Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Lissu kasuswa na Mzee Edwin Mtei?

Inawezekana pia kikwete kamsusia mtu yule kampeni
 
Tokea amtukane Nyerere tena matusi mazito kabisa,

Mtei Hana hamu naye tena.
Mzee Mtei is a descent person ,state man hawezi kushabikia mtu mwenye mdomo kama Lissu . Anaehubiri kuwa miundombinu inayojengwa watanzania hatuihitaji. Anaepotosha kuwa watu hawajengewi uwezo kuendelea wakati wanasomeshewa watoto, wanapunguziwa mizigo ya kodi .Lissu ni mlaghai mchuuzi wa nchi .kamwe Mzee mtei aliefanya kazi na Nyerere hawezi kuwa Nan huyu mhuni .
 
Mzee mtei anamshangaa mbowe kukubali kumpitisha mgombea kimeo kama lissu,lissu hana mvuto wa kisiasa ni mropokaji tu na atagaragazwa vibaya mno.Mwaka huu wa uchaguzi chadema wana hali mbaya mno ndio maana mzee mtei hana raha kabisa.

Sasa kimbembe ni baada ya uchaguzi mkuu ambapo yule jamaa kutoka ubelgiji atakapotaka umwamba ndani ya chama,hapatatosha na yule hana simile na matokeo yake ni kufukuzwa chamani,muda utaongea.
 
Ukiwa humjui wala hujui kitu alikuja na porojo zako kwamba anazungumza sheria za first year ambazo hazijui! Ukiwa hujui kwamba hujui unaanzisha mipasho imagine hapa? 2015 huyo met alishiriki kampeni za CDm? Tunajua wewe ni mkubwa wa wajinga!
Mgufuli alipora KOROSHO kangomba wapo bado wanamsubir
 
Sisi Chadema tunatuma Maombi Maalum kwa Mgombea Urais wa CCM Mzee Daktari bingwa wa kemia duniani Bwana Magufuli Kukubali Kuwa na MDAHALO na Mgombea Urais Wa Chadema Kamanda Tundu Lissu ili Kushindanisha SERA na Mitazamo Yao kwa Nchi Yetu Live kwenye TV na Redio Zote za Duniani na Wananchi Wote Watasikiliza!:
 

Sera gan? hio mipasho ndo sera? ushawhi kuona PHD holder anafanya mipasho?
 
Nasubiri hilo sakata kwa hamu
 
Tokea amtukane Nyerere tena matusi mazito kabisa,

Mtei Hana hamu naye tena.
Alimtukanaje arifu? Ulikuwa unataka Lissu akalale kwa Mtei ndio ujue wana mahusiano mazuri?
 
Mzee Mtei sasa ni zaidi 80s siasa za kipindi hiki haziwezi tena
 
Kwa umri aliona huyo mzee sasahivi anaweza kusimama jukwaani na kuongea? mbona mama Maria Nyerere hainde kwenye kampeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…