Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Kutimiza ndoto zisizokuletea furaha na amani ya moyo ni UBATILI MTUPU.
Imeandikwa;
(Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.
Zaburi 126:6)
Maana yake ni hivi;
Mtu hutafuta mali kwa taabu sana lakini hufurahia wakati wa mavuno.
Kikwete ataendelea kuumia moyo siku hadi siku.
Bado hatujagusia ( Alichomtuma Janabi Urusi)
Wasukuma wote wakilijua hili hapatatosha
Kila mtu ana chaguo lake, wapo matajiri na mamilionea wengi waliotajirika Kwa wizi na kuua watu.
Hata hawa wanasiasa wetu kuanzia upinzani mpaka CCM wengi wamefanikiwa Kwa huo ubatili na dhulma nyingi.
Kila mtu anaishi Kwa chaguo lake mengine Mwenyezi Mungu ndiye anayeamua.
Hizo story za sumu sijui Urusi mbona zipo kitambo sana labda kama wewe umesikia jana, Kwa taarifa yako hata humu JF upo uzi kitambo sana unazungumzia hayo una miaka 4 sasa.
Somo; mwanaume ukianzisha vita ukubaliane na madhara yatakayotokea na uwe tayari kupambana kweli maana vita haina macho.