Swali lako ni la msingi sana—na linaonyesha unafikiri kwa kina! 👏 Hebu tuchambue kwa uangalifu kuhusu swali hili muhimu:
---
📖
Je, Mtume Petro ndiye Papa wa kwanza?
✅
Ndiyo – Kwa mafundisho ya Kanisa Katoliki
Kanisa Katoliki linamchukulia
Mtume Petro kama
Papa wa kwanza, ingawa jina "Papa" halitumiki kwenye Biblia ya awali. Huu ni msingi wa kihistoria na kiimani zaidi kuliko lugha halisi.
📜
Sababu ya Kumuona Kama Papa wa Kwanza:
1.
Mathayo 16:18-19
Yesu anamwambia Petro:
- Kanisa linafasiri maandiko haya kwamba Yesu alimpa Petro mamlaka ya kipekee ya kiroho – yaani kuwa kiongozi wa Kanisa hapa duniani.
- Petro (Kiyunani: Petros) linamaanisha "jiwe" au "mwamba".
2.
Petro Alichukua Nafasi ya Uongozi
Katika vitabu vya Matendo ya Mitume:
- Petro ndiye anayeongoza mikutano ya mitume (Matendo 1:15).
- Anaongoza uchaguzi wa Yuda mwingine (Matendo 1:20-26).
- Ndiyo anayetoa hotuba ya kwanza ya kanisa baada ya Pentekoste (Matendo 2).
- Anafanya maamuzi muhimu katika baraza la Yerusalemu (Matendo 15).
- Neno "Papa" lilianza kutumika baadaye (karne ya 3 au 4), kutoka neno la Kilatini "papa", likiwa na maana ya "baba wa kiroho".
- Hapo awali lilitumika kwa viongozi wa kiroho wengi, lakini baadaye likahifadhiwa kwa Askofu wa Roma pekee.
---
🏛️
Kuhusianisha Petro na Roma:
- Inasadikika kwamba Mtume Petro alihubiri na kufa Roma, ambako aliteswa na kuuawa (kupitia kusulubiwa kichwa chini).
- Askofu wa Roma, anayefuatia kutoka kwa Petro, anachukuliwa kama mrithi wake wa kiroho—hivyo jina Papa.
---
🔑 Hitimisho:
- Ni kweli jina “Papa” halipo kwenye Biblia, lakini kanuni ya uongozi wa Petro ipo wazi katika maandiko.
- Kanisa Katoliki hutumia historia, mapokeo, na maandiko pamoja kueleza kwa nini Petro ni Papa wa kwanza.
---
naomba kuuliza alisurubiwa na nani ? na petro aliishi kwenye kipindi cha ufalme gani ? naomba pia niambie sababu ya kusulubiwa kwake ni nini ?
naomba pia uniambie petro alifundisha utaratibu huo wa ibada ulio utaja kutoka kwa nani ? kama ni kwa yesu wapi yesu alifundisha hizo ibada za sanamu, za kumuabudu maria ?
unajua maana ya mtume ? ngoja nikwambie mtume maana yake ni mtu aliye tumwa na flani kwaajili ya kupeleka kitu flani hii ndio maana ya mtume
Ukiangalia katika maneno ya mwisho ya yesu kabla hajapaa mbinguni aliwaambia nendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu mka wafundishe yale yote niliyo wafundisha ikumbukwe mitume waliishi na yesu miaka mingi kwa kadhaa wali kaa na yesu walikula na yesu walitembea na yesu wakifundishwa na mafundisho yote yapo kwenye biblia pekee hakuna hizi ibada za maria au za sanamu au za kusherekea kuzaliwa kwa mungu kila mwisho wa mwaka hakuna kitu hicho.
nime furahi kuona kuwa unajua historia, kama shida yako ni mitume ndio inakuchanganya ngoja nikuambie.
ukitaka kuujuwa ukweli na uokolewe fuata nyayo za yesu na matendo aliyoyafanya na mafundisho aliyo yatoa pekee kutoka kwenye biblia, biblia ndio ya kweli na ndio mwongozo kumbuka yesu ni mkubwa kuliko mitume na manabii hivyo alikuja ili kukuonesha jinsi tunavyo paswa kuishi na kutenda aliwachukua mitume wengine walikuwa ni wavuvi wengine walikuwa ni watoza ushuru aliwakusanya akawafundisha kwa miaka kadhaa baadae akawatuma ulimwenguni wakawafundishe na wengine yale aliyo wafundisha kisha yeye akaondoka.
