Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 709
- 919
Humwamini Ansbert Ngurumo au unataka kuvuta attention?Nimesikiliza wasilisho la Ansbert Ngurumo kwenye Online TV akidai kuwa Rostam aliwapa mkono waombolezaji wote waliokaa mbele na kumruka Kikwete kwenye msiba wa Lowasa huko Monduli.
Mliokuwepo ni kweli jambo hili lilitendeka?
Ungesaidia kama ungejibu swali.Humwamini Ansbert Ngurumo au unataka kuvuta attention?
Kwako sio rahisi kwa Rostam ni rahisiSiyo rahisi
Rostam alikaa mstari wa nyuma Kabisa na Mbowe wakila Nyama choma sasa kiprotokali angefikaje kusalimia mstari Viongozi Wakuu πΌKwako sio rahisi kwa Rostam ni rahisi
Kama walianza lema na makonda kusalimisna na Kisha mbowe na makonda wakafuatia kwenye Ile picha utatambuaje?Eti Lema nae kamgomea Makonda.....duh ni hatari na nusu. Nchi imejaa visasi
Hata ikiwa kweli hiyo inasaidia nini! Rostam hana cha kumfanya Kikwete ataishia kujinunisha tu.
Mnamletea "zeleheba" tajiri?Who is Rostam by the way!!