Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?

Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?

Nakazia, hakuna ushahidi wa kimaandiko kwamba Petro ndiye mwamba. Mwamba ni Yesu tu.
Mkuu hayo maandiko ya bibilia wamiliki ni hao wakatoliki

Wao ndio waliyakusanya na kuyatafasiri wenyewe kwenda kilatini

Kwani hujui vipande vya maandishi waliunganisha wenyewe

Kwani hujui hao wakatoliki hata kalenda ya sasa wamepanga wao na kazi alifanya Papa Gregory na kalenda hii inaitwa Gregorian calender

Sasa Papa Gregory aliamua yeye kututengenezea jinsi ya kuhesabu miaka hii ya sasa au hujui hilo?

Mfumo mzima wa sasa wa kupanga leo Christmass ,Pasaka wamepanga hao wakatoliki mpaka ijumaa kuu wamepanga wao taratibu hizo

Wakatoliki wameshikilia ukweli hapo vatikani kuna mambo wanasema na mengine wapo kimya wanatuchora tu

Hiyo bibilia wameandika wao na baada ya karne kadhaa wakaamua kuweka hiyo mistari na aya kwa kuweka namba

Ili upate habari kamili lazima uende huko vatikani kwenye makumbusho yao ingawa taarifa zingiine hawawezi kuzitoa kwa maslahi yao

Ila hao wakatoliki hiyo bibilia walikusanya maandishi wao,Wakaandika wanayotaka na mengine wakayaacha

Wakaunganisha vitabu vyao walivyokusanya wakaita bibilia
 
uporostentanti ulianza lini na ukatoliki ulianza lini

Yesu alivyoondoka wafuasi wake walikua na early comunity ambayo ndio kanisa ka kwanza kutokana ni wafuasi wa kristo wala hawakujulikana kama wa kristo ila ilokua ni early comunity ambayo ilitokana na wafuasi wa kristo wakifuata mafundisho ya Yesu
Petro alikua kiongozi

baada ya kuendelea na kuendelea ba kuendelea walikuja jua wakitambulika kama wakristo na baada ya kukua na kukua kuna watu walianza jujitenga kwa sababu mbalimbali

tukapata wa Lutheran kutoka kwa padre martin Luther nawengine na wengine hadi sasa. ( hao wote ndo wa prostentati unaowasemea )

je petro alikua kiongozi wa kanisa lipi

actually sioni umuhimu wa kufuata sana dini fulani cha muhimu zaidi ni maisha yako

ila kuhusu historia katoliki ni shina na makanisa mengine yote ni matawi tu na wote mnajua hilo

biblia unayotumia wewe uliyoqute hapo imepangwa hivyo ilivyo na kanisa katoliki

jumla ya injili zote ni zaidi ya 12 hadi ishirini ila kanisa katoliki liloteua injili nne zikae kwenye bibilia, ratiba zote za kikanisa hata pasaka uliyosherehekea jana imepangwa na kanisa katoliki

callender unayoitumia saivi inaitwa gregorian callender imepangwa na papa Gregory

kwanini kanisa katoliki lina nguvu ya kufanya yote hayo na nyie mkafuata kwasababu ndo la kwanza na ndo lenye mizizi ya ukristo

je utawezaje kuongelea historia ya ukristo bila kuzungumzia kanisa katoliki. ?

"juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa na halito tikisika"

Tangu ukristo umeanza kanisa katoliki halijawai kutikisika wala kua namba mbili, ni namba moja kwa miaka elfu mbili na halitotikisika hadi dunia iishe
Unachosema hapa kina ukweli fulani hasa ukisoma kitabu cha Ufunuo wa Yohana. Hapa wakatoliki walishindwa kabisa kuelewa Yohana aliandika nini hapa.

Katoliki ilisimikwa na serikali ya Rumi. Na ikabadilishwa kabisa ikaacha kuyafanya mapenzi ya Kristo bali likaanza kufanya mapenzi ya Rumi.

Ndio maana Papa walikuwa wanaua sana watu Hadi 1798 Papa alikamatwa na akafa huko ufaransa(google usome).

Kanisa lilibadilishwa na kupewa nguvu za kiselikali. Likaanza kutawala kwa mkono wa chuma.

Katoliki sio kanisa la kwanza. Ila nikanisa lilipewa uwezo na falme ya Rumi na agenda nyingi za Serikali zinapitia humo Hadi sasa.
 
