Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?

Inabidi mkubali kutokubaliana, kila mtu anatetea lake na kwa jinsi yeye alivyoamini na alivyotafsiri kilichoandikwa.
Setfree umepewa andiko ambalo wao wanalisimamia bado hutaki, na wewe una tafsiri yako, hapo ndipo mnapopishana.

Wao wanaamini kwenye historia na mapokeo wajuaayo wao, wewe unaamini biblia pekee, tofauti nyingine hiyo.

Mtaishia kunyukana tu, acha mwanahistoria DR Mambo Jambo aje ahitimishe huu mjadala kwa ajuavyo yeye. Karibu mheshimiwa.
kasomeni historia nyie mjue mambo yalivyo

watu wakianziasha makanisa yao wanakuja na vi historia vyao vya mchongo

sasa:

Je kanisa lenu lilichipukia wapi mwaka gani ? kwa sababu zipi ? tafuta utapata

Je kanisa Kanisa Katoliki kuna sehemu lilichipukia ? kama ipo ni wapi ?
Tafuta ukipata sehemu yoyote uje utuambie hapa

pia baada ya yote mseme lile kanisa la kwanza ambalo lilitajea kwenye biblia

"Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Nami nitakupa funguo za Ufalme wa Mbinguni..."

Je lilikufa ? au liliishia wapi ? Lipo wapi Saivi ?
 
ili kujua kanisa lako kuwa linafuata biblia au alifuati soma biblia nzima kwanza, pili angalia na ufuatili chanzo cha taratibu zote za ibada kama kuna sehemu kwenye biblia imeagizwa kama hakuna ujue kanisa alifuati biblia bali mapokeo na maagizo ya mtu binafsi.
Naomba tafsiri yako ya kauli hii
linalokubalika duniani basi hata Mbinguni hukubalika.
 
Hujanielewa vizuri. Mzizi wa hoja yangu uko kwenye cheo cha Papa. Viongozi wengine kama Maaskofu, na Wachungaji, wametajwa kwenye Biblia. Lakini Papa simuoni kwenye Maandiko.
Sawa huenda ni kweli sijakuelewa.
Naomba tafsiri yako ya andiko hili
Linalokubalika duniani hata Mbinguni hukubalika.
 
Hujanielewa vizuri. Mzizi wa hoja yangu uko kwenye cheo cha Papa. Viongozi wengine kama Maaskofu, na Wachungaji, wametajwa kwenye Biblia. Lakini Papa simuoni kwenye Maandiko.
Papa ni Askofu anaeteuliwa kuongoza kanisa Katoliki Dunia nzima

nyie watu hamjui mambo mengi kuhusu kanisa Katoliki na mko bize kulishambulia kanisa
( kwa faida ya watu kama nyie: Papa ni Askofu, Kadinali ni Askofu )

hata sasa daraja la mwisho kabisa katika kanisa ni uaskofu
( ambao katika Kanisa Katoliki haufiki hapo kirahusi )
 
Inabidi mkubali kutokubaliana, kila mtu anatetea lake na kwa jinsi yeye alivyoamini na alivyotafsiri kilichoandikwa.
Setfree umepewa andiko ambalo wao wanalisimamia bado hutaki, na wewe una tafsiri yako, hapo ndipo mnapopishana.

Wao wanaamini kwenye historia na mapokeo wajuaayo wao, wewe unaamini biblia pekee, tofauti nyingine hiyo.

Mtaishia kunyukana tu, acha mwanahistoria DR Mambo Jambo aje ahitimishe huu mjadala kwa ajuavyo yeye. Karibu mheshimiwa.
Habari Mkuu! Vishu Mtata
Mjadala Mzito sana Huu!
Na Cha kushangaza kabisa Kuna baadhi ya Hoja Nitakubaliana na Setfree japo sio Zote na Kuna baadhi ya Hoja Nitapingana naye kabisa..

Nitakubalina na Setfree kwa Hoja kadhaa hapa chini pia nitapingana naye kwa baadhi ya mambo nisikilize..

Kwanza kabisa Mamlaka Ya papa Si mamlaka ya Kimungu (Nisamehewe Kusema hivyo)..
Mamlaka ya Papa (Papacy) haitokani na maagizo ya Mungu..

Ukisoma Kwenye Mathayo 23:9

inazuia Kumpa Mtu title ya Baba Mtakatifu (papacy)

"Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.

