Je ni kweli kwamba hela ya kujengea hospitali ya Bugando Mwanza ikidhulumiwa kutoka kwenye hela ya Waislam?

Je ni kweli kwamba hela ya kujengea hospitali ya Bugando Mwanza ikidhulumiwa kutoka kwenye hela ya Waislam?

Kusini Hadi Leo barabara hakuna , sheikh yupo Sahihi
Hakuna kwa sababu ni kwa waislam au hakuna kwa sababu viongozi wao wamelala usingizi hawajui vipaumbele vyao?

Juzi hapa majaliwa alikuwa waziri mkuu na ni muislam mwenzenu tena kwa miaka kumi (sipendi kuliweka kidini hili lakini kwa sababu mnataka hivyo acha niweke) mboni hakupigania hiyo barabara ikajengwa?leo samia muislam wabunge huko waislam wanashindwa nini kuijenga?hovyo tu!
 
Je ni kweli kwamba hela ya kujengea hospitali ya Bugando Mwanza ikidhulumiwa kutoka kwenye hela ya Waislam?

Huyu jamaa ni mshenzi kabisa,mimi ni muislamu tena kwa kuzaliwa na baba yangu mzazi alikuwa injinia na alishiriki japo kidogo kwenye ujenzi wa hiyo hosp na asili ya baba yangu akitokea ujerumani,ambako ndiko fedha ya kujengea hiyo hospitali zilikotoka.Sipendi kabisa uchonganishi wa kidini kama huu.Ukweli uko wazi,fedha za kujenga Bugando zilitoka ujerumani wakati huo ikiitwa ujerumani magharibi.Huu mjadala unasaidia nini?Aisee nimeudhika mno basi tu.
 
Je ni kweli kwamba hela ya kujengea hospitali ya Bugando Mwanza ikidhulumiwa kutoka kwenye hela ya Waislam?

Hivi kutoa kauli kama hizi kwa mihemuko, hisia hasi dhidi ya Ukristo/Ukatoliki, na kutafuta huruma kwa watu wasiokuwa na ufahamu wa mambo, ndiyo ni kuupambania Uislamu!?

Chuki dhidi ya Ukristo na Wakristo ni zao la Qur'an ila wao wana "reciprocate this hate feelings with agape love". Mpende jirani yako kama nafsi yako.
 
Aisee hii dini hii dah,kwa hiyo alipokuwa akizungumza huyo mpumbavu hapo kuna watu walikuwa wanamsikiliza na wanamuelewa?

Msiba mzito sana huu!
Usiongee kama Shoga yeye amesema ni pesa kutoka serikali ya Quite Kwa ajili ya barabara ya kilwa kama zawadi Kwa waislam

Wewe kama hutaki weka data zako zikionyesha hiyo pesa ilitoka wapi
 
Hospitali ya Bugando ilijengwa na Kanisa Katoliki (kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania - TEC) kati ya mwaka 1968 na 1977, muundo wa jengo lake ulisanifiwa na kampuni ya Ujerumani (Lippsmeier + Partner Architects) na kujengwa na kampuni ya Israeli (Solel Boneh) kwa ufadhili wa serikali ya Ujerumani na shirika la hisani la Uholanzi.

Huyu jamaa ni muongo sana
Wewe ndio unajua Sasa ukweli. Israeli ndio walijenga Yale majengo.
 
Sasa mkuu hiyo Hospital ya Bugando anayosema ni ya Wakristo, wanatibiwa Wakristo tu?
Anasema Barabara za kusini zimejengwa Kwa sababu kule Kuna Wakristo, Kwa waislam hawapiti kwenye hizo Barabara?

Ubaguzi ni kitu kubaya Sana hasa unapokuja ubaguzi wa kidini.
Walishawahi kusema wenye viwanda vikubwa, mabasi na malori mengi na walipakodi wakubwa ni wao
 
Usiongee kama Shoga yeye amesema ni pesa kutoka serikali ya Quite Kwa ajili ya barabara ya kilwa kama zawadi Kwa waislam

Wewe kama hutaki weka data zako zikionyesha hiyo pesa ilitoka wapi
Acheni uongo. Hospitali ya Bugando pesa ilitoka ujerumani na wajenzi walikuwa waisraeli. Acheni upotoshaji. Mikataba ya serikali haziendi kidini. Yani ujenge eneo kwa ajili ya dini fulani. Pale Bugando Kuna madaktari wengi wakiislamu na hata wagonjwa wengi wa kiislamu. Huyo shehe alikuwa mchochezi tu.
 
Hivi kutoa kauli kama hizi kwa mihemuko, hisia hasi dhidi ya Ukristo/Ukatoliki, na kutafuta huruma kwa watu wasiokuwa na ufahamu wa mambo, ndiyo ni kuupambania Uislamu!?

Chuki dhidi ya Ukristo na Wakristo ni zao la Qur'an ila wao wana "reciprocate this hate feelings with agape love". Mpende jirani yako kama nafsi yako.

View: https://vm.tiktok.com/ZSgoMTCxF/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
Huyu sheikh ilunga alikuwa muongo sana japo kuna ukweli kuwa serikali imewakatili sana watu wa kusini kwa kutojenga barabara.kuna siku nilienda lindi yaani nilifika kichwa kimevimba sababu ya mashimo makubwa yaliyopelekea kurushwa kwenye gari na kujibamiza.
 
1793604101692.jpeg
 
Back
Top Bottom