PAPA/MTUME PETRO NDIYE ALIWEKA SHERIA YA KUOA MKE MMOJA, NA SIJUI MKISHA OANA HAKUNA CHA KUWATENGANISHA,
ambayo kwa mtazamo wangu hakuiangalia vizuri kwani imetujazia watoto wa mitaani, masingle mother, na watu kuishi kwenye ndoa kwa mateso makali kwa sababu tu Petro alisema wasiachane...kwa maono yake ya kipindi hicho
 
Nahitaji ushahidi wa Biblia. Tukianzia kwa Petro, ni nani aliyempa cheo cha Upapa? Wikipedia sio Biblia.
SASA KAMA HUAMINI PETRO ALIKUWA PAPA, MBONA UNA AMINI SHERIA ALIZO TUNGA PETRO; MFANO KUOA MKE MMOJA, WATU WAKISHAOANA WASITENGANISHWE HADI KIFO HATA KAMA WANAPITIA MATESO MAKALI; NK NK SHERIA AMBAZO ZINATESA WAFUASI WAKE HADI LEO KWA KUWA NA WATOTO WA MITAANI KILA PAHALA MIJINI KWANI WANAUME WANASHINDWA KUWA OA MAMA ZAO, SINGLE MOTHER IMEKUWA NI FASHENI NA TUENDAKO UMUHIMU WA BABA UNAONDOKA KWENYE FAMILIA KWA SABABU YA HII SHERIA YA PAPA/MTUME PETRO AMBAPO WATOTO WENGI Wanalelewa na single mother hivyo kulelewa na tabia za kike kike bila kupata fursa ya kupata malezi ya baba/tabia za mwanamme na hivyo kutokuona umuhimu wa baba NK NK
 
Hiyo sentensi "KANISA LA KWANZA" imeandikwa wapi, mkuu. Nimetafuta sijaiona
Not direct , ila reference za mafundisho na kanisa kwa misingi ya injili ni kushuka kwa roho MTAKATIFU pale kwenye kusanyiko la kwanza wakati mitume wamejifungia
 
SASA KAMA HUAMINI PETRO ALIKUWA PAPA, MBONA UNA AMINI SHERIA ALIZO TUNGA PETRO; MFANO KUOA MKE MMOJA,
Petro hakutunga Maandiko ya Biblia. Wote walioandika Biblia waliongozwa na Roho Mtakatifu. Hakuna mtu(awe Papa, awe nani) anayeruhusiwa kuongeza wala kupunguza chochote kilichoandikwa kwenye Biblia.
Ufunuo 22:18-19:
Namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mtu ye yote akiyazidisha, Mungu atamwongezea mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki. Mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika mji mtakatifu, kama ilivyoandikwa katika kitabu hiki.
 
Ukiweza jibu maswali mawili kutoka kwa stori Yako Kuna kitu utajifunza
La kwanza

KANISA NI NINI!?

LA PILI NI

KWA NINI BIBLE IMEKUWA IKIREJELEA SENTENSI HII " KANISA LA KWANZA" HILI NI KANISA GANI, ?

NA MPAKA SASA HILI LILILOPO NI KANISA LA NGAPI!?

NB' SIZUNGUMZII MAZEHEBU, ,,,

UKITAFAKARI SANA KUNA KITU UTAGUNDUA,
Kanisa linalozungumziwa kuwa la kwanza halikuwaabudu ama kuwaomba wafu.

Maria ni mfu

Petro ni mfu

Paulo na wengineo ni wafu.
 
Nahitaji ushahidi wa Biblia. Tukianzia kwa Petro, ni nani aliyempa cheo cha Upapa? Wikipedia sio Biblia.
hakua anaitwa papa elewa, ila alikua kiongozi mkuu wa kanisa baada yake akaja mwingine na mwingine kanisa kikazidi kukua kiti hicho hicho ndo hiki cha papa imepita miaka mingi tekriban elfu mbili ulitaka kwenye biblia waandike papa ?

alikua kiongozi mkuu wa kanisa
 
Unachosema hapa kina ukweli fulani hasa ukisoma kitabu cha Ufunuo wa Yohana. Hapa wakatoliki walishindwa kabisa kuelewa Yohana aliandika nini hapa.

Katoliki ilisimikwa na serikali ya Rumi. Na ikabadilishwa kabisa ikaacha kuyafanya mapenzi ya Kristo bali likaanza kufanya mapenzi ya Rumi.

Ndio maana Papa walikuwa wanaua sana watu Hadi 1798 Papa alikamatwa na akafa huko ufaransa(google usome).

Kanisa lilibadilishwa na kupewa nguvu za kiselikali. Likaanza kutawala kwa mkono wa chuma.

