Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?

Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?

Hayo yote yametokea zamani sana karibia miaka 2000 sasa wewe unataka usikie nini

hata hivyo kanisa kuu alipo Papa kule ( Basilica )
lilijengwa Roma kwa heshima ya sehemu alipouawa Mtume Petro

kama tu alivyofanya mtume Paulo, hata dola ya kirumi ilichochea kwa kasi kukua kwa ukristo na kuenea dunia nzima kutokana na nguvu ya Roman Empire wakati huo
sasa naanza kukuelewa msingi wa imani yako kwa kifupi kwahiyo wewe unaamini tu hivyo hivyo vitu kutokakwa kiongozi na sio unauelewa nacho?
 
Hayo yote yametokea zamani sana karibia miaka 2000 sasa wewe unataka usikie nini

hata hivyo kanisa kuu alipo Papa kule ( Basilica )
lilijengwa Roma kwa heshima ya sehemu alipouawa Mtume Petro

kama tu alivyofanya mtume Paulo, hata dola ya kirumi ilichochea kwa kasi kukua kwa ukristo na kuenea dunia nzima kutokana na nguvu ya Roman Empire wakati huo
asante sana hapa ninayetakiwa kumuuliza kimjadara ni kiongozi wako kwasababu wewe hujui historia unaamini tu
 
Ndugu zangu wa Kanisa kubwa duniani, Kanisa Katoliki - poleni sana kwa msiba mzito. Wakati maombolezo yakiendelea, naomba tuongee kiutu uzima; kwa heshima na upendo.

Kwanza ninawapongeza: mkiwa Kanisani, mnaonyesha heshima kubwa kwa Mungu. Sasa naomba mnijibu swali hilo: Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?

Nimesikia mnafundisha kwamba Mtume Petro ndiye aliyeteuliwa na Yesu kuwa msingi wa Kanisa au Papa wa kwanza. Mnanukuu Mathayo 16:18 na kusema kwamba katika Andiko hilo Yesu alimwambia Petro, “Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu.” Kwa tafsiri yenu, “mwamba” huo ni Petro mwenyewe, na hivyo mnamuona kama Papa wa kwanza. Mnaamini kwamba, mamlaka ya Petro kama kiongozi wa mitume yaliendelezwa na Mapapa waliomfuata, wakiwa viongozi wa juu wa Kanisa la Kristo duniani. Ni kweli?

Kama ni kweli, mbona mtazamo wa Kiprostestanti unatofautiana na mafundisho yenu. Waprotestanti wanasisitiza kuwa msingi wa Kanisa sio mtu binafsi, bali ni Yesu Kristo mwenyewe (1 Wakorintho 3:11), na kwamba “mwamba” aliouzungumzia Yesu ni Yeye mwenyewe(Yesu) kama Petro alivyokiri: “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” (Mathayo 16:16).

Kwa mtazamo wa Kiprostestanti, Petro hakuwa Papa, kwa sababu hakuna ushahidi wa kibiblia unaoonyesha kuwa alipewa mamlaka ya kipekee juu ya mitume wengine. Na wakati wa Kanisa la kwanza mfumo uliopo leo wa kipapa, haukuwepo.

Waprotestanti wanaeleza tena kwamba Viongozi wa kwanza wa Kanisa walifanya maamuzi yao kwa ushirikiano (Mdo 15), sio kwa mamlaka ya mtu mmoja(Papa). Wanasimama na Andiko la Waefeso 5:23 linalosema kwamba Yesu ndiye Kichwa cha Kanisa. Wanaamini pia kwamba Roho Mtakatifu ndiye anayeliongoza Kanisa lote sasa, na sio kiongozi mmoja wa kimwili. Wananukuu Yohana 16:13
"Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote."

Hoja hizo mnazijibuje?

Ntashukuru sana nikipata majibu ya swali langu na majibu kuhusu hoja hizo za Kiprotestanti. Majibu yajengwe kwenye Maandiko Matakatifu(Biblia). Tumsifu Yesu Kristo.
Siyo kweli petro hajui hata ukatoliki ni kinyesi gani.
 
Upo sahihi, lakini Jerome hakutafsiri Biblia kutoka kwenye lugha ya wayahudi. Mpaka wakati huo wa tafsiri, tayari kanisa Katoliki chini ya Papa Damascus lilishakaa na kupangilia vitabu kwa uvuvio wa roho Mtakatifu (Canonisation) ndipo Mt. Jerome akafanya tafsiri ya kuyatoa maandiko hayo kutoka Kigiriki kwenda katika lugha ya Kilatini iliyokua inatumika kama lugha rasmi ya kanisa la Roma.
Hivyo vitabu vilivyoandikwa kwa kigiriki kabla ya Jerome kuvitafsiri kuja Kilatini vilitokea wapi?
 
kutoka kwa kiongozi gani sasa

ni unaleta hoja ukiwa umelewa au ni nini mbona sikusomi vizuri
mkuu nimesha ona msingi wa imani yako namaanisha wewe umemezeshwa vitu na kiongozi wako wa kiroho lakini hujui hicho kitu kwa undani zaidi sasa tufunge mjadara mkuu.
 
