Je, ni kweli kuwa Rostam aligoma kumpa mkono wa Salamu Jakaya Kikwete?

Naona bado mnaendelea na JK.

Mtambue tu ana miaka 73, ameshatimiza Kila ndoto yake amebakiza jambo moja tu ambalo mpangaji ni mwenyezi Mungu, kifo.

Ameshinda vita zote na wanadamu sasa wamebaki kusubiri misiba waanze kumchamba, kuchamba ni tabia za kike ambazo kimsingi huwa nazo maana hawana nguvu za mapambano.

Mwanaume hupambana kutimiza ndoto zake na sio blah blah na kutegemea mbeleko na kulialia, JK amewahi kuwa Waziri wa fedha, waziri wa nishati na madini, waziri wa maji, na President wa nchi, hata akiwa UDSM amewahi kuwa kiongozi na hata kufika ikulu kuongea na Rais JKN. Kifupi ni kiongozi wa kuzaliwa.
 
Nimesikiliza wasilisho la Ansbert Ngurumo kwenye Online TV akidai kuwa Rostam aliwapa mkono waombolezaji wote waliokaa mbele na kumruka Kikwete kwenye msiba wa Lowasa huko Monduli.
Mliokuwepo ni kweli jambo hili lilitendeka?
Thubutu yake,bila Mkwere Rost Tamu si lolote si chochote huyu si alitolewa jalalani na Mkwere, hivi mnamjua mwenye nchi kwa sasa?
 
Miaka ya nyuma sana. Baada ya vita ya Uganda. Kulikuwa na Jenerali Silas Mayunga. Akapelekwa kuwa Balozi Nigeria. Mseveni akaenda ziara Nigeria. Alipokuwa anawasalimia mabalozi hakuamini kumkuta Mayunga kule. Akamruka kumsalimia. Mayunga akaumia.
Baadaye akamwita wakakaa muda mrefu akimuuliza kilichamya kapelekwa Nigeria kuwa balozi.
Wanasema alipomaliza ziara haikuchukua muda Mayunga akarudishwa nyumbani.

Hivyo kutomsalimia mtu kunaweza kukawa kwa nia nzuri kabisa.
So watoto wa baba mmoja, waliotoka nyumba moja kwenda kwenye hafla moja... Wanajifanya hawajuani kwakuwa hatujui ni nn waliongea wakiwa nyumbani kabla ya kufika kwenye hiyo hafla...

Kwa maana hiyo, tusijichoshe kutaka kujua zaidi, tusiingilie ugomvi wa ndugu wawili, ndege wafananao huruka pamoja
Tuache viherehere kwa hawa wanasiasa
 
Naona bado mnaendelea na JK.

Mtambue tu ana miaka 73, ameshatimiza Kila ndoto yake amebakiza jambo moja tu ambalo mpangaji ni mwenyezi Mungu, kifo.

Ameshinda vita zote na wanadamu sasa wamebaki kusubiri misiba waanze kumchamba, kuchamba ni tabia za kike ambazo kimsingi huwa nazo maana hawana nguvu za mapambano.

Mwanaume hupambana kutimiza ndoto zake na sio blah blah na kutegemea mbeleko na kulialia, JK amewahi kuwa Waziri wa fedha, waziri wa nishati na madini, waziri wa maji, na President wa nchi, hata akiwa UDSM amewahi kuwa kiongozi na hata kufika ikulu kuongea na Rais JKN. Kifupi ni kiongozi wa kuzaliwa.
Kutimiza ndoto zisizokuletea furaha na amani ya moyo ni UBATILI MTUPU.

Imeandikwa;
(Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.

Zaburi 126:6)

Maana yake ni hivi;
Mtu hutafuta mali kwa taabu sana lakini hufurahia wakati wa mavuno.

Kikwete ataendelea kuumia moyo siku hadi siku.

Bado hatujagusia ( Alichomtuma Janabi Urusi)
Wasukuma wote wakilijua hili hapatatosha
 
Naona bado mnaendelea na JK.

Mtambue tu ana miaka 73, ameshatimiza Kila ndoto yake amebakiza jambo moja tu ambalo mpangaji ni mwenyezi Mungu, kifo.

Ameshinda vita zote na wanadamu sasa wamebaki kusubiri misiba waanze kumchamba, kuchamba ni tabia za kike ambazo kimsingi huwa nazo maana hawana nguvu za mapambano.

Mwanaume hupambana kutimiza ndoto zake na sio blah blah na kutegemea mbeleko na kulialia, JK amewahi kuwa Waziri wa fedha, waziri wa nishati na madini, waziri wa maji, na President wa nchi, hata akiwa UDSM amewahi kuwa kiongozi na hata kufika ikulu kuongea na Rais JKN. Kifupi ni kiongozi wa kuzaliwa.
Nnje ya mada
 
Tusahihishane!.
 
Kwa nchi hiz zetu Lakin kwa nchi zinazojitambua yule mzee anafaa kuwa diplomatic sio rais. Jiulize ni kitu gan alifanya b4 hajawah rais vya kumpa credit ya kuwa rais. Kuwa Wazir sijui nini sio ishu kwa manchi yetu ya kiafrica.
 
Back
Top Bottom