Je, ni kweli kuwa Rostam aligoma kumpa mkono wa Salamu Jakaya Kikwete?

Je, ni kweli kuwa Rostam aligoma kumpa mkono wa Salamu Jakaya Kikwete?

Kutimiza ndoto zisizokuletea furaha na amani ya moyo ni UBATILI MTUPU.

Imeandikwa;
(Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.

Zaburi 126:6)

Maana yake ni hivi;
Mtu hutafuta mali kwa taabu sana lakini hufurahia wakati wa mavuno.

Kikwete ataendelea kuumia moyo siku hadi siku.

Bado hatujagusia ( Alichomtuma Janabi Urusi)
Wasukuma wote wakilijua hili hapatatosha

Kila mtu ana chaguo lake, wapo matajiri na mamilionea wengi waliotajirika Kwa wizi na kuua watu.

Hata hawa wanasiasa wetu kuanzia upinzani mpaka CCM wengi wamefanikiwa Kwa huo ubatili na dhulma nyingi.
Kila mtu anaishi Kwa chaguo lake mengine Mwenyezi Mungu ndiye anayeamua.

Hizo story za sumu sijui Urusi mbona zipo kitambo sana labda kama wewe umesikia jana, Kwa taarifa yako hata humu JF upo uzi kitambo sana unazungumzia hayo una miaka 4 sasa.

Somo; mwanaume ukianzisha vita ukubaliane na madhara yatakayotokea na uwe tayari kupambana kweli maana vita haina macho.
 
Tukio kama hilo alione Ngurumo tu na cameras zote zile?

Ingekuwa ndiyo habari kubwa mitandaoni kuliko hata yule mlevi aliyepigwa banzi barabarani.
 
Miaka ya nyuma sana. Baada ya vita ya Uganda. Kulikuwa na Jenerali Silas Mayunga. Akapelekwa kuwa Balozi Nigeria. Mseveni akaenda ziara Nigeria. Alipokuwa anawasalimia mabalozi hakuamini kumkuta Mayunga kule. Akamruka kumsalimia. Mayunga akaumia.

Baadaye akamwita wakakaa muda mrefu akimuuliza kilichomfanya akapelekwa Nigeria kuwa balozi.

Wanasema alipomaliza ziara haikuchukua muda Mayunga akarudishwa nyumbani.

Hivyo kutomsalimia mtu kunaweza kukawa kwa nia nzuri kabisa.
Mayunga alirudishwa kutokana na matumizi mabaya ya fedha na ulevi uliopitiliza
 
Wewe unahisi hivyo,NAMI nimehisi vile shida Iko wapi?,ulikuwepo !
Deal na kilicholetwa mezani!! Ndoyo maana mnafeli mitihani. Picha imeletwa na mpiganpicha aliyeona tukio na kuweka maelezo.

Wewe kama unadhani Makonda na Lema walisalimiana kabla ya Mbowe basi leta picha hiyo, period
 
Nimesikiliza wasilisho la Ansbert Ngurumo kwenye Online TV akidai kuwa Rostam aliwapa mkono waombolezaji wote waliokaa mbele na kumruka Kikwete kwenye msiba wa Lowasa huko Monduli.
Mliokuwepo ni kweli jambo hili lilitendeka?
Ansbert Ngurumo ni mtu wa ovyo tu na muongo mkubwa. Sijui huko ughaibuni alipopaya ukimbizi bandia wanamlipa bei gani.
 
Msisahau kama wale ndege wawili ndio "makontawa" na wanao amua na kuendesha mambo ya nchi ya kusadikika na ni waigizaji wazuri sana wanao weza kushinda tuzo mbele ya waigizaji maarufu
 
Deal na kilicholetwa mezani!! Ndoyo maana mnafeli mitihani. Picha imeletwa na mpiganpicha aliyeona tukio na kuweka maelezo.

Wewe kama unadhani Makonda na Lema walisalimiana kabla ya Mbowe basi leta picha hiyo, period
Aliyeleta mada ametuma njia isiyokidhi,angetumia video na aonyeshe Toka wameingia na mpaka wanaachana,unafeli wapi,unadhani umesimama kumbe kifudifudi!
 
Kutimiza ndoto zisizokuletea furaha na amani ya moyo ni UBATILI MTUPU.

Imeandikwa;
(Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.

Zaburi 126:6)

Maana yake ni hivi;
Mtu hutafuta mali kwa taabu sana lakini hufurahia wakati wa mavuno.

Kikwete ataendelea kuumia moyo siku hadi siku.

Bado hatujagusia ( Alichomtuma Janabi Urusi)
Wasukuma wote wakilijua hili hapatatosha
[emoji119][emoji119][emoji119]hebu tufumbue macho kiongozi
 
Back
Top Bottom