Hamuwezi kuelewana, hii ni kwasababu kuna wanaojaribu kuelezea vitu kwa historia na uelewa, kuna wanaojaribu kuelezea kwa hisia na imani, na kuna wanajitahidi kupinga maelezo kutokana na habari walizoaminishwa katika mafundisho yao ya imani.
That's the point,kama ni kuelewana huu uzi ulikuwa (kwa mtazamo wangu) uishie hapa Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza? au hapa Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza? na hapa Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza? but......

Kwa sababu watu wanataka kupinga ambayo hawakufundishwa kwenye imani zao ndiyo vurugu tunazoziona hapa,na ukweli ni kwamba hakuna siku tutakaa tukubaliane kwa kila kitu kwenye hizi imani zetu muhimu sana kila mmoja a-stick na anachoamini huku akikipa heshima kile mwenzake anachokiamini kama kubadilishana imani basi iwe ni kwa utaratibu siyo kuanza kashfa na maneno mabaya.
 
Hivyo vitabu vilivyoandikwa kwa kigiriki kabla ya Jerome kuvitafsiri kuja Kilatini vilitokea wapi?
hapana kilatini ni lugha ya kale ilikuwepo tangu kwa ibrahim hivyo nazani biblia ilikuwa kwa lugha flani kama sio kilatini lakini suala la kujadiri tafsiri halina maana sana
 
mkuu nimesha ona msingi wa imani yako namaanisha wewe umemezeshwa vitu na kiongozi wako wa kiroho lakini hujui hicho kitu kwa undani zaidi sasa tufunge mjadara mkuu.
Mkuu wewe ndie umemezeshwa, jaribu kujifunza.
Jenga hoja na uitetee kama kweli unauhakika nayo.
Tunajifunza maana hatujui yote
 
That's the point,kama ni kuelewana huu uzi ulikuwa (kwa mtazamo wangu) uishie hapa Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza? au Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza? na hapa Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza? but......

Kwa sababu watu wanataka kupinga ambayo hawakufundishwa kwenye imani zao ndiyo vurugu tunazoziona hapa,na ukweli ni kwamba hakuna siku tutakaa tukubaliane kwa kila kitu kwenye hizi imani zetu muhimu sana kila mmoja a-stick na anachoamini huku akikipa heshima kile mwenzake anachokiamini kama kubadilishana imani basi iwe ni kwa utaratibu siyo kuanza kashfa na maneno mabaya.
asante kwa uchambuzi lakini usifanye tena uchambuzi mbele za watu maana unaweza kudhalilika huna skills ya kile unacho kiongea
 
hapana kilatini ni lugha ya kale ilikuwepo tangu kwa ibrahim hivyo nazani biblia ilikuwa kwa lugha flani kama sio kilatini lakini suala la kujadiri tafsiri halina maana sana
Nieleweshe ulichoandika.
 
Mbona nimeeleza hoja za pande zote. Ninachohitaji ni uthibitisho wa kimaandiko kutoka kwenye hoja za Wakatoliki.
Na sijui amejuaje kama umejipanga kupinga!! Ndugu yangu kwenye imani wapo baadhi wanafuata mkumbo tu hawajui chochote! Tusubiri majibu!!!
 
mkuu nimesha ona msingi wa imani yako namaanisha wewe umemezeshwa vitu na kiongozi wako wa kiroho lakini hujui hicho kitu kwa undani zaidi sasa tufunge mjadara mkuu.
ukitaka kuelewa haya mambo usisome kama upo kwenye dini fulani

soma tu historia kikawaida kama unvosoma historia ya Tanzania kabla ya uhuru hadi sasa

soma ki kawaida ujue ukristo ulianzaje mgawanyiko kwenye kanisa ulianzaje na ni kwanini ikazaliwa kanisa gani hadi baadae utakuja kukutana na kanisa lako

nyie wasabato kanisa lenu limeanza miaka ya 1800
 
Hivyo vitabu vilivyoandikwa kwa kigiriki kabla ya Jerome kuvitafsiri kuja Kilatini vilitokea wapi?
Ni kama maelezo uliyotoa huko juu, ndio maana nikataka kukurekebisha hapo kwenye tafsiri.

Lakini pia tukumbuke wayahudi hawana agano jipya, Biblia yao ina agano la kale tu. Tunachanganya kati ya Tanakh na Masoretic, Tanakh iliandikwa kiebrania lakini iliandaliwa chini ya uongozi wa kanisa katoliki, ikijumuisha hivyo vitabu vilivyokua vinatumika na wayahudi (Torah, Neviim na Ketuviim) pamoja na vitabu vya agano jipya.
 
Back
Top Bottom