SAsa Nirudi kwenye Swali je Petro alikuwa Papa wa Kwanza.?

Katika nyakati za Mitume, makanisa yalikuwa yanaongozwa na wazee (presbyters) na mashemasi (deacons).
Hakukuwa na Kiongozi mmoja mwenye authority ya Kuongoza Kuliko wenzake..

Na Mfumo wa Uongozi wa Kanisa Ulifuata Tamaduni za Kiyahudi kwa Mfumo wa Mabaraza Hasa baraza la Senhedrin..
Na Mabaraza Hayo yaliundwa kwa Wazee 70..

Mabaraza Hayo yaliundwa na wazee(elders),Waandishi wa sheria (scribes) na Makuhani wakuu (high priests) Wasomi/Waalimu wa Sheria..mwenyekiti wa Senhedrin huitwa nasi (kiongozi)

Kama Unakumbuka hata Kipindi yesu anasulubiwa
Kiongozi wa Senhedrin Kipindi cha Yesu alikuwa akiitwa Kayafa (Caiaphas) kama Unakumbuka hata Mtafaruku wa Gentiles kuhusu Kutokutahuriwa kwenye Matendo 15 Kikao cha Yerusalem ndo kiliamua na Hitilafu zote ziliwasilishwa Senhedrin kuhojiwa na maamuzi yakatoka Ya Baraza

So Hiyo ndo ilikuwa Aina ya Uongozi ya Kanisa na wala hakukuwa na uongozi wa Jumla..

Hata hivyo Paulo ametumia Muda Mwingi sana Roma na hakuna Mahali amewahi kuandika Kuwa Petro aliwahi kuwa Kiongozi wa kanisa..

Sasa Hiyo Kitu Ilianza Lini (Papacy)..

Ukisoma Kwenye Kitabu cha "Ἔλεγχος καὶ ἀνατροπὴ τῆς ψευδωνύμου γνώσεως" yaani Elenchos kai anatropē tēs pseudōnymou gnōseōs Au kwa Summary ya Kilatin "Adversus Haereses" au Kwa Kingereza "Against Heresies" Kiliachoandikwa na churches Father Irenaeus of Lyon mwishoni mwa Miaka ya 180 A.D yaani Karne ya Pili
Pamoja na Kitabu cha Eusebius wa Caesarea kilichoandikwa karne ya 4 A.D "Ecclesiastical History" au Churches History ..

Ndo wanaweza Mapokeo ya Kutaja kuwa Yesu alimuachia Petro Uongozi wa Kabisa na Petro naye Alimuachia Clement ambaye na Yeye aliwahi kuandika Barua kwa Wakorinto (1 clement) karne ya Kwanza Mwishoni na Clement unaweza kumsoma kwenye wafilipi 4:3..

Baadaye Akaja ignatius wa antiokia karne Ya Pili mwanzoni kwenye Miaka ya 110..

Sasa Huyu ndo ambaye UAskofu ulianza Kushamiri japo..Sasa maaskofu wote Walikuwa Wakiitwa Papa Dunia Nzima Kwa Maana Ya Baba (Kwa Heshima)..

Mpaka karne ya 6, chini ya Papa Gregori Mkuu (590–604 BK), ambapo jina hilo likawa maalum kwa Askofu wa Roma tu, Na akapiga Marufuku matumizi ya Jina la Papa nje ya Askofu mkuu wa Roma..

Na Huo ndo ulikuwa Mwanzo wa Papa (Askofu Mkuu kutoka Rumi)..

Kuna Vitu Vingi vya Kuelezea Ila Kwa Ufupi ni Hivyo..

Nataka Kutofautiana na @serfree Sehemu moja tu Kuwa Petro Sio Mwamba na Mwamba ni Yesu peke yake..

Kwanza Petro Sio mwamba tu wa Kuambiwa na Yesu bali hata Jina lake lilibadilishwa na Kuwa Mwamba..

Jina Halisi la Petro Lilikuwa Simoni Yohana...
Ila Yesu alimbadilisha Jina Na Kuwa Kefa/Petro neno lenye maan ya Mwamba..

Sasa Unapokataa Kuwa Jiwe Sio Jiwe Itabdii nishangae unatumia nini Kufikiri..
Ukitamka Jina Petro au Kefa maana Yake ni Mwamba au Jabali sasa Unaposema Mwamba Sio mwamba Unakosa Credible logic kabisa..

