Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Ndugu yangu mmoja baada ya kukimbiza sana pale Mwanza buhongwa kwa biashara ya mbao. Kaamua kuingia zake dsm kariakoo na biashara mpya Sasa hivi anaenda china, hakusoma aliacha Shule darasa la saba.
Tuseme ukweli kufungua biashara na kuisimamia Kunataka u-smart gani kuliko yule aliyeweza kusoma ma Archimedes principle? Kweli mtu anasoma physics advance anapata "A" electronic chuo na anapata "A" huyu mtu akiamua kuweka u-smart wale kwenye biashara anawezaje kuzidiwa na mtu ambaye hajasoma?
Tunaamini waliofeli Walikua na uwezo mdogo sana Lakini wamefanikiwa Kibiashara hivi wewe msomi ulieweza kumeza na kuelewa vitu vizito unashindwaje biashara? Fikiria daktari au engineer wameweza kuweka vitu vizito kichwani Lakini hawana hata biashara.
Wanachuo waliomaliza na walio mtaani wasiwe wanyonge wanauwezo mkubwa sana wa kupambana ni kwamba wanakosa mitaji Lakini akiamua kupambana mtaani lazima utoboe kuliko yule ambae hajasoma na Yuko kwenye business.
Hiko hivi Kuna maisha tunayoyatamani Sana lakini kuyafikia ni ngumu hata upambanaje, tena ukishakua mtumishi wa local government huko mpwimbe au kakonko au kazuramimba, utaishia kuwa hivyo hivyo na maisha mazuri hutoyapata mpaka unakufa, mda ni mdogo na huko limited kwenye harakati za maisha (nyanja ya biashara) hustling zinaweza kutoa sehemu moja kwenda sehemu nyingine. Lakini huko mlowo songwe au uyui tabora hata ufanyaje kazi yako hutochomoka.
Check hizo Ngoma watu wanashusha kama hawana akili timamu na wengi wao hawajasoma. Nionyeshe mtumishi anaweza hata kusogea Hapo ukiachana na mafisadi.
Wewe Mwalimu Mpwayungu Village acha kuteseka na chalk huko, pambana Kutengeneza legacy ukifa Leo simu inapigwa kwa HR Chaap wanakuondoa kwenye payroll unawaacha familia ikiteseka, nenda bank chukua chako mapema, kachukue Hela ya Mwisho kabisa hata wakikupa million 20 kimbia kapambanie ndoto zako kwani hao wenye maduka na hawakusoma wanakuzidi wewe nini? ni kwamba Wana akili sana ya uvumilivu wa biashara kuliko wewe uliekua unakesha usiku madude yaingie kichwani?.