Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?

ok, unakubaliana na mimi kuwa biblia ni.maneno ya mungu ?
ndio kuoitia watu wake walio andika, kila kitabu kina historia yake na kiliandikwa kwa sababu fulani katika nyakati fulani

maandiko ya namna hiyo ni mengi na yanatambulika kua maandiko matakatifu

kati ya hayo ndo tunapata biblia kwaiyo biblia ni mkusanyiko wa hivyo vitabu ( tena baadhi si vyote )
 
Kwahiyo kuwa makini sana na utambue kuwa ant christ amesha kuwako kwa vya kihistoria vyengine vya uongo vyengine vya ukweli hii inakuwa ni ngumu kufuatilia ili kuthibitisha unabii kuwa tayari au bado ila ninacho jua ni kwamba umebaki mda mchache tu yesu anarudi nina wasiwasi kuwa unabii ushatimia ila bado nafuatili
Ila nyie watu bwana nyie hahah,hivi unajua hivi ni vichekesho kabisa hivi!

Kwa wema gani uliokuwa nao wewe mpaka ujue umebaki muda mchache kiasi gani Kristo kurudi?una wasiwasi wewe kama nani dunia hii na unafuatilia ukiwa kama nani?hapo juu umekinzana hoja kidogo tu na mwenzako umekimbilia matusi leo uje ufunuliwe maandiko?wewe?wewe na jamii mfanano wako mnajitukuza sana mpaka mna-bore huku hamna lolote upepo tu.
 
kwa hiyo unanichamba ?
 
ndio kuoitia watu wake walio andika, kila kitabu kina historia yake na kiliandikwa kwa sababu fulani katika nyakati fulani

maandiko ya namna hiyo ni mengi na yanatambulika kua maandiko matakatifu

kati ya hayo ndo tunapata biblia kwaiyo biblia ni mkusanyiko wa hivyo vitabu ( tena baadhi si vyote )
safi sana; jibu swali lengine naona sasa unakaa kwenye mwelekeo sahihi sasa kama biblia ni maneno ya mungu, nani mwenye dhamana ya maneno ya mungu ni katoliki au mungu mwenyewe aliye hai.
 
kwa hiyo unanichamba ?
How Genius Man unatumia lugha iliyobidi itumike na dada yako kwenye ugomvi na wanawake wenzie huko uswahilini?

Ukiambiwa ukweli upokee ujirekebishe mambo ya imani hayataki hasira usitegemee kufanya mjadala na Mkatoliki then ufikiri ataenda kwa lugha za kihuni na chafu mnazofundishana huko kwenye mabanda yenu ya mabati.
 
asante sana na samahani
 
safi sana; jibu swali lengine naona sasa unakaa kwenye mwelekeo sahihi sasa kama biblia ni maneno ya mungu, nani mwenye dhamana ya maneno ya mungu ni katoliki au mungu mwenyewe aliye hai.
kwani Mungu anakuja kuandika kwa mkono auanatumia watu wake ?

ndo maana nimekwambia kanisa Katoliki limeachiwa dhamana

na hata ukubali au ukatae haibadiliki

kanisa Katoliki kimepanga vitabu ambavyo viwepo kwenye biblia na utaendelea kuvisoma

wasinge kuwekea ufunuo wa yohana usinge soma

Mungu anatumia watu wake.

kwaiyo kama wewe ni mkristo biblia utaitumia tu na Mungu ameamua kutumia Kanisa katoliki kui Shape biblia iwe hivi ilivyo
 
kwahiyo biblia imeandikwa na kanisa katoliki ?
 
Inaonekana hata hujasoma biblia hivyo sitakujibu chochote
Hahahahaha
Kumbe unaitetea biblia kwa kutumia ushahidi wa biblia?
Biblia naijua vizuri, ukitaka leta hoja inayohusisha maandiko ya biblia tuifafanue hapa.
Sio kila anaeku challenge akakukosoa, wengine wanakupima uwezo wa kujenga hoja.
Naiosoma biblia, naiamini, lakini biblia ina maneno ya Mungu na maneno mengine ni ya mitume kama ushauri kwa waumini.
 
