Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

Wengi hatujuani hapa JF, lakini the way unavyojitahidi kuficha na kujibu posts mbali mbali juu ya kitambi chako, ndivyo unavyozidi kuuthibitishia ulimwengu kuwa mwenye kitambi ni Jovitha, kubali au kataa.
The bottom line: punguza kufakamia misosi na bia za offer! Fanya mazoezi kwa sana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] beer za offer kuna mmoja tuko naye kazini ana bonge LA kitambi
 
Ahsante mpedwaa km una.aanisha ulichoandika
Kweli ajaribu aone faida. Jioni acheze na watoto. Unajua kwa nini waalimu wengi hawaonyeshi kuchoka! Mazoezi na wanafunzi. Ubarikiwe mpendwa.
 
Kumbe wenye vitambii tuna shida,mie nakipenda tu kwann bwana, si cha kwangu
Maisha ni kuchagua na usitegemee furaha yako iletwe na mtu,mm ndo sihangaikagi cjui mazoezi cjui nn, weiiii atakayenipenda na tumbo langu hawezi akakosekana, kwanza limefanya kitovu changu kiwe kizuri, halaf tutako uchwara nnavyo,kwa hyo mwambie ajipende yy kama yy kwani lazima avae nguo ya kumbana hadi tumbo lionekane, avae nguo pana nzuri maisha yatasonga
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wasikupangie
 
Una uhakika gani sio yake? namba gani za magari zina mpangilio huo? Tumia kichwa kufikiri, sio kufugia nywele.
Unaonekana nikwajinsi gani ulivyo naakili fupiii.......
Kuwa kwenye mpangilio siyo solution km imefungiwa au haitumikiii???[emoji190]
 
Unaonekana nikwajinsi gani ulivyo naakili fupiii.......
Kuwa kwenye mpangilio siyo solution km imefungiwa au haitumikiii???[emoji190]
Narudia tena, tumia kichwa kufikiri sio kufugia nywele.
 
Wengi hatujuani hapa JF, lakini the way unavyojitahidi kuficha na kujibu posts mbali mbali juu ya kitambi chako, ndivyo unavyozidi kuuthibitishia ulimwengu kuwa mwenye kitambi ni Jovitha, kubali au kataa.
The bottom line: punguza kufakamia misosi na bia za offer! Fanya mazoezi kwa sana.
Sawa nimekuelewa sina sababu yakushindana na wewe

Kwani kuwa Nakitambi niajabu au nitakuwa mwanamke wa kwabza niishangaze dunia???

Watanzania bhanaaaa
 
Kweli ajaribu aone faida. Jioni acheze na watoto. Unajua kwa nini waalimu wengi hawaonyeshi kuchoka! Mazoezi na wanafunzi. Ubarikiwe mpendwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaa ila nashukuru mungu sana kaniumba na kitu cha ziada siyo kwenye mwili wangu ila kwenye akilii.... Na ningumu MTU mwingine kukigundua kwa haraka lbd wazazi wanguu au mtu anifahamu kwa ukaribu zaidii
 
ni kwel kwa kias kikubwa sana huw awanapoteza haswa kwangu.......mimi niliwah kuhangaikia mwanamke flan pale tabora town miaka ya 2002 hadimae akaja kukubali tukajipumzishe guest house flan ilikuwa standard sana maana kwa jinsi nilivomkubal yule bibie nilijikuta nachukua guest kali kias!dah tulipofika guest yule mwanamama alipovua nguo hamu yote ilikata yan maana ilikuwa ni kitambi plus manyama uzembe iliibid nimdanganye kuwa nimesahau kinga na sikulud tena pale guest maaana nilipata kinyaa ajab
 
Mwanamke mwenye kitambi ni sawa na mtumishi wa umma mwenye vyeti feki….Anaweza kua anajua kazi vizuri tu(tabia yake,sura nzuri,shape) ila tatizo vyeti(kitambi) kikamkosesha ajira(mme/bf)
 
Habari za mida hii wapedwaaa???

Msaada:::: Nina rafiki yangu ana kitambii si kikubwa sanaa ila kinaonekanaa mfano akivaa blauzi ya kumbanaa..... Mara nyingi huwa analalamika analichukia tumboo lake na amejaribu kufanya mazoezi kashidwaaa...... Na anaogopa kuingia kwenye relationship coz hapo awali aliwahi kutoka na wanaume wawili kwa nyakati tofauti wakawa wanamsema vibaya kuhusu tumbo lake(kitambi)

Kwahiyo anaogopa kuingia tena kwenye mahusiano ......anahisi atatedwaa tena kutokana na tumbo lakeee...

......swali::je nikweli wanaume wengi hawapendi mwanamke awe na kitambii!!!?? Na km umetokea kumpenda msichana alafu ana kitambi nawewe hukipendi utafanyajeee????
USHAURI: Je, kuna njia nyingine anayoweza kuitumia ili kitambi kipungue km si kuisha kabisaaa????
Unajua wanaume hawajawahi kukaa kikao na kubainisha baadae kupitisha kwa makubaliano ya pamoja vitu au maumbile maaulu wanayopenda au wasiyopenda toka kwa wanawake.
Si rahisi wanae wote kufikia muafaka kwa hili au lile
Mara nyingi wanawake hujihisi tu wenyewe either kutokana na na masimulizi ya wenzao au stori za vijiweni.
Swala kuwa na tumbo kubwa au kitambi kwa wanawake si kilema na si tatizo kubwa kwa wanaume kwani asilimia kubwa sana ya wanawake wengi wanavyo ma bado ni wake pendwa sana kwa waume zao.
Nawashauri wanawake muwe na amani na maumbile yenu kwani si rahisi kumfurahisha kila mwanaume hamna budi kujipenda vile mlivyo
Maumbile yenu hasa baada ya uzazi wengi yanabadilika na kama inawezekana kupunguza uzito fanya but kama itakua shida then usijihisi mnyonge as long as mume wako anàkupenda
 
Kwa dunia ya sasa ni wanaume wachaxhe sana wenye akili tambuzi km yakwakoo
 
Mie bana nikimzimikia mdada akiwa na vigezo vyangu hata awe na kitambi huwa hakinipi shida, tena kuna jinsi ya kuvitumia vitambi vya kike hadi mwenyewe anafeel proud kuwa nacho... Nimejizungumzia mim binafs jamani...
 
Back
Top Bottom