Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
wewe umesoma historia ? mbona unanishauri kusoma wakati umesema ni zaidi ya miaka 2000 imepita na hujui msingi wa imani yako kuwa ni vipi petro awe ni mwanzilishi wa romaukitaka kuelewa haya mambo usisome kama upo kwenye dini fulani
soma tu historia kikawaida kama unvosoma historia ya Tanzania kabla ya uhuru hadi sasa
soma ki kawaida ujue ukristo ulianzaje mgawanyiko kwenye kanisa ulianzaje na ni kwanini ikazaliwa kanisa gani hadi baadae utakuja kukutana na kanisa lako
nyie wasabato kanisa lenu limeanza miaka ya 1800
ulivyo banwa mara sijui roma sio katoliki unadai hivi nilivyo kubana uniambie msingi wa imani yako kuhusu mtume paul kuwa muuwaji wa dola hilo kwa wakristo hujui alafu sahivi sijui unaongea nini so negative au unazani mimi ni mbumbumbu