Je, ni kweli kuwa Rostam aligoma kumpa mkono wa Salamu Jakaya Kikwete?

Je, ni kweli kuwa Rostam aligoma kumpa mkono wa Salamu Jakaya Kikwete?

Eti yule gabachori wa wa kiirani anayeifilisi nchi kwa kuwanunua viongozi wetu.

wewe utamuita gabachori utamuita muhindi utamuta majina yote ya dharau lakini ujue mwenzako ndie anaekula keki ya taifa hili mda woote weww unakula matembele
 
wewe utamuita gabachori utamuita muhindi utamuta majina yote ya dharau lakini ujue mwenzako ndie anaekula keki ya taifa hili mda woote weww unakula matembele
Siyo matembele peke yake, na ming'oko kabisa 😆😆
 
Leo nimeona kwenye Mwanahalisi kuwa JK alimtuma mtu amuombee msamaha kwa familia ya Lowasa.Lakini familia imeweka ngumu.
 
Who is Rostam by the way!!
Ungekua unafuatilia safari za mama ungejua Rostam ni Nani.
Juzi hukumuona Vatican? Wa RC wangapi wangependa kumbusu papa? Rostam amemtembelea. Rostam sio my RC.
 
Miaka ya nyuma sana. Baada ya vita ya Uganda. Kulikuwa na Jenerali Silas Mayunga. Akapelekwa kuwa Balozi Nigeria. Mseveni akaenda ziara Nigeria. Alipokuwa anawasalimia mabalozi hakuamini kumkuta Mayunga kule. Akamruka kumsalimia. Mayunga akaumia.

Baadaye akamwita wakakaa muda mrefu akimuuliza kilichomfanya akapelekwa Nigeria kuwa balozi.

Wanasema alipomaliza ziara haikuchukua muda Mayunga akarudishwa nyumbani.

Hivyo kutomsalimia mtu kunaweza kukawa kwa nia nzuri kabisa.
Sasa anawezaje kumuuliza ilo swali wakati anateuliwa kuwa balozi huko yeye hakuusika kwenye uteuzi?
 
Nimesikiliza wasilisho la Ansbert Ngurumo kwenye Online TV akidai kuwa Rostam aliwapa mkono waombolezaji wote waliokaa mbele na kumruka Kikwete kwenye msiba wa Lowasa huko Monduli.
Mliokuwepo ni kweli jambo hili lilitendeka?
Kwani lazima?
 
Back
Top Bottom