Je, ni kweli kuwa Rostam aligoma kumpa mkono wa Salamu Jakaya Kikwete?

Je, ni kweli kuwa Rostam aligoma kumpa mkono wa Salamu Jakaya Kikwete?

Miaka ya nyuma sana. Baada ya vita ya Uganda. Kulikuwa na Jenerali Silas Mayunga. Akapelekwa kuwa Balozi Nigeria. Mseveni akaenda ziara Nigeria. Alipokuwa anawasalimia mabalozi hakuamini kumkuta Mayunga kule. Akamruka kumsalimia. Mayunga akaumia.

Baadaye akamwita wakakaa muda mrefu akimuuliza kilichomfanya akapelekwa Nigeria kuwa balozi.

Wanasema alipomaliza ziara haikuchukua muda Mayunga akarudishwa nyumbani.

Hivyo kutomsalimia mtu kunaweza kukawa kwa nia nzuri kabisa.
Sijaelewa kurudishwa nyumbani kulikua kuna benefit gani kwa Mayunga au ubalozi ni demotion ?
 
Aliyeleta mada ametuma njia isiyokidhi,angetumia video na aonyeshe Toka wameingia na mpaka wanaachana,unafeli wapi,unadhani umesimama kumbe kifudifudi!
Tuna deal na kilichopo mezani na siyo hisia za wapambe wa Makonda. Hivi mnalipwa ngapi kumterea Zerobrain?

Makonda anabakia ni mhalifu mwenye bahati hadi siku atakayokutana na hakimu kujibu tuhuma za mauaji na utekaji
 
Back
Top Bottom