Je ni kweli kwamba hela ya kujengea hospitali ya Bugando Mwanza ikidhulumiwa kutoka kwenye hela ya Waislam?

Toka nifahamu kwamba kuna dini ambazo unaruhusiwa kusema uongo ili kuitetea, niliacha kabisa kuwaamini watu wa dini. Ni Mungu gani huyo ambaye hawezi kujisimamia hadi anaamua kudanganya🚶🚶🚶🚶🚶
 
alikuja Mfalme wa Morocco Mohamed V , aliuliza ni jenge nini kama ukumbusho, wakaomba Msikiti badala ya Hospital , ukaombwa uwanja wa mpira (sijui umejengwa au la) muda bado upo wanaeza jenga hospital pia
Sasa mkuu hiyo Hospital ya Bugando anayosema ni ya Wakristo, wanatibiwa Wakristo tu?
Anasema Barabara za kusini zimejengwa Kwa sababu kule Kuna Wakristo, Kwa waislam hawapiti kwenye hizo Barabara?

Ubaguzi ni kitu kubaya Sana hasa unapokuja ubaguzi wa kidini.
 
Hospitali ya Bugando ilijengwa na Kanisa Katoliki (kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania - TEC) kati ya mwaka 1968 na 1977, muundo wa jengo lake ulisanifiwa na kampuni ya Ujerumani (Lippsmeier + Partner Architects) na kujengwa na kampuni ya Israeli (Solel Boneh) kwa ufadhili wa serikali ya Ujerumani na shirika la hisani la Uholanzi.

Huyu jamaa ni muongo sana
 
Kusini ipi tena hiyo? Hii ya Songea, Njombe, Lindi, Masasi?
Kutoka DAR kwenda lindi na mtwara hii barabara yote imekufa kumbuka barabara hii haina miaka 15 lkn Kwsasa ni mashimo Tu na haipo kwenye mpango wowote wa kujengwa.
Ingawa hii clip ni ya zamani kipindi hicho lkn bado ina uhalisia japokuwa Mimi sio muislamu lkn kuhusu barabara kuna ukweli Tu
 
alikuja Mfalme wa Morocco Mohamed V , aliuliza ni jenge nini kama ukumbusho, wakaomba Msikiti badala ya Hospital , ukaombwa uwanja wa mpira (sijui umejengwa au la) muda bado upo wanaeza jenga hospital pia
Hatutaki kujengewa chuo kikuu. Hata alichotupa Mkapa tumeshindwa kukiendeleza
 
Back
Top Bottom