Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Lissu kasuswa na Mzee Edwin Mtei?

Kiheshima alipoenda Arusha alitakiwa kwenda kumekucha.Mzee Mtei ni Mwanzilishi wa Chadema

Kupita tu kupata baraka ya mzee kakosea
 
Seminari ipi ilimtuma Nyerere na kufanya nini? Lete ushahidi hapa kwa faida ya wote.
Pia tutajie hao wazee ambao walisahaulika. Una maanisha akina Mkwawa maana Hawa ndo wazalendo wa nchi hii
 
Seminari ipi ilimtuma Nyerere na kufanya nini? Lete ushahidi hapa kwa faida ya wote.
Pia tutajie hao wazee ambao walisahaulika. Una maanisha akina Mkwawa maana Hawa ndo wazalendo wa nchi hii
Kasome jesuit society na fabian sociaty kati yao nani alishinda kura za kusimamia transfomation ya tanganyika!!halafu jifunze kuhusu mtu huyu KAMBARAGE BURITO NYERERE na kwanini alibatizwa kuwa JULIUS halafu utapata fact!!!!PIA KAJIFUNZE HIZO SOCIETY MBILI NI ZA TAASISI GANI HAPA DUNIANI!!!!Nadhani umepata homework kaifanyie kazi!!!
 
Pole sana Bro.
Kila la heri
 
Umeandika kwa herufi kubwa kuweka msisitizo lakini Nyerere ni muasisi wa taifa.

Asingeweza kumfurahisha kila mtu wakati nchi ikiwa bado ni changa.

Alikuwa na changamoto nyingi na za muhimu kutatuliwa, halafu aanze kuleta urafiki na kila mtu!.
 
Mlishakula laana enyi kizazi cha nyoka
 
Lissu alishalaaniwa na mizozo inayomuandama ni matokeo ya kulaaniwa na wazee
 
Mangi anahasira naye ,pesa haziingii kwenye saccos yake ,Lissu kaja kumletea hasara kwenye saccos yake
 
Kweli tuwe makini na majina tunayowapa watoto. Yuda katika ubora wake
 
Mleta mada wewe ni mke wa mzee Mtei unajuaje kama hawajaonana?
Unajuaje huenda labda mzee Mtei hawezi mikiki ya kusimama majukwaani na kumnadi Lissu kutokana na umri wake.?
 
Heshima kwa waasisi wetu wa nchi...hivi ukijivika ujuvi wa kila jambo matokeo yake ndio haya.
Vp yule aliyemtukana mama yake mzazi baada ya kufiwa na mume wake wawe pamoja namzee wa jogoo kupeana faraja ya ukubwani, ile laana ya mzazi mwaka huu lazima aangukie pua,Lisu2020
 
"Je, ni kweli Lissu kasuswa na Mzee Edwin Mtei?"
Si kweli, kwa sababu hatuja sikia kauli ya mzee Mtei kama amemsusa Lissu, adi pale atakapo toa kauli hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…