Baada ya muda mrefu kuwa nipo kanisa katoliki nikasema nijaribu huku kwingine
Hawa wanao jiita protestant kama wao wapo sahihi mbona ninyi kwa ninyi mna matabaka kama kumi+
Ukiwaangalia Lutheran wana mgawanyiko wao huko kuanzia Moravian, sjui Methodist, ukija hapa Tanzania tuu Lutheran ina migogoro sijawahi ona, mpaka Arusha wana dhehebu jingine kutoka Lutheran church,
Hujaja kwa Anglican wana lower Anglican hii kama walokole flani, afu kuna hii Higher Anglican ambayo kwa sehemu kama 80% inafanana na kanisa katoliki. Hizo ni tofauti baina yao binafsi
Njoo kwa Hawa wanaojiita walokole,
Kuna mlokole TAG, FPCT, MASHAHIDI WA JEHOVA, EFATHA, JESHI LA WOKOVU, RGC, na hao wote wana taratibu zao Kuna ambao wanasema kanisa hili halina upako kama letu wanavyosali sio kama sisi yaan tafrani tupu
Nibaki zangu kanisa katoliki pengine Lina mapungufu kadhaa lakini Ibada zake zina utaratibu na uwepo wa kipekee, tofaut na baadhi ya makanisa mengine.
Kanisa halitetewi kwa Upanga,
wengi hawajui kanisa ni nini ? wengi hawajui ukweli ni nini ?
Hayo makanisa yote ukijumuisha na rumi sio makanisa ya mungu wa mbinguni, ukweli na kuushinda uzushi na uongo ni kujifunza na kufuata nyayo za yesu katika matendo yake moja kwa moja kutoka kwenye biblia,
yesu hakuwa mrumi wewe unakuwa mrumi kama nani na kwa miongozo ya nini ? wewe unakuwa mprotestanti kama nani na kwa miongozo ya nani kadhalka wewe unakuwa msabato au mlikole kwa muujibu wa nani ?
Hakuna hata nukta kwenye biblia inayowataka watu wawe watumi au walokole bali wawe wanafunzi wa yesu na hawa wanafunzi wa yesu ndio kanisa lake hii ndio sababu hakuna andiko linalo tambulisha makanisa haya ya leo kuwa ninlanisa la mungu. jiulize hivi roamn liwe kanisa la mungu alafu mungu asilitaje kwenye biblia? kama alivyo wataja waisrael kuwa ni watu wake ?
Ngoja kwanza neno kanisa linakuchanganya "bila shaka neno lanisa ni kikundi cha watu wanao muamini na kumtumikia mungu" mfano mitume wale kwa kuunda kikundi kile chenye imani ya yesu ndio kanisa la mungu kanisa la mungu sio jengo,
kikundi cha watu wanaweza kukusanyika hata chini ya mti wakaunda kanisa kwahiyo kuna jengo la kanisa alafu kuna kanisa sasa,
hivyo jamii ya watu wenye ushuhuda wa yesu kwa kipindi hiki ndio kanisa la mungu wanahushuda wa yesu wanafanya yale yesu aliyo yafanya pekee, wanaamini yesu ndio njia na yeye aliishi bila dhambi duniani na hakuwa mroma au mlokole au msabato na kwasababu makanisa haya hayapo kwenye biblia ni wazi mungu hayatambui kama angeyatambua angeyataja.