Je, ni kweli mtu mwenye uwezo wa darasani (aliyesoma) anauwezo wa kupambana mtaani hadi kumzidi ambaye hakusoma?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Ndugu yangu mmoja baada ya kukimbiza sana pale Mwanza buhongwa kwa biashara ya mbao. Kaamua kuingia zake dsm kariakoo na biashara mpya Sasa hivi anaenda china, hakusoma aliacha Shule darasa la saba.

Tuseme ukweli kufungua biashara na kuisimamia Kunataka u-smart gani kuliko yule aliyeweza kusoma ma Archimedes principle? Kweli mtu anasoma physics advance anapata "A" electronic chuo na anapata "A" huyu mtu akiamua kuweka u-smart wale kwenye biashara anawezaje kuzidiwa na mtu ambaye hajasoma?

Tunaamini waliofeli Walikua na uwezo mdogo sana Lakini wamefanikiwa Kibiashara hivi wewe msomi ulieweza kumeza na kuelewa vitu vizito unashindwaje biashara? Fikiria daktari au engineer wameweza kuweka vitu vizito kichwani Lakini hawana hata biashara.

Wanachuo waliomaliza na walio mtaani wasiwe wanyonge wanauwezo mkubwa sana wa kupambana ni kwamba wanakosa mitaji Lakini akiamua kupambana mtaani lazima utoboe kuliko yule ambae hajasoma na Yuko kwenye business.

Hiko hivi Kuna maisha tunayoyatamani Sana lakini kuyafikia ni ngumu hata upambanaje, tena ukishakua mtumishi wa local government huko mpwimbe au kakonko au kazuramimba, utaishia kuwa hivyo hivyo na maisha mazuri hutoyapata mpaka unakufa, mda ni mdogo na huko limited kwenye harakati za maisha (nyanja ya biashara) hustling zinaweza kutoa sehemu moja kwenda sehemu nyingine. Lakini huko mlowo songwe au uyui tabora hata ufanyaje kazi yako hutochomoka.

20230814_191131.jpg

Check hizo Ngoma watu wanashusha kama hawana akili timamu na wengi wao hawajasoma. Nionyeshe mtumishi anaweza hata kusogea Hapo ukiachana na mafisadi.

Screenshot_20230814-192830~2.png

Wewe Mwalimu Mpwayungu Village acha kuteseka na chalk huko, pambana Kutengeneza legacy ukifa Leo simu inapigwa kwa HR Chaap wanakuondoa kwenye payroll unawaacha familia ikiteseka, nenda bank chukua chako mapema, kachukue Hela ya Mwisho kabisa hata wakikupa million 20 kimbia kapambanie ndoto zako kwani hao wenye maduka na hawakusoma wanakuzidi wewe nini? ni kwamba Wana akili sana ya uvumilivu wa biashara kuliko wewe uliekua unakesha usiku madude yaingie kichwani?.
 
Mafanikio kimaisha hayana 'formula' maalum. Japo vitu vitatu vinachangia kwa kiasi fulani. 1.Malengo 2.Juhudi 3. Bahati. Hivi vitatu ukiwa navyo basi mafanikio utayapata.

Wasiosoma wengi ni 'risk takers'. Hivyo ushishangae kufanikiwa haraka kuliko wasomi uchwala.
 
Ila wanaofaidi maisha kikamilifu ni wenye akili. Na wana mafanikio pia tena makubwa. Sema tu moja ya dalili ya akili ni kuwa tajiri bila kuhangaika kujionesha huo utajiri.

Jamii ikiwa na wajinga wengi na wakashadadia upumbavu basi upumbavu ndio utaonekana kulipa kuliko akili. Maana watu hupiga kura kwa pesa zao. Wengi wanashinda.

Kama tu ambavyo ukileta pikipiki mbovu unapata wateja wengi. Na ukileta quality wateja hawaonekani.

Je, yule aliyefanikiwa kutengeneza chombo quality na aliyeleta kitu kibovu ni yupi ana akili zaidi?

Haya ni yupi ana wateja zaidi? Basi huyo ndiye mwenye mafanikio katika hiyo jamii husika.

