Je, ni kweli mshahara wa Mwezi April, 2020 umeshatoka?

Habarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.

Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Walimu mna haraka sana duh..

Huna SimBanking?
 
Habarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.

Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Mshahara as if wote JF wanapokea mshahara kwa jinsi ulivyoandika.
 
Habarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.

Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Mshagara bado mkuu,,,
Nipo Nanjilinji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Wa kuheshimiwa kuliko mwingine

Watumishi wote wapewe heshima sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni Walimu, Naona Kuna increment [emoji12][emoji12][emoji12] Muongeze bidii Sasa ya kazi sio kulia lia![emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.

Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Nyuzi nyingine bhanaa!!!

Kitu na boksi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshara umewekwa kwa kada karibia zote. Jana mwenywe nieshangaa msg hiyo tena usiku ambapo si kawaida kwa terehe hizi. Tumepewa tununue nyungu tujifukize na familia zetu. Msiende kulewea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…