Je ni kweli mwanaume anaejielewa lazima awe bahili? Toa maoni yako

Mbona kama anataka watu waishi unavyotaka wewe? Mtu akiwa bahili wewe unapungukiwa nini? Pesa ni yake, acha aende nayo vile anavyotaka yeye maadam kaitafuta mwenyewe..

Yaani huwapendi wakati pesa wametafuta wenyewe..
Bahili utawajua tu..
 
Mmmm mbona uongo
 
Wakati mwingine Kumtambua bahili halisi ni vigumu. Kuna mtu anaweza kuonekana bahili kwa kumpotezea na kumnyima ndugu yake 50k ya kula au kununulia dawa, ila muda huo huo akaenda kut#mb€a m1+
 
Unaweza kua bahili ila malengo 0 na pesa ukaipoiteza kwa ufinyu wa maarifa na elimu ya pesa.

Na mbaya zaidi hiyo dhana ya ubahili ni pana sana kuna viumbe hata kula yao ni tabu, vaa ya shida na kulala pachafu kisa ubahili.
 
Nani analia lia? Mimi nipo hapa kutoa elimu.. kwa mafanikio yao wenyewe..

Siwezi kuwa bahili , hio roho sina.. na haitotokea.. na sijapungukiwa chochote..

Usinifundishe roho mbaya.. sikuzaliwa hivyo..
Wewe unajiona unatoa elimu wakati wewe ndiye unahitaji elimu.

Huo unaouita ubahili ndiyo mpango wa maisha ya kisasa. Kuishi kwa bajeti.

Waingereza wanasemq "A fool and his money will part easily".

Mtu mjinga na pesa zake wanatenganishwa kirahisi.

Wewe ndiye huyo mtu mjinga hapo.

Wewe unaishi maisha ya kijima, watu wanakunyenga, halafu unalalamika, halafu upo katika denial hutaki kukubali kwamba unalalamika.

Ni hivi, hutakiwi kumlazimisha mtu mwingine jinsi ya kutumia pesa zake, wewe ndiye unatakiwa ku control jinsi ya kutumia pesa zako.

Kama mtu mbahili kununua bia, mwache na ubahikibwake, usimnunulie.

Pengine hilo litakuwa funzo kubwa kuliko posts za JF. Akikuona siku ya kwqnza humnunukii, siku ya pili humnunukii, siku ya tatu ama hatakuja ama atanunua yake mwenyewe.

Somo rahisi sana hili.

Huelewi wapi?
 
We ni mjinga...
Hii ni kauli ya imani kwa sababu hujaeleza ujinga wangu uko wapi.

Pia, ni ad hominem logical fallacy.

Umeshindwa kujadili hoja niliyoileta, unanijadili mimi mtoa hoja.

Hii ni tabia ya watu wajinga wasio na hoja ambao hawawezi kujadili hoja wanajadili watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…