Sasa ili ujue kama kuna ukweli au hamna anza sasa kuutafuta ukweli"Kwanza kabisa ningependa ndugu zangu tutambue ya kwamba sisi binadamu tupo katika ASTRAL, inamaana kwamba hakuna tofauti yeyote ile katika ulimwengu unaoonekana na usiooneka, Vitu ambavyo unaweza kuvijua au kuexperience wakati umekufa pia unauwezo wa kuvitambua sasa, hivyo basi jukumu ni lako kama utataka kuvijua sasa au hadi pale utakapoonja mauti."
Hapa naona logic inagoma na ukweli haupo!!
Sasa ili ujue kama kuna ukweli au hamna anza sasa kuutafuta ukweli
Hapa naona kama mimi na wewe kuna mahali hatujaelewana au labda umeelewa nilichoongelea bali tu umeamua kuweka changamoto.Definition ya neno 'ASTRAL' uliotoa hapo haifanani na zile za kwenye kamusi ya Kiingereza. Pili nini maana ya ulimwengu unaoonekana na usio onekana? Ninachojua mimi mpaka sasa kuna ulimwengu ambao ni physical, na ule ambao ni social ambao tume-construct sisi na tunaweza kuutolea scientific empirical evidence.
Halafu kama hakuna tofauti kati ya ulimwengu unaoonekana na ule usio onekana kwa definitions zako ambazo haujatuambia sasa kuna point gani ya kutaka kutofautisha? Scientifically, kwenye physical world kuna vitu hatuvioni au ku-feel kwa kutumia senses zetu ila tunavifahamu kwa kutumia scientific tools kama microscopes, Hubble telescope. Na pia kuna vitu hatuvioni ila tunasikia effects zake mfano upepo na tunatumia instruments kupata uhakika.
Iweje mwili ambao una systems za ku-experience mambo yaliopo kwenye physical na social world baada ya kufa na systems zote kuzimika na biodegradation/ decomposition kukamilika ndani ya karibu mwaka mmoja baada ya kufa zifanye kazi? Au iweje mtu u-experience death wakati ukiwa hai na kinyume chake pia?
Sasa ili tuutafute ukweli unaotuambia hupo tupatie known and agreed scientific methodology and methods ili to replicate unayotuambia otherwise this is a mere hallucination!
Hakuna popobawa wala nini,
Ugumu tu wa maisha ndio unawafanya watu wanahisi vitu visivyokuwepo kuna ambao wamemuona mpaka Nyerere kwenye miti
Hahahahahaha hivi hilo swala la kumuona Nyerere kwenye miti limeishia wapi?? Maana sasa hivi naona kimya kabisa hakuna anaeliongeleaFor real. Stress za maisha zinasababisha watu kujenga taswira ya vitu visivyokuwepo.
Nawashangaa hadi kesho waliomuona Nyerere kwenye muembe.
Hakuna cha moto wala niniDuh sijui nimechelewa wapi kuisoma hii mada.
Hivi hiyo siku ya mwisho Mungu atashindwa kabisa kuwasamehe Waliomkosea??
Atawachukua walio wema na kukaa nao katika ufalme wake?
Wengine atawaingiza motoni na kuwaunguza milele bila huruma???
Itakuwaje kama kweli kuna 'kitu' kinaitwa mwisho wa dunia?Hakuna cha moto wala nini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna cha moto wala nini
Hakuna mwisho wa dunia bali kuna mwisho wa maisha tu(siku unapokufa)Itakuwaje kama kweli kuna 'kitu' kinaitwa mwisho wa dunia?
leta uthibitisho!Hakuna mwisho wa dunia bali kuna mwisho wa maisha tu(siku unapokufa)
Acha ubwegeleta uthibitisho!
Sijui,wanaojua ni wao sisi tunabuni tu.We toka watu waanze kufa umeona nini zaidi??