Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
mjengewe misikiti na madrasa?Hatutaki kujengewa chuo kikuu. Hata alichotupa Mkapa tumeshindwa kukiendeleza
mjengewe misikiti na madrasa?Hatutaki kujengewa chuo kikuu. Hata alichotupa Mkapa tumeshindwa kukiendeleza
Na duka la dawa za ki Sunnimjengewe misikiti na madrasa?
Hata mkutano wa Berlin ulikuwa haujakaaHuyu sheikh anachekesha sana. Kwa hivyo mwaka 1860 serikali ya CCM ilikuwepo? Maana anadai Livingstone aliona nyara za serikali.
sawa sawaNa duka la dawa za ki Sunni
Wanasema pesa zilitolewa na Serikalli ya Kuwait, ni sawa nq pesa zilizo tolewa na Mfalme wa Morroco ili ujengwe Msikiti, Magufuli angezishukua akawapa Katoliki wajenge Shule zao.Tuwe tunafanya utafiti siyo kusikiliza majungu na maneno ya mitaani.
Waislamu wana hela gani, na nini chanzo cha hela hiyo, tuanzie hapo.
Fedha za ujenzi wa Daraja la Mkapa (linalovuka Mto Rufiji) zilitokana na mkopo wa masharti nafuu wa takriban Dola za Marekani milioni 30 (US$ 30 million).Hospitali ya Bugando ilijengwa na Kanisa Katoliki (kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania - TEC) kati ya mwaka 1968 na 1977, muundo wa jengo lake ulisanifiwa na kampuni ya Ujerumani (Lippsmeier + Partner Architects) na kujengwa na kampuni ya Israeli (Solel Boneh) kwa ufadhili wa serikali ya Ujerumani na shirika la hisani la Uholanzi.
Huyu jamaa ni muongo sana
Vilaza by natureWanasema pesa zilitolewa na Serikalli ya Kuwait, ni sawa nq pesa zilizo tolewa na Mfalme wa Morroco ili ujengwe Msikiti, Magufuli angezishukua akawapa Katoliki wajenge Shule zao.
Waislam tunahitaji porojo tu, hatujitaji evidenceEvidence?
Joyce wowowo kule arusha amesema anataka kuwajengea Msikiti kwa ajili ya Watalii...duuuhalikuja Mfalme wa Morocco Mohamed V , aliuliza ni jenge nini kama ukumbusho, wakaomba Msikiti badala ya Hospital , ukaombwa uwanja wa mpira (sijui umejengwa au la) muda bado upo wanaeza jenga hospital pia
Waislam ni wepesi sana kudanganywa. Imagine mjinga kama huyo alikuwa anadanganya watu rundo na wao wanamsikiliza na kuamini kila anachokisema kama mazuzu. Halafu wanaamini mfitini kama huyo yupo kwa Allah😂😂Fedha za ujenzi wa Daraja la Mkapa (linalovuka Mto Rufiji) zilitokana na mkopo wa masharti nafuu wa takriban Dola za Marekani milioni 30 (US$ 30 million).
Wafadhili wakuu waliotoa fedha hizo walikuwa:
Mfuko wa Kuwait (Kuwait Fund for Arab Economic Development)
Mfuko wa OPEC wa Maendeleo ya Kimataifa (OPEC Fund for International Development)
Serikali ya Saudi Arabia (kupitia Mfuko wa Maendeleo wa Saudi - Saudi Fund for Development)
Serikali ya Tanzania pia ilichangia sehemu ya bajeti kupitia mfuko wa ndani wa serikali kwa ajili ya ujenzi na maandalizi ya miundombinu hiyo iliyofunguliwa rasmi mwaka 2003 na Rais wa Awamu ya Tatu, Marehemu Benjamin William Mkapa.
InasikitishaWaislam ni wepesi sana kudanganywa. Imagine mjinga kama huyo alikuwa anadanganya watu rundo na wao wanamsikiliza na kuamini kila anachokisema kama mazuzu. Halafu wanaamini mfitini kama huyo yupo kwa Allah😂😂
Mkuu hata Nyerere alisilimu wakamatalia .Wanasema pesa zilitolewa na Serikalli ya Kuwait, ni sawa nq pesa zilizo tolewa na Mfalme wa Morroco ili ujengwe Msikiti, Magufuli angezishukua akawapa Katoliki wajenge Shule zao.
Shekhe amesema pesa zilitoka QuiteAcheni uongo. Hospitali ya Bugando pesa ilitoka ujerumani na wajenzi walikuwa waisraeli. Acheni upotoshaji. Mikataba ya serikali haziendi kidini. Yani ujenge eneo kwa ajili ya dini fulani. Pale Bugando Kuna madaktari wengi wakiislamu na hata wagonjwa wengi wa kiislamu. Huyo shehe alikuwa mchochezi tu.
Haya mwambieni samia nsilamu ajengeKusini Hadi Leo barabara hakuna , sheikh yupo Sahihi
hahahahahha,msikiti wa utalii,utakua na nini ndani kiasi kwamba watu watavutiwa kutembelea.kutaliiJoyce wowowo kule arusha amesema anataka kuwajengea Msikiti kwa ajili ya Watalii...duuuh
Wamejenga Muhimbili, Mwananyamala, Amana, Sinza Palestina na Taasisi ya Jakaya Kikwete zimejengwa na BAKWATAHospital kubwa zote za kidini xilijengwa na wazungu, Hawa waarabu wao wanajenga misikiti tu,
hawa jamaa huwa ni wajinga sanaJe ni kweli kwamba hela ya kujengea hospitali ya Bugando Mwanza ikidhulumiwa kutoka kwenye hela ya Waislam?
Kama wakina mwamposa na wenzie wanapata watu atakosa huyo sheikh?Aisee hii dini hii dah,kwa hiyo alipokuwa akizungumza huyo mpumbavu hapo kuna watu walikuwa wanamsikiliza na wanamuelewa?
Msiba mzito sana huu!
Wenyewe waislamu watakujibuHaya mwambieni samia nsilamu ajenge