Yohana 1:42

" Akampeleka kwa Yesu. Naye Yesu akamtazama, akasema, Wewe u Simoni, mwana wa Yohana; nawe utaitwa Kefa (tafsiri yake Petro, au Jiwe)."

Nina Usingizi Ila Nikipata Muda Nitaendelea Ila kwa Kumalizia ni kwamba ni kweli Simoni Ni Mwamba yaani Ni kweli Simoni Ni petro na Alipewa Kuongoza vingi ikiwemo kanisa la Mungu ila kwa bahati mbaya alipokonywa Injili na Paulo (Sitaki kuendelea zaidi)😀😀
 
Ndugu zangu wa Kanisa kubwa duniani, Kanisa Katoliki - poleni sana kwa msiba mzito. Wakati maombolezo yakiendelea, naomba tuongee kiutu uzima; kwa heshima na upendo.

Kwanza ninawapongeza: mkiwa Kanisani, mnaonyesha heshima kubwa kwa Mungu. Sasa naomba mnijibu swali hilo: Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?

Nimesikia mnafundisha kwamba Mtume Petro ndiye aliyeteuliwa na Yesu kuwa msingi wa Kanisa au Papa wa kwanza. Mnanukuu Mathayo 16:18 na kusema kwamba katika Andiko hilo Yesu alimwambia Petro, “Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu.” Kwa tafsiri yenu, “mwamba” huo ni Petro mwenyewe, na hivyo mnamuona kama Papa wa kwanza. Mnaamini kwamba, mamlaka ya Petro kama kiongozi wa mitume yaliendelezwa na Mapapa waliomfuata, wakiwa viongozi wa juu wa Kanisa la Kristo duniani. Ni kweli?

Kama ni kweli, mbona mtazamo wa Kiprostestanti unatofautiana na mafundisho yenu. Waprotestanti wanasisitiza kuwa msingi wa Kanisa sio mtu binafsi, bali ni Yesu Kristo mwenyewe (1 Wakorintho 3:11), na kwamba “mwamba” aliouzungumzia Yesu ni Yeye mwenyewe(Yesu) kama Petro alivyokiri: “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” (Mathayo 16:16).

Kwa mtazamo wa Kiprostestanti, Petro hakuwa Papa, kwa sababu hakuna ushahidi wa kibiblia unaoonyesha kuwa alipewa mamlaka ya kipekee juu ya mitume wengine. Na wakati wa Kanisa la kwanza mfumo uliopo leo wa kipapa, haukuwepo.

Waprotestanti wanaeleza tena kwamba Viongozi wa kwanza wa Kanisa walifanya maamuzi yao kwa ushirikiano (Mdo 15), sio kwa mamlaka ya mtu mmoja(Papa). Wanasimama na Andiko la Waefeso 5:23 linalosema kwamba Yesu ndiye Kichwa cha Kanisa. Wanaamini pia kwamba Roho Mtakatifu ndiye anayeliongoza Kanisa lote sasa, na sio kiongozi mmoja wa kimwili. Wananukuu Yohana 16:13
"Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote."

Hoja hizo mnazijibuje?

Ntashukuru sana nikipata majibu ya swali langu na majibu kuhusu hoja hizo za Kiprotestanti. Majibu yajengwe kwenye Maandiko Matakatifu(Biblia). Tumsifu Yesu Kristo.
Mtakatifu wa kwanza ni baba na mama yako nyambaff we
 
Kwani maana ya "Waprotestant

Nikuulize hivi: "Nini maana ya 'Waprotestant' na walianza lini, na Kanisa Katoliki lilianza lini?" Kwa kukusaidia walianza katika Karne ya 16 (mwaka takriban 1517). Kanisa Katoliki lilianza Karne ya 1. Hebu sasa uliza tena swali lako ukiwa na hiyo background.
 
Habari Mkuu! Vishu Mtata
Mjadala Mzito sana Huu!
Na Cha kushangaza kabisa Kuna baadhi ya Hoja Nitakubaliana na Setfree japo sio Zote na Kuna baadhi ya Hoja Nitapingana naye kabisa..

Nitakubalina na Setfree kwa Hoja kadhaa hapa chini pia nitapingana naye kwa baadhi ya mambo nisikilize..

Kwanza kabisa Mamlaka Ya papa Si mamlaka ya Kimungu (Nisamehewe Kusema hivyo)..
Mamlaka ya Papa (Papacy) haitokani na maagizo ya Mungu..

