HUO NI UMASIKINIhiyo ni kweli 100%
Mwanamme/Kijana anayemwaga hela huyo hana future ...
Ubahili hauwezi kuwa hitimisho tosha la mwanaume kuwa mwelewa, bado kuna vitu vingi anapaswa kuwa navyo mfano elimu ili aitwe mwelewa
Ubahili ni roho mbaya tu hamna kingine! Mtu unamnyima 20k mama ako/mke/mpenzi/dada/kaka tuseme akafanyiwe matibabu wakati huo huo unapata changamoto isio na tija inakumalizia 50000Umasikini umewafanya kudhani ubahili ndio njia ya mtu mwerevu au mafanikio.
Njia ya mwerevu na mwenye mafanikio ni fikra imara na mtaji.
Unaweza kuwa bahili na usiwe na knowledge na kumanage ulichokitunza.
Kinywaji Gani Unatamani kutumia kabla siku haijabadilika?Umasikini umewafanya kudhani ubahili ndio njia ya mtu mwerevu au mafanikio.
Njia ya mwerevu na mwenye mafanikio ni fikra imara na mtaji.
Unaweza kuwa bahili na usiwe na knowledge ya kumanage ulichokitunza.
HAKUNA TAJIRI DUNIANI ALIYEPATA HELA KWA KUFANYA KAZI ANAGAWA HELA, LABDA WALE WA KAMARI NKHUO NI UMASIKINI
What if pesa akawa anazo nyingi na future tayari anayo?
Kiukweli utamaduni wa kijamaa na kijima umefanya mambo mengi ya basic financial literacy kuonekana kuwa ni ubahili.Umasikini umewafanya kudhani ubahili ndio njia ya mtu mwerevu au mafanikio
HakikaUbahili ni roho mbaya tu hamna kingine! Mtu unamnyima 20k mama ako/mke/mpenzi/dada/kaka tuseme akafanyiwe matibabu wakati huo huo unapata changamoto isio na tija inakumalizia 50000
HakikaKiukweli utamaduni wa kijamaa na kijima umefanya mambo mengi ya basic financial literacy kuonekana kuwa ni ubahili.
Kwa nfano, mtu akijiwekea bajeti, akakataa kuivunja, Waswahiki wengi mtamuita mbahili.
Mtu akijiwekea malengo ya ku invest kwa maisha yake ya baadaye, akakataa kutumia pesa kijinga, mtamuita mbahili.
Mtu akikataa kuishi kamanKimwaga anayehingahonga wanawake ovyo, mtamuita mbahili.
Mtu akikataa maisha ya kufanywa ATM na ukoo mzima, mtamuita bahili.
Tatizo ni la jamii, si la huyu mtu anayejipangia matumizi mazuri ya oesa zake.
Kama hupendi mtu kutumia pesa zake kwa hicho unachoita ubahiki, tafuta zako uzitumie unavyotaka bila ubahili.
Kwahiyo wewe uliingia kwenye mgahawa na hao akina Musk ukaona hajagawa tip inayozidi 50$?HAKUNA TAJIRI DUNIANI ALIYEPATA HELA KWA KUFANYA KAZI ANAGAWA HELA, LABDA WALE WA KAMARI NK
KINA BILGATE, ELON MUSK nk wikiingia kwenye mgahawa mkiambulia tip ya $50 mshukuru Mungu
Kaka yangu Infantry Soldier anakusalimia sana.Kiukweli utamaduni wa kijamaa na kijima umefanya mambo mengi ya basic financial literacy kuonekana kuwa ni ubahili.