BILA KUINGILIA MADASasa mkuu hiyo Hospital ya Bugando anayosema ni ya Wakristo, wanatibiwa Wakristo tu?
Anasema Barabara za kusini zimejengwa Kwa sababu kule Kuna Wakristo, Kwa waislam hawapiti kwenye hizo Barabara?
Ubaguzi ni kitu kubaya Sana hasa unapokuja ubaguzi wa kidini.
Chanzo cha taarifa zako ni kipi? Naungana na waliotangulia kuwa huo ni upotoshaji.Shekhe amesema pesa zilitoka Quite
Wewe inasema pesa zimetoka Ujerumani
Documents za Bugando zinasema pesa zimetoka Catholic church
Historical Background: The facility was built by the Roman Catholic Church between 1968 and 1977. Following its opening, it was briefly nationalized by the government in 1972 before being handed back to the Tanzania Episcopal Conference (TEC) of Catholic Bishops in 1985. Today, it functions as a highly vital zonal referral and teaching hospital in Mwanza, operating under a joint partnership between the Church and the government.
Kitu ambacho hamkijui historia ya kweli ya nchi hii wanayo waislam
Una ushahidi wowote kuthibitisha hiyo pesa ilitoka Kuwait kuja kujengea waislam wa Mtwara barabara kama zawadi?Usiongee kama Shoga yeye amesema ni pesa kutoka serikali ya Quite Kwa ajili ya barabara ya kilwa kama zawadi Kwa waislam
Wewe kama hutaki weka data zako zikionyesha hiyo pesa ilitoka wapi
Wanadai ni hospital ya kanisa ila jichanganye uende utibiwe alafu badala ya kulipa pesa uonyeshe cheti cha ubatizo au komunioSasa mkuu hiyo Hospital ya Bugando anayosema ni ya Wakristo, wanatibiwa Wakristo tu?
Anasema Barabara za kusini zimejengwa Kwa sababu kule Kuna Wakristo, Kwa waislam hawapiti kwenye hizo Barabara?
Ubaguzi ni kitu kubaya Sana hasa unapokuja ubaguzi wa kidini.
Huyo jamaa ana chuki kubwa sana na ukristo nakumbuka akimdhihaki Nyerere kuwa alikuja Dar na kaptula akakaa vibaya ndipo wazee wa kiislamu wakampa nguo kumsitiri. Kinachosikitisha ni kuwa anaongea uwongo wa wazi mnoooo ambao hata asiyefuatilia mambo ni rahisi sana kung'amua kuwa ni muongo na kibaya zaidi ana wafuasi wengi sana wanaoamini uwongo wake.Huyu jamaa ni mshenzi kabisa,mimi ni muislamu tena kwa kuzaliwa na baba yangu mzazi alikuwa injinia na alishiriki japo kidogo kwenye ujenzi wa hiyo hosp na asili ya baba yangu akitokea ujerumani,ambako ndiko fedha ya kujengea hiyo hospitali zilikotoka.Sipendi kabisa uchonganishi wa kidini kama huu.Ukweli uko wazi,fedha za kujenga Bugando zilitoka ujerumani wakati huo ikiitwa ujerumani magharibi.Huu mjadala unasaidia nini?Aisee nimeudhika mno basi tu.
Iambie serikali iache kusupportBILA KUINGILIA MADA
Hizo hospitali kubwa za madhehebu ya dini zinapata support kubwa tu ya uendeshaji kutoka serikalini hivyo
zile ni kitega uchumi tu, kama zilivyo biashara nyingine.
Tofauti na hapo tungetegemea gharama zao za matibabu ziwe chini kuliko hospitali za binafsi kitu ambacho hakionekani....
Hata shule za serikali kuna ada/michango ambayo bado ni mikubwa kwa masikini na bado serikali inachukua kodi/tozo/ushuru na mapato mengine toka kwa wananchi masikiniHata hizo shule mnaita za kanisa ada Yao kubwa masikini hawez muda sielew kwann wanaziitaga ni za kanisa
Aisee.... InafikirishaKusini ipi tena hiyo? Hii ya Songea, Njombe, Lindi, Masasi?
Ndiyo. Mfumo KristoShida ya waislamu wa Tanzania Hasa weusi nazani ni kukataa shule. Yaani serikali ilijenga hospital na kulipa kanisa
Huu ni ubaguzi daraja la kwanzaKumbe kuna ela za waisilamu na ela za wakristo kuna mikoa ya waisilamu na mikoa ya wakristo??
Unao ushahidi kuwa pesa iliyojenga Bugando ilitoka Vatican?Chanzo cha taarifa zako ni kipi? Naungana na waliotangulia kuwa huo ni upotoshaji.
Kwa taarifa yako na wengine ni kuwa licha ya kuwa mali ya kanisa lakini kuna eneo maalum " msikiti" ndani ya hospitali hiyo.
JIbu tu swali langu; chanzo cha taarifa yako ni kipi?Unao ushahidi kuwa pesa iliyojenga Bugando ilitoka Vatican?
Maana Bugando haikujengwa Kwa arambee za wakatolic wa Tanzania
Pia serikali ya Nyerere haikuwa na uwezo wa kujenga Bugando Kwa kipindi kile
Kwahiyo pesa iliyojenga Bugando ni fund Sasa je hiyo Fund ilitoka wapi?
Data zinaonyesha pesa zilitoka Quite