Wenye akili za ukweli, hawadanganyi, wana misimamo, wana uelewa na vitu bora, si tabia asili yao ya kuiba wala kuibia, ni wavumbizi na wazalishaji. Sasa je jamii inawapigia kura (kuwapa hela?)
 
Najua una mpango wa kuacha kazi ya ualimu Kwa maswahibu unayopitia kazini ila ukweli mchungu ni kuwa nyie walimu ni waoga saaana na biashara inahitaji risk takers sio kama mnavyojambajamba darasani

Karibu kitaa kwenye free zone achana na chaki unakuwa unaburutwa kama mbuzi mzee
1691829564646.jpg
 
Ndugu yangu mmoja baada ya kukimbiza sana pale Mwanza buhongwa kwa biashara ya mbao. Kaamua kuingia zake dsm kariakoo na biashara mpya Sasa hivi anaenda china, hakusoma aliacha Shule darasa la saba.

Tuseme ukweli kufungua biashara na kuisimamia Kunataka u-smart gani kuliko yule aliyeweza kusoma ma Archimedes principle? Kweli mtu anasoma physics advance anapata "A" electronic chuo na anapata "A" huyu mtu akiamua kuweka u-smart wale kwenye biashara anawezaje kuzidiwa na mtu ambaye hajasoma?

Tunaamini waliofeli Walikua na uwezo mdogo sana Lakini wamefanikiwa Kibiashara hivi wewe msomi ulieweza kumeza na kuelewa vitu vizito unashindwaje biashara? Fikiria daktari au engineer wameweza kuweka vitu vizito kichwani Lakini hawana hata biashara.

Wanachuo waliomaliza na walio mtaani wasiwe wanyonge wanauwezo mkubwa sana wa kupambana ni kwamba wanakosa mitaji Lakini akiamua kupambana mtaani lazima utoboe kuliko yule ambae hajasoma na Yuko kwenye business.

Hiko hivi Kuna maisha tunayoyatamani Sana lakini kuyafikia ni ngumu hata upambanaje, tena ukishakua mtumishi wa local government huko mpwimbe au kakonko au kazuramimba, utaishia kuwa hivyo hivyo na maisha mazuri hutoyapata mpaka unakufa, mda ni mdogo na huko limited kwenye harakati za maisha (nyanja ya biashara) hustling zinaweza kutoa sehemu moja kwenda sehemu nyingine. Lakini huko mlowo songwe au uyui tabora hata ufanyaje kazi yako hutochomoka.

View attachment 2717354
Check hizo Ngoma watu wanashusha kama hawana akili timamu na wengi wao hawajasoma. Nionyeshe mtumishi anaweza hata kusogea Hapo ukiachana na mafisadi.

View attachment 2717361

Wewe Mwalimu Mpwayungu Village acha kuteseka na chalk huko, pambana Kutengeneza legacy ukifa Leo simu inapigwa kwa HR Chaap wanakuondoa kwenye payroll unawaacha familia ikiteseka, nenda bank chukua chako mapema, kachukue Hela ya Mwisho kabisa hata wakikupa million 20 kimbia kapambanie ndoto zako kwani hao wenye maduka na hawakusoma wanakuzidi wewe nini? ni kwamba Wana akili sana ya uvumilivu wa biashara kuliko wewe uliekua unakesha usiku madude yaingie kichwani?
We jamaa bwana.. umesahau bandari imeenda kuuzwa siku moja tu uarabuni na posho ilikuwa milion 5-10 kwa siku.
 
Najua una mpango wa kuacha kazi ya ualimu Kwa maswahibu unayopitia kazini ila ukweli mchungu ni kuwa nyie walimu ni waoga saaana na biashara inahitaji risk takers sio kama mnavyojambajamba darasani

Karibu kitaa kwenye free zone achana na chaki unakuwa unaburutwa kama mbuzi mzee View attachment 2717644
Kataa ualimu

