Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?

huko juu umeruka ruka reply zangu kwahiyo bado unadai biblia imekusanywa na katoriki au na mungu mwenyewe kupitia waisrael hebu nipe jibu moja ?
Ndugu Mungu hakuusanya biblia. Yawezekana unachanganya kati ya vitabu na biblia, bibliq ni mkusanyiko tu wa hivyo vitqbu na ulifanya na mwanadamu.
Biblia hata wakati wa Yesu haikuwepo japo agano la kale alilikuta na akasoma kitabu cha Isaya siku ike walitaka kumoiga mawe.
 
hapana unakosea sana biblia maana yake ni maneno ya mungu hivyo ilikuwepo ikitambulika kama maneno ya mungu sawa
 
hebu nenda kasome kitabu cha ezra au nehemia chote kisha utaona walikuwa na vitabu vya torati vya musa wakiwafundisha watu inamaana biblia ilikusanywa na waisrael wenyewe na ilifundishwa kabla ya dola la roma. najua hata kisa cha ezra na nehemia hukijui
Vitabu katika biblia viliandikwa na Waisraeli (Wayahudi na Wakristo wa awali), na baadaye vilipangiliwa na kuidhinishwa na viongozi wa kanisa, baadhi yao wakiwa Waroma na ikaitwa BIBLIA.

Biblia ya wayahudi inaitwa Tanakh na ina vitabu vingi zaidi ya hivyi vya biblia ya sasa iliyopangwa na waroma
 
Bila shaka kanisa lako limeezekwa kwa makuti 😂😂
Mzee una tatizo binafsi na mabati?
Jamaa anazingua sana,watu mfano wa huyu ni wale wanaoenda kusali Kanisa fulani kwa sababu wahubiri wanajua sana kukoroma kwenye mic ila hawana imani kabisa bali wakiwa humo ndiyo wanafundishana jeuri kiburi pamoja na majivuno.

Wengi hicho wanachoita Kanisa ni banda la mabati full suite chini mpaka juu kama birika ukipita utakuta music mnene ukichungulia yupo mchungaji na mkewe wanasakata mauno,mengi utayakuta kila mwisho wa mtaa yakipigia watu kelele.
 
Vitabu katika biblia viliandikwa na Waisraeli (Wayahudi na Wakristo wa awali), na baadaye vilipangiliwa na kuidhinishwa na viongozi wa kanisa, baadhi yao wakiwa Waroma na ikaitwa BIBLIA.

Biblia ya wayahudi inaitwa Tanakh na ina vitabu vingi zaidi ya hivyi vya biblia ya sasa iliyopangwa na waroma
wanakusanya na kuidhinisha kama nani maneno ya mungu ?

Mungu alishawaongoza manabii kuandika inamaana alisahau kukusanya ?

mimi leo naweza kukusanya upya biblia na kuidhinisha inamaana kwamba mimi ndie nilie kusanya biblia hapo kale ?

unaweza kunipa na rejea kuwa biblia haikukusanywa hapo kale na manabii alafu mimi nitakuonesha ushidi kuwa ilikusanywa
 
hapana unakosea sana biblia maana yake ni maneno ya mungu hivyo ilikuwepo ikitambulika kama maneno ya mungu sawa
Maana ya biblia sio neno la Mungu ila waumini waliita neno la Mungu.

Neno "Biblia" linatokana na neno la Kigiriki likimaanisha "vitabu". Hii ni kwa sababu Biblia si kitabu kimoja tu, bali ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali vilivyoandikwa na watu tofauti kwa nyakati tofauti, lakini vyote vikiwa na ujumbe wa kiroho na mafundisho yanayohusiana na imani kwa Mungu.

Kwa hiyo, Biblia maana yake ni mkusanyiko wa vitabu vitakatifu vinavyotumika kama mwongozo wa imani na maisha kwa Wayahudi (Agano la Kale) na Wakristo (Agano la Kale na Agano Jipya).
 
Jamaa anazingua sana,watu mfano wa huyu ni wale wanaoenda kusali Kanisa fulani kwa sababu wahubiri wanajua sana kukoroma kwenye mic ila hawana imani kabisa bali wakiwa humo ndiyo wanafundishana jeuri kiburi pamoja na majivuno.

Wengi hicho wanachoita Kanisa ni banda la mabati full suite chini mpaka juu kama birika ukipita utakuta music mnene ukichungulia yupo mchungaji na mkewe wanasakata mauno,mengi utayakuta kila mwisho wa mtaa yakipigia watu kelele.
mkuu sinime kuomba samahani lakini.
 
wanakusanya na kuidhinisha kama nani maneno ya mungu ?

Mungu alishawaongoza manabii kuandika inamaana alisahau kukusanya ?

mimi leo naweza kukusanya upya biblia na kuidhinisha inamaana kwamba mimi ndie nilie kusanya biblia hapo kale ?
Unachotakiwa kujua, unachanganya kuhusu NENO LA MUNGU na BIBLIA.
Ni vitu viwili tofauti.

Mitume waliandika vitabu. Waroma wakavikusanya na kuviita biblia.
 
unajua dola la roma lilimuuwa petro inakuwaje ndio awe mwanzilishi wa katoliki ambalo dhamani lilikuwa ni ufalme mkubwa sana hebu nielezee jinsi ilivyokuwa ?
soma historia vizuri, ndio lilimua petro na wengi tu waliuawa sehemu mbalimbali kipindi hicho kua mkristo ni kosa

hata mtume paulo alikua na kazi ya kuua wakristo

ila baada aya hapo roma ndo iliyofanya kazi kubwa kuusambaza ukristo

hivyohivyo kwa mtume Paulo baada ya kuuwa wakristo wengi alikuja kua moja ya watu walio sambaza ukristo kwa bidii zaidi na tunamkumbuka na kusoma vitabu vyake kwenye biblia
 
Maana ya biblia sio neno la Mungu ila waumini waliita neno la Mungu.

Neno "Biblia" linatokana na neno la Kigiriki likimaanisha "vitabu". Hii ni kwa sababu Biblia si kitabu kimoja tu, bali ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali vilivyoandikwa na watu tofauti kwa nyakati tofauti, lakini vyote vikiwa na ujumbe wa kiroho na mafundisho yanayohusiana na imani kwa Mungu.

Kwa hiyo, Biblia maana yake ni mkusanyiko wa vitabu vitakatifu vinavyotumika kama mwongozo wa imani na maisha kwa Wayahudi (Agano la Kale) na Wakristo (Agano la Kale na Agano Jipya).
kwa maana hiyo kitabu cha biblia sio maneno ? maana naona unaruka ruka
 
soma historia vizuri, ndio lilimua petro na wengi tu waliuawa sehemu mbalimbali kipindi hicho kua mkristo ni kosa

hata mtume paulo alikua na kazi ya kuua wakristo

ila baada aya hapo roma ndo iliyofanya kazi kubwa kuusambaza ukristo

hivyohivyo kwa mtume Paulo baada ya kuuwa wakristo wengi alikuja kua moja ya watu walio sambaza ukristo kwa bidii zaidi na tunamkumbuka na kusoma vitabu vyake kwenye biblia
mtume paul alikuwa na kazi ya kuuwa wakristo akiwa katika cheo gani kwenye dola hilo ?
 
Back
Top Bottom