Ukisoma Kwenye Mathayo 23:9

inazuia Kumpa Mtu title ya Baba Mtakatifu (papacy)

"Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.

SAsa Nirudi kwenye Swali je Petro alikuwa Papa wa Kwanza.?

Katika nyakati za Mitume, makanisa yalikuwa yanaongozwa na wazee (presbyters) na mashemasi (deacons).
Hakukuwa na Kiongozi mmoja mwenye authority ya Kuongoza Kuliko wenzake..

Na Mfumo wa Uongozi wa Kanisa Ulifuata Tamaduni za Kiyahudi kwa Mfumo wa Mabaraza Hasa baraza la Senhedrin..
Na Mabaraza Hayo yaliundwa kwa Wazee 70..

Mabaraza Hayo yaliundwa na wazee(elders),Waandishi wa sheria (scribes) na Makuhani wakuu (high priests) Wasomi/Waalimu wa Sheria..mwenyekiti wa Senhedrin huitwa nasi (kiongozi)

Kama Unakumbuka hata Kipindi yesu anasulubiwa
Kiongozi wa Senhedrin Kipindi cha Yesu alikuwa akiitwa Kayafa (Caiaphas) kama Unakumbuka hata Mtafaruku wa Gentiles kuhusu Kutokutahuriwa kwenye Matendo 15 Kikao cha Yerusalem ndo kiliamua na Hitilafu zote ziliwasilishwa Senhedrin kuhojiwa na maamuzi yakatoka Ya Baraza

So Hiyo ndo ilikuwa Aina ya Uongozi ya Kanisa na wala hakukuwa na uongozi wa Jumla..

Hata hivyo Paulo ametumia Muda Mwingi sana Roma na hakuna Mahali amewahi kuandika Kuwa Petro aliwahi kuwa Kiongozi wa kanisa..

Sasa Hiyo Kitu Ilianza Lini (Papacy)..

Ukisoma Kwenye Kitabu cha "Ἔλεγχος καὶ ἀνατροπὴ τῆς ψευδωνύμου γνώσεως" yaani Elenchos kai anatropē tēs pseudōnymou gnōseōs Au kwa Summary ya Kilatin "Adversus Haereses" au Kwa Kingereza "Against Heresies" Kiliachoandikwa na churches Father Irenaeus of Lyon mwishoni mwa Miaka ya 180 A.D yaani Karne ya Pili
Pamoja na Kitabu cha Eusebius wa Caesarea kilichoandikwa karne ya 4 A.D "Ecclesiastical History" au Churches History ..

Ndo wanaweza Mapokeo ya Kutaja kuwa Yesu alimuachia Petro Uongozi wa Kabisa na Petro naye Alimuachia Clement ambaye na Yeye aliwahi kuandika Barua kwa Wakorinto (1 clement) karne ya Kwanza Mwishoni na Clement unaweza kumsoma kwenye wafilipi 4:3..

Baadaye Akaja ignatius wa antiokia karne Ya Pili mwanzoni kwenye Miaka ya 110..

Sasa Huyu ndo ambaye UAskofu ulianza Kushamiri japo..Sasa maaskofu wote Walikuwa Wakiitwa Papa Dunia Nzima Kwa Maana Ya Baba (Kwa Heshima)..

Mpaka karne ya 6, chini ya Papa Gregori Mkuu (590–604 BK), ambapo jina hilo likawa maalum kwa Askofu wa Roma tu, Na akapiga Marufuku matumizi ya Jina la Papa nje ya Askofu mkuu wa Roma..

Na Huo ndo ulikuwa Mwanzo wa Papa (Askofu Mkuu kutoka Rumi)..

Kuna Vitu Vingi vya Kuelezea Ila Kwa Ufupi ni Hivyo..

Nataka Kutofautiana na @serfree Sehemu moja tu Kuwa Petro Sio Mwamba na Mwamba ni Yesu peke yake..

Kwanza Petro Sio mwamba tu wa Kuambiwa na Yesu bali hata Jina lake lilibadilishwa na Kuwa Mwamba..

Jina Halisi la Petro Lilikuwa Simoni Yohana...
Ila Yesu alimbadilisha Jina Na Kuwa Kefa/Petro neno lenye maan ya Mwamba..

