu eti analinganisha jiji la pili na Mbeya iliyojaa nyumba za tope Hadi CBD tuwe serious na mambo ya msingi
Gazeti refu hujui hata kupangilia hoja...kila comment unatuambia wewe upo Dar tangu 2018😀😀 sasa umejuaje ujenzi unaoendelea Mwanza kwenye mitaa🤣🤣🤣🤣 USHAMBA PROMAX
 
iMarkup_20241021_215234.jpg
huo uchafu sema tambarare inawafichia mengi
 
Gazeti refu hujui hata kupangilia hoja...kila comment unatuambia wewe upo Dar tangu 2018😀😀 sasa umejuaje ujenzi unaoendelea Mwanza kwenye mitaa🤣🤣🤣🤣 USHAMBA PROMAX
Wivuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwa hiyo nikiwa Dar siwezi kwenda mwanza ushamba wako ndo tatizo na mwezi wa saba mwaka huu nilipita hapo ukameni village nikiwa naenda mwanza likizo🤣🤣🤣
 
Ulisema umeondoka tangu 2018🤣🤣🤣
Wivuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwa hiyo nikiwa Dar siwezi kwenda mwanza ushamba wako ndo tatizo na mwezi wa saba mwaka huu nilipita hapo ukameni village nikiwa naenda mwanza likizo🤣🤣🤣
 
Dom tena💥💥👇👇

Yaani kuanzia mwakani Dom litakua jiji pekee lenye viwanja viwili vya ndege vinavyotumika ndani ya mji mmoja.Ukijumlisha na viwanja vya jirani vya Mvumi,Mpwapwa,Kondoa,Kongwa hapo ni zaidi ya vitano.
Ukija Mwanza sasa😀😀mkoa mzima(wenye halmashauri 8) una kiwanja kimoja tu na chenyewe upanuzi haukamiliki tangu enzi za JK ni siasa tu
 
Nzuguni (Mji wa Watumishi) Residential Apartments -Dom HQ

View: https://youtu.be/X1AictwxwjI?si=YnSSf6rXemnj2wdJ

Kitu ambacho hukijui ni kwamba, NHC kupitia JV wana heavy projects kama 8 ndani ya CBD, Gorofa zinakula nyundo then zinanyanyuliwa scraper mojawapo inaenda 22f nyerere road jirani na Nyerere plaza, Mkabala na central market kuna site mbili zote zinaenda 12f,na maeneo mengine, NHC mitaa ya rufiji kuna nyumba 6 zinakula nyundo na wapangaji wameshahama project ni hospital, NHC wamechukua eneo maeneo ya kigongo karibu na daraja projects Samia scheeme 1000houses zote flats, Bugando hospital wana project mbili, mojaa ni 8f na nyingine ni 15f, Ilemela maeneo ya sangabuye kuna projects zinaendelea, Nyamhongoro wana project ya green and smart city, TBA gana wana blocks nane, moja inaenda kukamilika mbili zina 1f now, Mkabala na rocky city malls kuna project ya 11f,nyie endeleeni kujidanganya, Mwanza haiwezi poa hata kidogo,
 
Back
Top Bottom