Ualimu ni umasikini

Ualimu ni sonona

Ualimu ni kupoteza muda
 
Kuna swali limeulizwa mara nyingi sana. Why High IQ people fail na low IQ people achieve in money making.
Jubu ni kwamba wenye uelewa mdogo wa akili huuuza budgaa inayohitajika waksti hso wenye akili nyingi wengi gawana bixgas wansyouza.
Mwanamuziki anskuwa txjiti kwa savabu anauza mziki wake dunia nzima.
Wakati profesa wa uchumi wa Harvard anauza ujuzibwake kwenye kaeneo kadogo ka chuo sasa watalingana vipi utajiri.
Wale watu wenye akili wanaouza huduma zao dunua nzima hawashikiki mfano Bill gate.
Jibu la swali lako ni wasomi wengi hawauzi huduma yao kwa watu wengi hao wasio wasomi huuza huduma zao au bidhaa kwa watu wengi.
Kuuza bidhaa yako ndio kila kitu.
Learn to sell not only to produce.
 
Ukitaka kupata jibu la swali lako angalia mikoa yenye wasomi wengi na mikoa watu wasiopenda shule , ukipata jibu ipi imeendelea kwa ngazi ya mtu mmoja mmoja, utakua umepata jibu lako.
 
Kwenda China kuchukua bidhaa na kiziuza bongo sio biashara mpya.
Na ndio maana biashara za namna hiyo hazina Maisha marefu sababu watu wengine wanaweza kuingia na yule w akwanza akipata ushindani inakuwa kashaisha.
Wasomi wanapaswa kuja na biashara mpya hapo ndio utaona utofauti.
Muulize founder wa JF anavuta kiasi gani kwa mwezi kutokana na hii forum utapata jibu.
Muulize Fernandez anavuta kiasi gani kwa mwezi. Tafuta utajiri walionao maprofessor kama Hilonga Askwaar utajua elimu inalipa au hailipi.
Na hizo biashara zote hakuna competitor anaweza ibuka from no where akaanzisha kwa hiyo wako pale bila wasi wasi.
Wajanja kwa sasa wanawekeza kwenye technology huko ndio Kuna hela.
Halafu maswala ya watumishi kulipwa kidogo ni sababu serikali haiwajali na usitarajie tija yeyote kwa watu waliokata tamaa. Hakuna ubunifu wowote utapata kwa mtu anayewaza vitu vidogo Kam nyumba atajengaje, atakula nini etc. yaani basic needs.
Ndio maana tutaendele kubaki hivi bila kuendelea Miaka mingi sana.
 
"Halafu maswala ya watumishi kulipwa kidogo ni sababu serikali haiwajali na usitarajie tija yeyote kwa watu waliokata tamaa. Hakuna ubunifu wowote utapata kwa mtu anayewaza vitu vidogo Kam nyumba atajengaje, atakula nini etc. yaani basic needs.
Ndio maana tutaendele kubaki hivi bila kuendelea Miaka mingi sana".

Nimekunukuu umemaliza kila kitu.
 
Kwenda China kuchukua bidhaa na kiziuza bongo sio biashara mpya.
Na ndio maana biashara za namna hiyo hazina Maisha marefu sababu watu wengine wanaweza kuingia na yule w akwanza akipata ushindani inakuwa kashaisha.
Wasomi wanapaswa kuja na biashara mpya hapo ndio utaona utofauti.
Muulize founder wa JF anavuta kiasi gani kwa mwezi kutokana na hii forum utapata jibu.
Muulize Fernandez anavuta kiasi gani kwa mwezi. Tafuta utajiri walionao maprofessor kama Hilonga Askwaar utajua elimu inalipa au hailipi.
Na hizo biashara zote hakuna competitor anaweza ibuka from no where akaanzisha kwa hiyo wako pale bila wasi wasi.
Wajanja kwa sasa wanawekeza kwenye technology huko ndio Kuna hela.
Halafu maswala ya watumishi kulipwa kidogo ni sababu serikali haiwajali na usitarajie tija yeyote kwa watu waliokata tamaa. Hakuna ubunifu wowote utapata kwa mtu anayewaza vitu vidogo Kam nyumba atajengaje, atakula nini etc. yaani basic needs.
Ndio maana tutaendele kubaki hivi bila kuendelea Miaka mingi sana.
Umemaliza
 
Back
Top Bottom