Sasa Unapokataa Kuwa Jiwe Sio Jiwe Itabdii nishangae unatumia nini Kufikiri..
Ukitamka Jina Petro au Kefa maana Yake ni Mwamba au Jabali sasa Unaposema Mwamba Sio mwamba Unakosa Credible logic kabisa..

Yohana 1:42

" Akampeleka kwa Yesu. Naye Yesu akamtazama, akasema, Wewe u Simoni, mwana wa Yohana; nawe utaitwa Kefa (tafsiri yake Petro, au Jiwe)."

Nina Usingizi Ila Nikipata Muda Nitaendelea Ila kwa Kumalizia ni kwamba ni kweli Simoni Ni Mwamba yaani Ni kweli Simoni Ni petro na Alipewa Kuongoza vingi ikiwemo kanisa la Mungu ila kwa bahati mbaya alipokonywa Injili na Paulo (Sitaki kuendelea zaidi)😀😀
Hapa uko off-point! Huwezi kusoma biblia kama kitabu cha historia sawa na kusema "Mkutano wa Berlin wa kuligawa Bara la Afrika ulifanyika mwaka 1884." Lugha ya Biblia ni kama ilivyo lugha ya sheria, lazima ufanye "interpretation". Ni aina tofauti ya 'literature'. Kwa hiyo, huwezi kusoma tu mstari ukajifanya kwamba huo mstari una maana hiyo uliyoisema. Lazima ufanye kitu kinachoitwa "exegesis au hermeneutics" vinginevyo, unachofanya ni "eisegesis" (kukipa kifungu/mstari wa Biblia maana yako, na si maana iliyo kwenye hicho kifungu au mstari). Hata sheria ziko hivyo. Huwezi kusoma kifungu cha sheria na kukipa maana unayopenda, lazima ufuate kanuni za tafsiri ya sheria, na kanuni mojawapo ni ya "reasonable person" - yaani sheria yoyote ikitungwa, inatungwa na "reasonable person", lakini kama ikitungwa kwa kukiuka hii kanuni au context yake imebadilika/au haikidhi tena mahitaji ya jamii unakuta ama Bunge linaibadilisha au kuifuta au mahakama inayasema ni "null and void". Sasa kanuni mojawapo ya tafsiri ya Biblia ni kujua "context". Je, maneno uliyoya'quote' yalizungumuzwa katika context au mkutadha gani? "Bila kujua context ya text hakuna tafsiri sahihibya hiyo text" - hii inafanana na kusema 'no reform no election' in terms of internal logic: yaani, 'no knowledge of context, no right interpretation' hata kama unajua kushusha vifungu vya Biblia kiasi gani.
 
Naomba tafsiri yako ya kauli hii
linalokubalika duniani basi hata Mbinguni hukubalika.
sasa hapo sijui unaongea nini mkuu hili fungu halina uhusiano wowote na katoriki japo nasikiaga wakilitumia ila halina uhusiano wowote unaweza kuthibitisha japo najua imani ya katoliki ipo kwenye kuamini tu bila uthibitisho wowote ule wa vitu
 
Haaaaahaaaa..kwani Yesu alinena kwa lugha za vinywa? Na ni lugha gani hizo?

Kiufupi, muundo wa kanisa katoliki uwaachie wakatoliki. Kama kweli una uchanga huo, sala nyingine unsazosali unatumia vifungu gani?

Kama wengine wanasali wanachosali, katoliki kusali rozari kunawatatiza nini?
Ungeacha tu kwa kuwa huna jibu.
 
