Mleta mada naomba kukufahamisha kuwa Roman Catholic Church na Catholic Church ni makanisa mawili tofauti.Ndugu zangu wa Kanisa kubwa duniani, Kanisa Katoliki - poleni sana kwa msiba mzito. Wakati maombolezo yakiendelea, naomba tuongee kiutu uzima; kwa heshima na upendo.
Kwanza ninawapongeza: mkiwa Kanisani, mnaonyesha heshima kubwa kwa Mungu. Sasa naomba mnijibu swali hilo: Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?
Nimesikia mnafundisha kwamba Mtume Petro ndiye aliyeteuliwa na Yesu kuwa msingi wa Kanisa au Papa wa kwanza. Mnanukuu Mathayo 16:18 na kusema kwamba katika Andiko hilo Yesu alimwambia Petro, “Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu.” Kwa tafsiri yenu, “mwamba” huo ni Petro mwenyewe, na hivyo mnamuona kama Papa wa kwanza. Mnaamini kwamba, mamlaka ya Petro kama kiongozi wa mitume yaliendelezwa na Mapapa waliomfuata, wakiwa viongozi wa juu wa Kanisa la Kristo duniani. Ni kweli?
Kama ni kweli, mbona mtazamo wa Kiprostestanti unatofautiana na mafundisho yenu. Waprotestanti wanasisitiza kuwa msingi wa Kanisa sio mtu binafsi, bali ni Yesu Kristo mwenyewe (1 Wakorintho 3:11), na kwamba “mwamba” aliouzungumzia Yesu ni Yeye mwenyewe(Yesu) kama Petro alivyokiri: “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” (Mathayo 16:16).
Kwa mtazamo wa Kiprostestanti, Petro hakuwa Papa, kwa sababu hakuna ushahidi wa kibiblia unaoonyesha kuwa alipewa mamlaka ya kipekee juu ya mitume wengine. Na wakati wa Kanisa la kwanza mfumo uliopo leo wa kipapa, haukuwepo.
Waprotestanti wanaeleza tena kwamba Viongozi wa kwanza wa Kanisa walifanya maamuzi yao kwa ushirikiano (Mdo 15), sio kwa mamlaka ya mtu mmoja(Papa). Wanasimama na Andiko la Waefeso 5:23 linalosema kwamba Yesu ndiye Kichwa cha Kanisa. Wanaamini pia kwamba Roho Mtakatifu ndiye anayeliongoza Kanisa lote sasa, na sio kiongozi mmoja wa kimwili. Wananukuu Yohana 16:13
"Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote."
Hoja hizo mnazijibuje?
Ntashukuru sana nikipata majibu ya swali langu na majibu kuhusu hoja hizo za Kiprotestanti. Majibu yajengwe kwenye Maandiko Matakatifu(Biblia). Tumsifu Yesu Kristo.
Kuelewa haya mambo huhitaji kusoma Biblia. Soma historia tu inatosha. Mfalme Constantino katajwa kwenye Biblia?Contradictions kama hizi ni uthibitisho tosha kwamba Biblia yenu ni HEKAYA.
Ndio maana mnapata mkanganyiko kufahamu nani haswa, Alikuwa Papa wa kwanza.
Biblia ni hekaya kama hekaya zingine.Kuelewa haya mambo huhitaji kusoma Biblia. Soma historia tu inatosha. Mfalme Constantino katajwa kwenye Biblia?
Alexander the Great katajwa kwenye Biblia? Nero katajwa kwenye Biblia?
Majibu ya hii mada yanahitaji uijue Church history.
Kuhusu Biblia hiyo ni shule nyingine
Kuhusu uwepo wa Yesu kuna archaeological na historical evidence halafu mtu umeshiba maharage sijui ya wapi unasema Yesu hajawahi kuwepo. Sasa nataka nikeambie wewe ni shetani na sina mda wa kujibizana na shetani, kwenda zakoBiblia ni hekaya kama hekaya zingine.
Hiyo Church history haiondoi ukweli kwamba Biblia ni hekaya.
Yesu hajawahi kuwepo.
Hao wanaojiita mapapa ni wajanja fulani waliokaa chini kuunda dini ya ukristo kulaghai wajinga.
Shetani hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.Wewe ni shetani sina mda wa kubishana na shetani, kwenda zako.
Wanaexist kivipi kichwani mwake..!?..Shetani hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Huyo Mungu, Yesu na Shetani wana exist tu huko kichwani mwako.
Petro hajawai kuwa papa na hajawai kufika Roma huu ni uongo mkubwa unaoenezwa na wakatoliki kuwahadaa watu waone kanisa lao nila kweli kumbe upagani mtupu hukoNdio...Ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza.
Wewe shetani na mashetani wenzako hamna uwezo wa kuexit kichwani mwangu. Sina mda wa kujibizana na shetani. NimemalizaShetani hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Huyo Mungu, Yesu na Shetani wana exist tu huko kichwani mwako.
Nenda kafuge majini wewe kafiri mkubwa hakuna unachojua hapaShetani hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Huyo Mungu, Yesu na Shetani wana exist tu huko kichwani mwako.
Another neck supporting an empty coconut 🥥 head.Wewe shetani na mashetani wenzako hamna uwezo wa kuexit kichwani mwangu. Sina mda wa kujibizana na shetani. Nimemaliza
Mkuu...Nipe ushahidi wa hoja Yako.Petro hajawai kuwa papa na hajawai kufika Roma huu ni uongo mkubwa unaoenezwa na wakatoliki kuwahadaa watu waone kanisa lao nila kweli kumbe upagani mtupu huko
😂😂😂Another neck supporting an empty coconut 🥥 head.
Kafiri ni Baba yako aliyezaa punguani kama wewe.Nenda kafuge majini wewe kafiri mkubwa hakuna unachojua hapa
Another petty bloated entitled brat throwing tantrums.Sishangai. Matusi ni tabia ya shetani