Je ni kweli kwamba hela ya kujengea hospitali ya Bugando Mwanza ikidhulumiwa kutoka kwenye hela ya Waislam?

Je ni kweli kwamba hela ya kujengea hospitali ya Bugando Mwanza ikidhulumiwa kutoka kwenye hela ya Waislam?

Kwa hiyo kule kusini wapo waislam tu hakuna watu wa dini nyingine?

Na kule kaskazini wapo wakristo tu hakuna watu wa dini nyingine?
Na huyo mkapa aliyejenga Hilo daraja si ni mtu wa kusini Sasa mbona ni mkatoliki?
Kuna watu ni kuwapuuza tu. Dini ni ulevi mbaya kuliko bangi na cocaine
 
BILA KUINGILIA MADA
Hizo hospitali kubwa za madhehebu ya dini zinapata support kubwa tu ya uendeshaji kutoka serikalini hivyo
zile ni kitega uchumi tu, kama zilivyo biashara nyingine.
Tofauti na hapo tungetegemea gharama zao za matibabu ziwe chini kuliko hospitali za binafsi kitu ambacho hakionekani....

Kwamba dawa na vifaa Tiba wanapewa bure?

Madaktari wauguzi na wafanyakazi wengine wa hospitali wanafanya kazi kwa kujitolea?

Hivi mnajua gharama halisi za matibabu au mnaongea tu vitu msivyovijua
 
Sipendi ambavyo waislamu wanafundisha kwa kupandikiza chuki dhidi ya dini zingine. Mtu anaweza kusemea changamoto ya eneo husika bila kupandikiza chuki
 
Hospitali ya Bugando ilijengwa na Kanisa Katoliki (kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania - TEC) kati ya mwaka 1968 na 1977, muundo wa jengo lake ulisanifiwa na kampuni ya Ujerumani (Lippsmeier + Partner Architects) na kujengwa na kampuni ya Israeli (Solel Boneh) kwa ufadhili wa serikali ya Ujerumani na shirika la hisani la Uholanzi.

Huyu jamaa ni muongo sana
Awamu ya kwanza ilikamilika 1971 na ilifunguliwa na Mwalimu Nyerere. Mwalimu aliitaifisha mwaka 1972. Wafadhili wakaendelea kufadhili ujenzi wake hadi ilipokamilika 1977.
Mwaka 1985 Rais Mwinyi akarudisha milki ya hospitali kwa wakatoliki na kuingia nao mkataba wa uendeshaji ili itumike pia kama referral hospital kwa mikoa iliyo karibu na Mwanza. Hakuna nchi inayoitwa Quite au Kuwait iliyochangia ujenzi na uendeshaji wake.

Amandla...
 
Awamu ya kwanza ilikamilika 1971 na ilifunguliwa na Mwalimu Nyerere. 1972 Mwalimu aliitaifisha mwaka 1972. Mwaka 1985 Rais Mwinyi akarudisha milki ya hospitali kwa wakatoliki na kuingia nao mkataba wa uendeshaji ili itumike pia kama referral hospital kwa mikoa iliyo karibu na Mwanza. Hakuna nchi inayoitwa Quite au Kuwait iliyochangia ujenzi na uendeshaji wake.

Amandla...
Sheikh Ilunga alikuwa na hasira na Wakristo kwa hiyo kila baya lilowapata Waislam yeye alisingizia Wakristu. Mfano ni hizo barabara za kusini. Hivi ambao hawakuzijenga ni Wakristu au serikali ya ccm? Anahusianishaje ujenzi wa barabara na Wakristu? Huko kwao Tabora hadi anakufa kulikuwa hamna lami nazo mbona hakuzisemea kuwa ni Wakristu wamesababisha zisijengwe.

Ilunga ni wa kupuuza kabisa. Mwislam mwenye akili hatakiwi hata kumsikiliza huyo mfitini Ilunga
 
Hawazungumzii namna ambavyo chuo cha serikali kilikabidhiwa kwa jumuia ya kiislamu ili iwe University yake.

Amandla...
 
Daraja la mkapa lilijengwa kwa mkopo wa kuwit Saudia na opec n8 hela ya mkopo sio msaada kwa waislam ni mkopo wa serikali unaolipwa na watanzania bila kujal8 itikadi sema majamaa yanaenezaga chuki sana kwa makusanyiko yao sehemu ambayo yangetumia kuhamasisha elimu yanaleta mizaha
 
alikuja Mfalme wa Morocco Mohamed V , aliuliza ni jenge nini kama ukumbusho, wakaomba Msikiti badala ya Hospital , ukaombwa uwanja wa mpira (sijui umejengwa au la) muda bado upo wanaeza jenga hospital pia
Wanajua wakipewa hiyo Bugando ni miezi tu inakufa, wao watakwambia kisichotoka kwa Alah sio riziki wacha kiende zake...
 