Hapa uko off-point! Huwezi kusoma biblia kama kitabu cha historia sawa na kusema "Mkutano wa Berlin wa kuligawa Bara la Afrika ulifanyika mwaka 1884." Lugha ya Biblia ni kama ilivyo lugha ya sheria, lazima ufanye "interpretation". Ni aina tofauti ya 'literature'. Kwa hiyo, huwezi kusoma tu mstari ukajifanya kwamba huo mstari una maana hiyo uliyoisema. Lazima ufanye kitu kinachoitwa "exegesis au hermeneutics" vinginevyo, unachofanya ni "eisegesis" (kukipa kifungu/mstari wa Biblia maana yako, na si maana iliyo kwenye hicho kifungu au mstari). Hata sheria ziko hivyo. Huwezi kusoma kifungu cha sheria na kukipa maana unayopenda, lazima ufuate kanuni za tafsiri ya sheria, na kanuni mojawapo ni ya "reasonable person" - yaani sheria yoyote ikitungwa, inatungwa na "reasonable person", lakini kama ikitungwa kwa kukiuka hii kanuni au context yake imebadilika/au haikidhi tena mahitaji ya jamii unakuta ama Bunge linaibadilisha au kuifuta au mahakama inayasema ni "null and void". Sasa kanuni mojawapo ya tafsiri ya Biblia ni kujua "context". Je, maneno uliyoya'quote' yalizungumuzwa katika context au mkutadha gani? "Bila kujua context ya text hakuna tafsiri sahihibya hiyo text" - hii inafanana na kusema 'no reform no election' in terms of internal logic: yaani, 'no knowledge of context, no right interpretation' hata kama unajua kushusha vifungu vya Biblia kiasi gani.
MKuu Magobe T Habari?
Kwakuwa Nimeona Umeniandikia Kwa Muktadha wa Theology na Sijaona vibaya na Mimi nije Mbele Kuweka Vitu sawa..

Kwanza Nikupongeze Kwa kujua Vingi Kuhusu Hermeneutics na Umegusia jambo nyeti sana kuhusu tafsiri ya maandiko, na ni kweli kabisa kuwa maandiko matakatifu hayawezi kusomwa au kueleweka kwa mtindo wa kihistoria tu bila kuzingatia “muktadha” wake (context), lugha, tamaduni, na mazingira ya wakati huo. Hii ndio dhana ya msingi katika hermeneutics na exegesis, kama ulivyosema. Nalikubaliana hilo kabisa na kuliheshimu as Theologian..

Kwa hiyo, hoja yangu haikupuuza tafsiri ya muktadha wa Biblia, bali iliweka vyema kupitia mitazamo mitatu:
  1. Maandiko (Scripture),
  2. Mapokeo ya Kanisa (Church tradition),
  3. Historia ya Ukristo (Ecclesiastical history).
Kwakuwa Tafsiri sahihi ya Biblia inahitaji muktadha (context), lengo la mwandishi (authorial intent), hadhira ya wakati huo (audience relevance), na tafsiri kwa mujibu wa lugha asilia (lexical and syntactical analysis). Haya yote ni ya msingi sana katika exegesis ya kimaandiko. Nafikiri Kama Umenifuatilia Huwa Lazima niyahusishe kabla ya Kufanya Textual analysis yoyote..

Ndugu yangu Magobe T ningependa kueleza kwamba hoja niliyoitoa haikujikita tu kwenye “literalism” au “proof-texting”, bali ilikuwa ni tafsiri ya kimaumbo na kihistoria ..nimefanya Scriptural Analysis nimefanya Historical Theology kwa Kuwa nimeelezea Chanzo hasa mpaka Kufikia Hapo nikaja NikaonyeshaPatristics (Mapokeo ya Mababa wa Kanisa) [japo kwa Uchache] kupitia maandishi ya Irenaeus, Eusebius na wengine,na Nikagusia kidogo Ecclesiology.

Sasa Sijuu Kwenye Hatua Gani Unahisi Nimefanya "eisegesis"
Au Nimekosa "Resonable Person " Mimi Napenda sana Kujifunza Kwahyo Nasubiri Sehemu hiyo.

Kuhusu Petro na Papacy:

Umesema kuwa hoja yangu inakosa hermeneutic depth kwa sababu “nimesoma Biblia kama historia” – lakini kumbuka, asili ya mafundisho mengi ya mapokeo ya Kanisa (Tradition) ni historia yenyewe ya Kanisa la awali, na hivyo ni halali kabisa kutumia Historical-Critical Method kufuatilia maendeleo ya mfumo wa Papacy.

Kwa mfano, Ecclesiastical History ya Eusebius haikandamizi maandiko bali inapanua muktadha kwa njia ya kihistoria. Patristic witness kama Irenaeus, katika “Adversus Haereses”, pia alitumia historia ya ufuasi ili kulinda mafundisho dhidi ya uzushi (heresy), si kwa lengo la kubatilisha maandiko bali kuyadhibitisha kwa muktadha wa wakati.

Kwa hiyo, tafsiri yangu haiwezi kuwa "eisegesis" kama ulivyodai bali ni synthesis ya historia na maandiko (theological-historical synthesis)..