we muongo bhana huijui na maanosh huna uelewa nayo simaanishi kuijua kwa kuiona
 
Hahahahaha
Kumbe unaitetea biblia kwa kutumia ushahidi wa biblia?
Biblia naijua vizuri, ukitaka leta hoja inayohusisha maandiko ya biblia tuifafanue hapa.
Sio kila anaeku challenge akakukosoa, wengine wanakupima uwezo wa kujenga hoja.
Naiosoma biblia, naiamini, lakini biblia ina maneno ya Mungu na maneno mengine ni ya mitume kama ushauri kwa waumini.
mitume waliandika hayo maneno kwa muongozo wa roho mtakatifu sio kwa akili zao hivyo biblia yote ni ya mungu sawa. hivyo wewe muongo huijui biblia
 
kwani Mungu anakuja kuandika kwa mkono auanatumia watu wake ?

ndo maana nimekwambia kanisa Katoliki limeachiwa dhamana

na hata ukubali au ukatae haibadiliki

kanisa Katoliki kimepanga vitabu ambavyo viwepo kwenye biblia na utaendelea kuvisoma

wasinge kuwekea ufunuo wa yohana usinge soma

Mungu anatumia watu wake.

kwaiyo kama wewe ni mkristo biblia utaitumia tu na Mungu ameamua kutumia Kanisa katoliki kui Shape biblia iwe hivi ilivyo
Biblia haikuandikwa na Kanisa Katoliki la Roma. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vilivyoandikwa na waandishi mbalimbali walioishi katika nyakati tofauti, wakiongozwa na Roho Mtakatifu, kabla hata ya Kanisa Katoliki la Roma kuanzishwa rasmi.

1. Agano la Kale (Old Testament): Liliandikwa kwa Kiebrania (na sehemu kwa Kiaramu) na lilikusanywa na Wayahudi kabla ya ujio wa Yesu Kristo. Kanisa la awali la Kikristo lilirithi maandiko haya kutoka kwa Wayahudi.

2. Agano Jipya (New Testament): Liliandikwa na Wakristo wa kwanza, waliokuwa wafuasi wa Yesu Kristo kama vile Paulo, Petro, Yohana, Luka, na wengine. Maandiko haya yaliandikwa katika karne ya kwanza BK, kabla ya Kanisa Katoliki kuwa taasisi rasmi iliyo na mamlaka kama ilivyojulikana baadaye.

Kanisa Katoliki lilihusika sana katika kukusanya na kuthibitisha vitabu vya Biblia (yaani mchakato wa kanoni), hasa katika Mtaguso wa Hippo (393 BK) na Mtaguso wa Carthage (397 BK), lakini halikuandika Biblia yenyewe.

Kwa kifupi: Biblia iliandikwa na watu mbalimbali waliovuvwa na Mungu, si taasisi fulani, lakini Kanisa Katoliki lilihusika katika kuihifadhi na kuithibitisha.
 
sasa kwan

kwani nimesemaje labda ?

Katoliki ndo iliyoamua kitabu gani kikae kwenye biblia na kipinkisikae
 
mitume waliandika hayo maneno kwa muongozo wa roho mtakatifu sio kwa akili zao hivyo biblia yote ni ya mungu sawa.

Biblia haikuandikwa na Kanisa Katoliki la Roma. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vilivyoandikwa na waandishi mbalimbali walioishi katika nyakati tofauti, wakiongozwa na Roho Mtakatifu, kabla hata ya Kanisa Katoliki la Roma kuanzishwa rasmi.

1. Agano la Kale (Old Testament): Liliandikwa kwa Kiebrania (na sehemu kwa Kiaramu) na lilikusanywa na Wayahudi kabla ya ujio wa Yesu Kristo. Kanisa la awali la Kikristo lilirithi maandiko haya kutoka kwa Wayahudi.

2. Agano Jipya (New Testament): Liliandikwa na Wakristo wa kwanza, waliokuwa wafuasi wa Yesu Kristo kama vile Paulo, Petro, Yohana, Luka, na wengine. Maandiko haya yaliandikwa katika karne ya kwanza BK, kabla ya Kanisa Katoliki kuwa taasisi rasmi iliyo na mamlaka kama ilivyojulikana baadaye.

Kanisa Katoliki lilihusika sana katika kukusanya na kuthibitisha vitabu vya Biblia (yaani mchakato wa kanoni), hasa katika Mtaguso wa Hippo (393 BK) na Mtaguso wa Carthage (397 BK), lakini halikuandika Biblia yenyewe.

Kwa kifupi: Biblia iliandikwa na watu mbalimbali waliovuvwa na Mungu, si taasisi fulani, lakini Kanisa Katoliki lilihusika katika kuihifadhi na kuithibitisha.
kanisa iatoliki lilikusanya kama nani ?
 
Back
Top Bottom