Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] beer za offer kuna mmoja tuko naye kazini ana bonge LA kitambi
 
Ahsante mpedwaa km una.aanisha ulichoandika
Kweli ajaribu aone faida. Jioni acheze na watoto. Unajua kwa nini waalimu wengi hawaonyeshi kuchoka! Mazoezi na wanafunzi. Ubarikiwe mpendwa.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wasikupangie
 
Una uhakika gani sio yake? namba gani za magari zina mpangilio huo? Tumia kichwa kufikiri, sio kufugia nywele.
Unaonekana nikwajinsi gani ulivyo naakili fupiii.......
Kuwa kwenye mpangilio siyo solution km imefungiwa au haitumikiii???[emoji190]
 
Unaonekana nikwajinsi gani ulivyo naakili fupiii.......
Kuwa kwenye mpangilio siyo solution km imefungiwa au haitumikiii???[emoji190]
Narudia tena, tumia kichwa kufikiri sio kufugia nywele.
 
Sawa nimekuelewa sina sababu yakushindana na wewe

Kwani kuwa Nakitambi niajabu au nitakuwa mwanamke wa kwabza niishangaze dunia???

Watanzania bhanaaaa
 
Kweli ajaribu aone faida. Jioni acheze na watoto. Unajua kwa nini waalimu wengi hawaonyeshi kuchoka! Mazoezi na wanafunzi. Ubarikiwe mpendwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaa ila nashukuru mungu sana kaniumba na kitu cha ziada siyo kwenye mwili wangu ila kwenye akilii.... Na ningumu MTU mwingine kukigundua kwa haraka lbd wazazi wanguu au mtu anifahamu kwa ukaribu zaidii
 
ni kwel kwa kias kikubwa sana huw awanapoteza haswa kwangu.......mimi niliwah kuhangaikia mwanamke flan pale tabora town miaka ya 2002 hadimae akaja kukubali tukajipumzishe guest house flan ilikuwa standard sana maana kwa jinsi nilivomkubal yule bibie nilijikuta nachukua guest kali kias!dah tulipofika guest yule mwanamama alipovua nguo hamu yote ilikata yan maana ilikuwa ni kitambi plus manyama uzembe iliibid nimdanganye kuwa nimesahau kinga na sikulud tena pale guest maaana nilipata kinyaa ajab
 
Mwanamke mwenye kitambi ni sawa na mtumishi wa umma mwenye vyeti feki….Anaweza kua anajua kazi vizuri tu(tabia yake,sura nzuri,shape) ila tatizo vyeti(kitambi) kikamkosesha ajira(mme/bf)
 
Unajua wanaume hawajawahi kukaa kikao na kubainisha baadae kupitisha kwa makubaliano ya pamoja vitu au maumbile maaulu wanayopenda au wasiyopenda toka kwa wanawake.
Si rahisi wanae wote kufikia muafaka kwa hili au lile
Mara nyingi wanawake hujihisi tu wenyewe either kutokana na na masimulizi ya wenzao au stori za vijiweni.
Swala kuwa na tumbo kubwa au kitambi kwa wanawake si kilema na si tatizo kubwa kwa wanaume kwani asilimia kubwa sana ya wanawake wengi wanavyo ma bado ni wake pendwa sana kwa waume zao.
Nawashauri wanawake muwe na amani na maumbile yenu kwani si rahisi kumfurahisha kila mwanaume hamna budi kujipenda vile mlivyo
Maumbile yenu hasa baada ya uzazi wengi yanabadilika na kama inawezekana kupunguza uzito fanya but kama itakua shida then usijihisi mnyonge as long as mume wako anàkupenda
 
Ningekuwa mimi hao wanaume wake badala ya kumuacha ningembadili ili awe vile nataka awe kwa mazoezi
 
Kwa dunia ya sasa ni wanaume wachaxhe sana wenye akili tambuzi km yakwakoo
 
Mie bana nikimzimikia mdada akiwa na vigezo vyangu hata awe na kitambi huwa hakinipi shida, tena kuna jinsi ya kuvitumia vitambi vya kike hadi mwenyewe anafeel proud kuwa nacho... Nimejizungumzia mim binafs jamani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…