Katoliki sio kanisa la kwanza. Ila nikanisa lilipewa uwezo na falme ya Rumi na agenda nyingi za Serikali zinapitia humo Hadi sasa.
kama katiliki sio kanisa La kwanza je kanisa la kwanza ni lipi ?
 
hakua anaitwa papa elewa, ila alikua kiongozi mkuu wa kanisa baada yake akaja mwingine na mwingine kanisa kikazidi kukua kiti hicho hicho ndo hiki cha papa imepita miaka mingi tekriban elfu mbili ulitaka kwenye biblia waandike papa ?

alikua kiongozi mkuu wa kanisa
Imeandikwa wapi Petro alikuwa kiongozi mkuu wa Kanisa? Unapozungumzia hoja yoyote ya Kikristo ni lazima uijenge kwenye Maandiko(Biblia). Askofu ametajwa kwenye Biblia, Mchungaji ametajwa, Nabii ametajwa...
Hicho cheo cha Upapa mnachosema ndio cheo kikubwa sana, kwanini Biblia haikitaji? Mmekitoa wapi?
 
Swali lako ni la msingi sana—na linaonyesha unafikiri kwa kina! 👏 Hebu tuchambue kwa uangalifu kuhusu swali hili muhimu:

---

📖 Je, Mtume Petro ndiye Papa wa kwanza?

✅ Ndiyo – Kwa mafundisho ya Kanisa Katoliki
Kanisa Katoliki linamchukulia Mtume Petro kama Papa wa kwanza, ingawa jina "Papa" halitumiki kwenye Biblia ya awali. Huu ni msingi wa kihistoria na kiimani zaidi kuliko lugha halisi.

📜 Sababu ya Kumuona Kama Papa wa Kwanza:

1. Mathayo 16:18-19
Yesu anamwambia Petro:

  • Kanisa linafasiri maandiko haya kwamba Yesu alimpa Petro mamlaka ya kipekee ya kiroho – yaani kuwa kiongozi wa Kanisa hapa duniani.
  • Petro (Kiyunani: Petros) linamaanisha "jiwe" au "mwamba".

2. Petro Alichukua Nafasi ya Uongozi
Katika vitabu vya Matendo ya Mitume:
  • Petro ndiye anayeongoza mikutano ya mitume (Matendo 1:15).
  • Anaongoza uchaguzi wa Yuda mwingine (Matendo 1:20-26).
  • Ndiyo anayetoa hotuba ya kwanza ya kanisa baada ya Pentekoste (Matendo 2).
  • Anafanya maamuzi muhimu katika baraza la Yerusalemu (Matendo 15).

  • Neno "Papa" lilianza kutumika baadaye (karne ya 3 au 4), kutoka neno la Kilatini "papa", likiwa na maana ya "baba wa kiroho".
  • Hapo awali lilitumika kwa viongozi wa kiroho wengi, lakini baadaye likahifadhiwa kwa Askofu wa Roma pekee.

---

🏛️ Kuhusianisha Petro na Roma:
  • Inasadikika kwamba Mtume Petro alihubiri na kufa Roma, ambako aliteswa na kuuawa (kupitia kusulubiwa kichwa chini).
  • Askofu wa Roma, anayefuatia kutoka kwa Petro, anachukuliwa kama mrithi wake wa kiroho—hivyo jina Papa.

---

🔑 Hitimisho:
  • Ni kweli jina “Papa” halipo kwenye Biblia, lakini kanuni ya uongozi wa Petro ipo wazi katika maandiko.
  • Kanisa Katoliki hutumia historia, mapokeo, na maandiko pamoja kueleza kwa nini Petro ni Papa wa kwanza.

---
Hii imekaa vizuri zaidi,naikubali.Ukiwa protestant unatafuta namna ya ku twist maana kwenye mistari iliyopo kwenye biblia kama mtoa mada anavyofanya kwenye michango yake.
 
Contradictions kama hizi ni uthibitisho tosha kwamba Biblia yenu ni HEKAYA.

Ndio maana mnapata mkanganyiko kufahamu nani haswa, Alikuwa Papa wa kwanza.
Hamna mkanganyiko hapo, mkanganyiko upo kwenye kitabu kinachoami juu ya Taurat, Zabur, na Injeel wakati chenyewe hakina!

