Je, ni kweli mwanga ndio kitu chenye mwendo kasi kuliko vyote?

Fact magnetic energy ndo yenye speed kuliko vitu vyote under the sun
 
Tafakari ; Kitendo cha kuwasha switch na taa kuwaka na kitendo cha mwanga kutoka kwenye taa hadi kufika ukutani!
 
asante mkuu,mimi nimeacha muda mrefu kuendelea na ufahamu wa kukaririshwa na wenye malengo ya kutupotosha kwa makusudi, ukiwafuata wao utazaliwa na kuishi kwenye ulimwengu wa kusadikika wanaoujenga kwenye akili zetu kwa vitu vya uongo

Unaijua fibre optical cables nini hubeba data zile from one point to another?
Kasome pia illumination
 
Kwa hio mkuu mwanga ndio kitu pekee kilichogundulika na mwanadamu kua na speed kuliko vyote ulimwenguni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalao wewe nimekuelewa mkuu.
Unaweza kwenda ndani kidogo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafakari ; Kitendo cha kuwasha switch na taa kuwaka na kitendo cha mwanga kutoka kwenye taa hadi kufika ukutani!
Kwa hio kati ya hapo umeme na mwanga nini kinakimbia. Mbona kama I meme ukizimwa iringa matokeo take haya chukui sekunde name pia kuwashwa hivyo hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekusudia mwanga huyu tumuitaye mchawi au mwangaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…