Mbona una unataka kuleta ugomvi?Acha ubwege
Mifo=kupoteza uhai
Maana yake maisha yako yameishia hapo km vipi nenda mochwari kachukue maiti ili ziendelee kuishi hadi huo mwisho wa dunia unaouamini
Nyie ndo mnaoamini mmeumbwa kwa udongo badala ya nyamaMbona una unataka kuleta ugomvi?
Aliyesema naamini mwisho wa dunia nani?
wewe unayesema hakuna leta ushahidi!!!
Yani mwisho wa zaidi ya unapokufa?? Huo mwisho hakuna kabisa
Unachokifanya ni kusema tu,ila hauna ushahidi.Nyie ndo mnaoamini mmeumbwa kwa udongo badala ya nyama
Uthibitisho gani unaotaka wakati nimesema ukifa ndio mwisho wa maisha na hakuna mwisho wa dunia bali kifo chako ndo mwisho wa uwepo wako duniani
Kwa hiyo ukiwaza vitu ambavyo havipo vinatokea kweliHakuna popobawa wala nini,
Ugumu tu wa maisha ndio unawafanya watu wanahisi vitu visivyokuwepo kuna ambao wamemuona mpaka Nyerere kwenye miti
Kumbe kinafanyika nini sasa humu?Hakuna mtu aliyeponda kitu bali hiyo ni tafsiri yako tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna popobawa wala nini,
Ugumu tu wa maisha ndio unawafanya watu wanahisi vitu visivyokuwepo kuna ambao wamemuona mpaka Nyerere kwenye miti
Tatizo sio kuona bali ni hakika wa kile unachoamini maana mbona kuna watu wanaabudu binaadamu wenzao ambao wako hai na wanaonekana kabisa,sasa sidhani wao kuona wanachokiabudu kinafanya kuwa ndio usahihi wa vile wananvyoamini kuhusu hicho wanachoabudu.Mkuu huu uzi Umenifanya nifikirie vitu kadhaa kwa wale wenzangu wanaokariri vitu..
Mf;,Mtu anaenda kusali ili siku moja asijekuchomwa moto.
Nawakati hajui.
Yeye ni nani.
Ametoka wapi.
Anakwenda wapi.
Maisha ni nini?
Mungu ndo nini?.
Umhimu wa uhai wako ni upi?
Haki ya Mungu ndo ipi?
Umeshahitimu kutimiza mapenzi ya kile unachokitegemea?
Ujinga wa waumini wengi ndo hufany mambo kuwa Magumu zaidi kwasababu wannasema wanatimiza mapenzi ya Mungu ili siku moja nisiendeMotoni nami najiuliza unaweza kweli kutimiza mapenzi ya Kitu kilicho nje ya uwezo walko? Kwasababu weww umekuwa mtu wa kutubu je siku ukifa na bado haujatubu itakuaje? Maanna kifo chenyewe hujui lini kitakukuta......Leo unakuta mtu anapoteza mda msikitini anabudu kisichoonekana hakijui kikoje kipo au hakipo unaabudu nadharia tuuuu ivi unauhakika ganu kuwa hicho kiliumba dunia? Any way ni mambi magumu sana Bora ata wakristo kwa upande mmoja au mwingine wao wanasema Mungu wao alikujaga Dunian akafanana nao na sasa atarudi tena kuwachukua na kumalizia enzi ya maisha ya mwanadamu. ila nawashauri wote tutumie mda wetu vizur tujikite kuutafuta ukweli Ili Tuwe huru uweze kujibu maswal mhim katka maisha yako TUACHE KUABUDU NADHARIA Maana Binadamu hufurahi kuonavitu visivyoonekana na hivo ndo humpa faraja mf; mtu anapofikiria one day i will be tajiri Nitamiliki hichi na hichi ...ukimuangalia moyoni mwake huwa anafurahi na kujifrij kwa kujipotezea mawazo tu! Kwahyo ndugu zangu katika IMANI TUACHE NADHARIA TUHAKIKISHE KATIKA HISTORIA ZA MABABU KUWA WAMESHAWAHI KUKIONA KILE UNACHOKIABUDU? KAMA HAPANA WEWE UNATHIBITSHA VIPI?
Hivi ni nani aliyegundua kuwa tuna nguvu ndani yetu na jinsi kuzitumia hizo nguvu?Mtego uliopo, ni kwa namna gani wewe mwanadamu utajua nguvu ulizonazo within? Kuna siku niliamua kukemea pepo, aisee lilihamanika sana...sikuwa na uzoefu kabla na mimi si mwana dini hapana, ila it worked out. Tangu nikiwa mtoto sijawahi kuota ndoto mbaya na nikashidwa, kama ni mchawi namfumua hatari..kama ni simba namtoa mbio balaa, kama ni nyoka basi hafui dafu nk.
Ni kwelli sisi wanadamu kila mmoja ana nguvu alizopewa, how to know? how tu utilize it hapo ndipo changamoto ilipo...YES.
Sasa si kila changamoto inayokupata ukimbilie kwa mganga ama kanisani kuombewa no, mtoa hoja upo sahihi jaribu nguzu zako within zinaweza kukutoa hapo ulipo kwenda unapotaka kuwa.
Ulimwengu huu umeumbwa kwa sheria, hapa huyo mchawi ama mganga, ama mtu wa dini anatumia sheria hizo.