Kuhusu Mathayo 16:18 – “Petro kama Mwamba”:

Hapa Kuna scholarly debate ya muda mrefu juu ya kama “Petra” inamhusu Petro (kama mtu binafsi) au imani aliyotamka (Christological foundation).
[na kama ni christological Foundation Wakristo wote wamemkosea Yesu maana Hakuna Anayemfuata Petro hata Mmoja wote wanafuata Gentile gospel iliyoletwa na Paulo] Tuache Hilo..

Catholic exegesis huelekea kumtazama Petro kama mwamba mwenyewe – na hivyo kuhalalisha apostolic succession.

Lakini Protestant exegesis (ambayo niliichukua mimi kuielezea na Nahisi Iko sahihi kimaandiko) huona “Petra” kama imani juu ya Kristo aliyoikiri Petro.

Nothing More So Ningeona Ungekuja Mbele Tukaweka Hoja Kuhusu Petra Ya Petro kila Mtu na Muktadha wake halafu tukaichambua kila Muktadha Kuliko kuja na conclusion kuwa Petra Ya kwako ni trully Exegesis while ya Wengine sio..

Nimesimama Kwenye Protestant Exegesis kwa sababu nazijua Zote na Ambayo Iko sawa Kimashiko na Kitafsiri ni Protestant Exegesis

Kwa hiyo, hoja yangu ilikuwa si kupinga kuwa jina “Petro” linamaanisha “jiwe”/"Mwamba" (Cephas/Petros), bali kuwa maudhui ya kifungu hicho hayalengi kumpa Petro mamlaka ya kipekee ya kimuundo (institutional primacy), bali ya kiutumishi (ministerial role) na Hapo ndo kuna tofauti kubwa sana..
Ambayo Inafanya Exegesis ya Kiprotestant kuwa na Nguvu kuliko ya Catholic..

Kuhusu Mathayo 23:9 – “Msiite mtu baba”:

Hii si hoja ya kikanuni la hasha!
bali ya rhetorical device ya Yesu kuonya dhidi ya mamlaka ya kiroho yanayozidi mipaka ya uelekeo wa Mungu, kama ambavyo walimu wa sheria walivyofanya.

Hivyo, sio ‘forensic command’ bali ni hyperbolic moral instruction. Lakini pia contextual theological inanipa uhalali kuitumia kama hoja ya kudokeza namna mamlaka ya Papacy yalivyoibuka kinyume na roho ya mafundisho ya Kristo kama mtu atasoma kwa mtazamo wa systematic theology zaidi ya narrow grammatical hermeneutic Ataelewa Zaidi..

Sheria na Biblia – Tafsiri ya “Text na Context”:

Umegusia vizuri dhana ya "reasonable person" na legal hermeneutics. Lakini hata katika sheria, kuna mbinu ya "historical purposive interpretation", ambapo lengo la sheria linatazamwa katika muktadha wa kihistoria.
Ndivyo nilivyofanya, niliweka muktadha wa maendeleo ya Church polity (mfumo wa uongozi wa kanisa) ili kuonyesha kuwa Papacy ni zao la maendeleo ya taasisi, si agizo la moja kwa moja la Biblia.

Na nitaendelea Kusisitiza Hivyo..

CC: Setfree

Then Nakaribisha Hoja ili Tuwekane Sawa..
Kumbuka Niko Tayar Kujifunza
 
sasa hapo sijui unaongea nini mkuu hili fungu halina uhusiano wowote na katoriki japo nasikiaga wakilitumia ila halina uhusiano wowote unaweza kuthibitisha japo najua imani ya katoliki ipo kwenye kuamini tu bila uthibitisho wowote ule wa vitu
Nashangaa!
Nimekutaka ufafanue hilo fungu kwa kadiri ya uelewa wako halafu unanitaka mimi nithibitishe,nithibitishe kitu gani?
 
Petro ni kiongozi mkuu wa kanisa la mwanzo aliachiwa mamlaka na Yesu Kristo kanisa hilo la mwanzo limekuannw viongozi wengine wengi wapatao 260 waliofuata baada ya Petro ambao ndo viongozi wakuu wa kanisa na baada ya miaka mingi kiti hicho hicho ndo alicho nacho papa ikiwa papa francis ni kiongozi mkuu wa kanisa wa takriban 260 tangu Petro. Petro akiwa wa kwanza na aliteuliwa na Yesu Kriso

ukristo umeanza rasmi mwaka 33

( ukristo ndo ukatoliki wenyewe kama unabisha au hujaelewa hapo nitakujuza kwaiyo kwa mantiki hiyo ukatoliki umeanza mwaka 33 )
Si kweli, mtume Petro hauwa mkatoliki. Leta andiko kama unaushahidi kuwa alikuwa mkatoliki, acha porojo, toa andiko.
 
