kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,977
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] beer za offer kuna mmoja tuko naye kazini ana bonge LA kitambiWengi hatujuani hapa JF, lakini the way unavyojitahidi kuficha na kujibu posts mbali mbali juu ya kitambi chako, ndivyo unavyozidi kuuthibitishia ulimwengu kuwa mwenye kitambi ni Jovitha, kubali au kataa.
The bottom line: punguza kufakamia misosi na bia za offer! Fanya mazoezi kwa sana.