Vv
 
Petro hakutunga Maandiko ya Biblia. Wote walioandika Biblia waliongozwa na Roho Mtakatifu. Hakuna mtu(awe Papa, awe nani) anayeruhusiwa kuongeza wala kupunguza chochote kilichoandikwa kwenye Biblia.
Ufunuo 22:18-19:
Namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mtu ye yote akiyazidisha, Mungu atamwongezea mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki. Mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika mji mtakatifu, kama ilivyoandikwa katika kitabu hiki.
MKUU

HATA HAYA YA LUKA YALIKUWA NA ROHO MTAKATIFU.👇👇

1Kwa kuwa watu wengi wameweza kuandika kwa utaratibu habari za mambo yaliyotimizwa katikati yetu, 2 kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo, 3 nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu, 4upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa.
 
Imeandikwa wapi Petro alikuwa kiongozi mkuu wa Kanisa? Unapozungumzia hoja yoyote ya Kikristo ni lazima uijenge kwenye Maandiko(Biblia). Askofu ametajwa kwenye Biblia, Mchungaji ametajwa, Nabii ametajwa...
Hicho cheo cha Upapa mnachosema ndio cheo kikubwa sana, kwanini Biblia haikitaji? Mmekitoa wapi?
hivi wewe unataka hadi iandikwe kwa maneno unayoyataka

sehemu ni nyingi zinaonyesha oetro alikua kiongozi mkuu wa kanisa kuanzia alivyoachiwa mamlaka na Yesu

"Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Nami nitakupa funguo za Ufalme wa Mbinguni..."

"Simoni, Simoni, tazama, Shetani amewaomba kuwapepeta kama vile ngano; lakini mimi nimekuombea wewe ili imani yako isipungue; nawe utakapoongoka, waimarishe ndugu zako."

“Lisha kondoo zangu… chunga kondoo zangu…”

afu matendo ya mitume ndo kina kila kitu ukitaka kujua katiliki

ndo maana katokiki inaitwa janisa ka mitume
Kanisa Takatifu Katoliki La mitume
( watu wake wanaweza wakawa sio wa takatifu ila kile cheo ni kitakatifu Petro aliachiwa na Yesu mwenyewe )

kwenye matendo ya mitume amefanya mambo yanayoonyesha uongozi wake

Kuchagua mjumbe kuchukua nafasi ya Yuda

Kuhubiri siku ya Pentekoste (Matendo 2),

Kuwa msemaji mbele ya Baraza (Matendo 4),

Kuongoza maamuzi katika Kanisa la kwanza

je utasemaje hakua kiongozi
 
Imeandikwa wapi Petro alikuwa kiongozi mkuu wa Kanisa? Unapozungumzia hoja yoyote ya Kikristo ni lazima uijenge kwenye Maandiko(Biblia). Askofu ametajwa kwenye Biblia, Mchungaji ametajwa, Nabii ametajwa...
Hicho cheo cha Upapa mnachosema ndio cheo kikubwa sana, kwanini Biblia haikitaji? Mmekitoa wapi?
Utapoteza nguvu kwa hao wakatoliki kwanza wao wana misimamo wala hawabishani na mtu kwani wao ndio wameanda bibilia na hizi sherehe za christmass,Pasaka,Ijumaa kuu

Baada ya kupitia historia kupitia kwenye makongamano ya kisabato ndio nikajua nguvu zao,Wasabato wao wanasoma sana vitabu baadhi katoliki walivyoficha hivyo wana uelewa mpana zaidi kidogo

Wanawekeza kwenye ardhi na majengo dunia nzima,Wakiamua kujenga kanisa sehemu nzuri watakununua kwa pesa yeyote ile

Kama ni mwenyeji wa Dar hao watu wamepima upepo wameamua kwenda kujenga Basilica haijawahi kutokea huko kigambona baada ya kuona ST Joseph pa askofu wao mambo yao hayaendi wanavyotaka

Elewa aliyeandika bibilia ni huyo mkatoliki,Akafika sehemu na kuandaa kalenda tunayotumia sasa ya Papa Gregory inaitwa gregorian Calender

Mkatoliki akafuta miaka ya nyuma akaanza kuhesabu na leo ni mwaka 2025

Amekusanya maandishi akayaunganisha na mengine akayaacha hapo vatikana na vitabu hivyo vipo kwanini hakuviweka na kwanini alivitoa anajua yeye

Akaa akaamua kuweka mistari na namba kwenye bibilia huko watu wakibishana soma mstari huu mara ule yeye mwenyewe haongelei hiyo soma hapa wala pale

Makumbusho ya Vatikani yana siri nyingi,Ukifika huko utaacha hata kusali na utajiuliza mbona wao wanasali
 
Back
Top Bottom