Kanisa linalozungumziwa kuwa la kwanza halikuwaabudu ama kuwaomba wafu.

Maria ni mfu

Petro ni mfu

Paulo na wengineo ni wafu.
Luka 1:41-49,55
[41]Ikawa Elisabeti aliposikia kule kuamkia kwake Mariamu, kitoto kichanga kikaruka ndani ya tumbo lake; Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu;
[42]akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
[43]Limenitokeaje neno hili, hata mama wa Bwana wangu anijilie mimi?
[44]Maana sauti ya kuamkia kwako ilipoingia masikioni mwangu, kitoto kichanga kikaruka kwa shangwe ndani ya tumbo langu.
[45]Naye heri aliyesadiki; kwa maana yatatimizwa aliyoambiwa na Bwana.
[46]Mariamu akasema,
Moyo wangu wamwadhimisha Bwana,
[47]Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu;
[48]Kwa kuwa ameutazama
Unyonge wa mjakazi wake.
Kwa maana, tazama, tokea sasa
Vizazi vyote wataniita mbarikiwa;
[49]Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu,
Na jina lake ni takatifu.
[55]Kama alivyowaambia baba zetu,
Ibrahimu na uzao wake hata milele.

Kwa hiyo sisi wakatoliki hatumweshimu kwa mafundisho ya kukalili, ila sisi hufundishwa kusikia, kutafakali na kuyaishi, hatubebwi na mafundisho ya baba mchungaji,

Kuhusu Petro na hao wengine siwezi kukujibu kwa sababu hata vitabu ambavyo ningekujibia nyie hamvikubali, mnaviita jina BAYA, kwa hiyo relax , jifunze , utafakali na utachuja
 
walikua hawasali kanisa kolote ila ndo ukristo ulivyoanza kama early comunity
baada ya miaka mingi kupita ndo wakaaza kusali

hata hivyo ndo maana katoliki haina jina hadi leo

Katoliki imetokana na Catholic maana yake ni kotu kilichoenea ulimwengu mzima

ukristo ulikua unaenea kwa kasi, wakristo wa kwanza wakaitwa wa catholic kwakua uliendea kwa kasi ya ajabu

na kilichowashangaza wengi ukristo ukaanza kuenea hadi roma, roma ndo ilikua dola yenye nguvu duniani zaidi ya ilivyo marekani kwa sasa yaani ilikua ni empire

viongozi wa roma wakaanza kuingia kwenye ukristo ukristo ukazidi kuimarika kwasababu unasapotiwa na empire yenye nguvu zaidi duniani na hapo ukiongelea ukristo maana yake ni ukatoliki kwasababu hakukua na usabato wala u anglican wala u Lutheran hivyo vyote vilikuja baadae sana

kwaiyo ni kweli wakati wanaanza hawakua na kanisa walitembea kusambaza ukristo na kanisa katoliki halijawai kua na jina hadi sasa linajulikana tu kama Catholic ila Catholic ni kitu kilichoenea dunia nzima
Catholic ni Jina. Identity..ambalo ni universe.

Kanisa lilipofika Roman likaitwa Roman Catholic n likamezwa na mira za kirumi likaacha mambo ya Mungu.

Kanisa likaanza kufanya biashara badala ya ukombozi wa waliopotea. Kanisa likabadili majira, saa, siku n.k.

Kanisa likatengeneza mfumo ambao watu badala ya kumfuata Yesu na kumabudu Mungu likaanza kumabudu sanamu na binadamu.

Wengi sana salikimbia toka Rumi na kwenda sehemu nyingine. Soma kitabu cha Ufunuo 12 na Danie 9.

Mambo mengi yaliyofanywa na Roma yamefanya hadi leo kunamkanganyiko kwenye maandishi na namna ya kumabudu Mungu.

Romba imegeuka babeli. Soma Ufunuo 14.
 
Acha uwongo, pili ujifunze kuandika, tatu hakuna Kanisa linaloitwa Roman Catholic, bali neno Roman lilianzishwa na waprotestant karne ya 16.
 
Back
Top Bottom