Daraja la mkapa lilijengwa kwa mkopo wa kuwit Saudia na opec n8 hela ya mkopo sio msaada kwa waislam ni mkopo wa serikali unaolipwa na watanzania bila kujal8 itikadi sema majamaa yanaenezaga chuki sana kwa makusanyiko yao sehemu ambayo yangetumia kuhamasisha elimu yanaleta mizaha
Haya maujinga ndiyo wanajazana kwenye vijiwe vyao na misikitini. Badala ya kuangalia namna ya kujinasua na changamoto tulizonazo wao wanatafuta wa kumlaumu tu.
 
Hospitali ya Bugando ilijengwa na Kanisa Katoliki (kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania - TEC) kati ya mwaka 1968 na 1977, muundo wa jengo lake ulisanifiwa na kampuni ya Ujerumani (Lippsmeier + Partner Architects) na kujengwa na kampuni ya Israeli (Solel Boneh) kwa ufadhili wa serikali ya Ujerumani na shirika la hisani la Uholanzi.

Huyu jamaa ni muongo sana
hawa majamaa !ni kama wale watoto wanaocheza wakati wenzao wanasoma....wakifeli wanatoa visingizio;Nyerere alitaifisha taasisi nyingi tu za dini iliwemo wahindi (mfano Kisutu Secondary school Dar es salaam)Sant Joseph School (forodhani Seco) now imerudi Catholic pale St Joseph Posta Dar....Nyerere na mpaka leo Serikali ya Tanzania Inashirikiana na Kanisa katika maswala ya afya kutokana na kuwa kanisa lina hopsitals na vituo vya afya vingi nchi kote.....huko kusini kuna Ndanda Monestery ya Kikatoliki yenye mashule na hopsital toka miaka ya 1900.Bugando ni Hospitali ya Katolic( Foreign Bodies, Three Hills, and a Hospital .)Serikali ina toa ruzuku kwa hospital za kanisa kupitia (Health Services | CSSC – Joining Hands for Social Development) kwa sababu huduma za mama na watoto na wazee ni Bure ,wagonjwa wa kisukari ,TB,HIV,Ukoma hupata matibabu na Dawa Bure.. na kwa watanzania wote.....Ruzuku ya Serikali ya Tanzania kwa Makanisa sio wizi ni mchango wa serikali katika kuhakikisha Watanzania wote bila kujali dini zao wanapata tiba sawa na bora.
TUMSIFU YESU KRISTU.
....Surah Az-Zukhruf (43:61):"And indeed, [Jesus] will be a sign for the Hour, so be not in doubt of it, and follow Me. This is a straight path."

Narrated Abu Huraira:

Allah's Messenger (ﷺ) said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler); he will break the Cross and kill the pigs and there will be no Jizya (i.e. taxation taken from non Muslims). Money will be in abundance so that nobody will accept it, and a single prostration to Allah (in prayer) will be better than the whole world and whatever is in it." Abu Huraira added "If you wish, you can recite (this verse of the Holy Book): -- 'And there is none Of the people of the Scriptures (Jews and Christians) But must believe in him (i.e Jesus as an Apostle of Allah and a human being) Before his death. And on the Day of Judgment He will be a witness Against them." (4.159) (See Fath-ul-Bari, Page 302 Vol 7)

    • Warumi 14:11: "Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu." (Soma zaidi katika Bibilia.com) [1]
    • Isaya 45:23: "Kwa nafsi yangu nimeapa, neno hili limetoka kinywani mwangu katika haki... ya kwamba mbele zangu kila goti litapigwa, kila ulimi utaapa.
 
Haya maujinga ndiyo wanajazana kwenye vijiwe vyao na misikitini. Badala ya kuangalia namna ya kujinasua na changamoto tulizonazo wao wanatafuta wa kumlaumu tu.
Yaani so sad kwa kweli! mfano kile chuo chao walichopewa na mzee Mkapa (awali kilikuwa cha Tanesco) mpaka leo wameshindwa ata kufunguwa tawi Zanzibar au uko Ntwara.
 
Back
Top Bottom