Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?

Hamuwezi kuelewana, hii ni kwasababu kuna wanaojaribu kuelezea vitu kwa historia na uelewa, kuna wanaojaribu kuelezea kwa hisia na imani, na kuna wanajitahidi kupinga maelezo kutokana na habari walizoaminishwa katika mafundisho yao ya imani.
 
huja nijibu vizuri hebu elezea vizuri imani yako juu ya kuamini Petro kuwa ni mwanzilishi wa dola hilo la roma ambalo hivi sasa ni kanisa katoloki wewe unaamini kuwa Petro alianzisha katoriki na katoriki kihistoria ni dola la roma lililo tawala karabia dunia nzima.

nimekuuliza hivi ili kutaka kujua kuwa unajua unacho kiamini au una amini tu hivyo hivyo ? kama unajua unacho kiamini hebu nielezee ilivyo kuwa ni vipi Petro amekuwa mwanzilishi wa watu walio muuwa ?
 
Hamuwezi kuelewana, hii ni kwasababu kuna wanaojaribu kuelezea vitu kwa historia na uelewa, kuna wanaojaribu kuelezea kwa hisia na imani, na kuna wanajitahidi kupinga maelezo kutokana na habari walizoaminishwa katika mafundisho yao ya imani.
wewe upo upande gani ?
 
Hakuna mtu anaitwa papa mtakatifu, kama una maana ya kiongozi wa kanisa katoliki duniani anaitwa Papa au baba mtakatifu, na idadi yao mpaka sasa ni 266 wakihesabiwa kuanzia kwa mtume petro mpaka francis rip.
 
hujui unachouliza, kanisa katoliki halijawai kua dola la roma
 
MILELE Amina🙏
 
Padre Jerome alitafsiri kutoka lugha mama.
Kwa maana hiyo wayahudi ndio waliachiwa kanisa la kwanza sio waroma.
Upo sahihi, lakini Jerome hakutafsiri Biblia kutoka kwenye lugha ya wayahudi. Mpaka wakati huo wa tafsiri, tayari kanisa Katoliki chini ya Papa Damascus lilishakaa na kupangilia vitabu kwa uvuvio wa roho Mtakatifu (Canonisation) ndipo Mt. Jerome akafanya tafsiri ya kuyatoa maandiko hayo kutoka Kigiriki kwenda katika lugha ya Kilatini iliyokua inatumika kama lugha rasmi ya kanisa la Roma.
 
kwahiyo wakristo walianza kuwepo kabla ya mitume kutumwa na yesu ulimwenguni?
hapana baada ya Yesu, mitume ndo walisambaa na kwenda kuhubiri habari za Yesu, walioamini ndio hao wakawa wakristo

mtume paulo hakua kati ya hao, alikua ni mtu tuu anaitwa sauli alishiriki kuuwa wakristo

alikuja kuongoka baadae na akawanmstari wa mbele kusafiri kilasiku jinsi alivyoweza, kuandika barua na kuusambaza ukristo kwa bidii sana
 
hujui unachouliza, kanisa katoliki halijawai kua dola la roma
inaonekana wewe unaamini tu kuwa petro ni muanzilishi wa roman katoliki kwa kuaminishwa na mchungaji wako lakini hujui alianzisha vipi wewe unaamini tu hivyo hivyo
 
sasa baada ya yesu kuwatuma mitume wote mbona unarudi kusema paul alikuwa sio mtume na aklikuwa anawauwa wakristo inamaana yesu alishuka mara ya pili na kumtuma paul sasa ndio akaacha kuwa muuwaji na kutubu? hivi unajua maana ya mtume ?

pili unaniambia paul alikuwa miongoni mwa wauwaji wa wakristo kwenye dola hilo nimekuuliza alikuwa na cheo gani ? hujanijibu au na hili unaamini tu hivyo hivyo kutoka kwa kiongozi wako alivyo kuaminisha lakini hujui ilikuwaje kuwaje?
 
ushawai kusikia viongozi wa juu wa roma katoliki waki omba radhi kwa mauwaji yaliyofanya na dola lake la kale dhidi ya wakristo ?
Hayo yote yametokea zamani sana karibia miaka 2000 sasa wewe unataka usikie nini

hata hivyo kanisa kuu alipo Papa kule ( Basilica )
lilijengwa Roma kwa heshima ya sehemu alipouawa Mtume Petro

kama tu alivyofanya mtume Paulo, hata dola ya kirumi ilichochea kwa kasi kukua kwa ukristo na kuenea dunia nzima kutokana na nguvu ya Roman Empire wakati huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…