Je, ni kweli mwanga ndio kitu chenye mwendo kasi kuliko vyote?

kuna mwanafunzi wa sayansi aliniambia eti tembo akirushwa kwa spidi ya mwanga anaweza kupita kwenye kioo na kioo kisipasuke kabisa.....tangu siku hiyo nimeanza kusoma engineering ya udaktari hapa SUA ya dodoma nategemea kupata GPA ya 32.
Ukikimbia kuuzunguruka mbuyu kwa speed ya light unaweza ukajisukumia kipande cha nyama mwenyewe..[emoji23] [emoji23]
 
Hili jambo nilibishana na mwalimu wangu darasani.. Baada ya kukosa hoja akaniambia na kwenye mtihani andika hivyo hivyo uonavyo kisha jaza answer sheet na sababu zako halafu uone kitakachokutokea.. Ikabidi niwe mpole tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuuu
 
kuna mwanafunzi wa sayansi aliniambia eti tembo akirushwa kwa spidi ya mwanga anaweza kupita kwenye kioo na kioo kisipasuke kabisa.....tangu siku hiyo nimeanza kusoma engineering ya udaktari hapa SUA ya dodoma nategemea kupata GPA ya 32.
Inawezekana kabisa, refer E=MC^2 , where E is energy, M mass C speed of light. Sasa ukichukua mfano jiwe ukarusha kwenye kioo kwa spee ndogo zaidi utakuta kioo kinapasuka sehemu kubwa, tofauti na ukichukua jiwe ukarusha kwa speed kubwa mno kioo kitapasuka kwa kifuata shape ya jiwe, sasa ukiongeza speed zaidi kama ya light, jiwe litabadilika in terms of waves na linaweza pita kwa kupasua kioo kidogo sana au lisipasua..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kwa sauti
 
Katika mwanga in terms of light as a particals (refer modern physics) utakuta kuna electrons and photons sasa chukua photon moja speed yake ndo kubwa kuliko mwanga wenyewe kwasababu mwanga kama mwanga una many numbers of photons ambazo wakati wa kisafiri zita collide zenyewe kwa zenyewe na other molecules but if you take only single photon ukaipropagate in a vacuum utapata the highest speed in the whole universe zaidi hata ya huo mwanga wenyewe

Kwa Maelezo yangu photon au electron katika vacuum ndio kitu chenye speed kubwa zaidi
 
Hiv yale mawimbi ya cm yanatumwa kwa mwanga eeh??mbona unaweza kuwa hapa unaongea na mtu wa marekani hata hampishani sekunde
 

Mkuu tuifanye hiyo hesabu basi kiloza tembo si zinajulikana tena tuchukue tembo wa africa wanasema ye ni mkubwa kuliko tembo wengine tuanzie hapo bosi wangu
 
Mkuu tuifanye hiyo hesabu basi kiloza tembo si zinajulikana tena tuchukue tembo wa africa wanasema ye ni mkubwa kuliko tembo wengine tuanzie hapo bosi wangu
Mkuu unajua inawezekanaje, yaani kitu kikisafiri kwa speed kubwa sana hatimaye kinabadilika kuwa in terms of WAVES.
Sasa kutokana na E = MC^2, speend of light ni 3*10^8 m/s alafu kilo za tembo ni kiasi gani lets say a certain constant in kg or ton, then zidish hapo upate energy yake uone. Utakuta speed ya light uki square unapata jibu kubwa sana, na ukichanganya na mass ya tembo, ile energy ni kubwa sana ina kuwa converted into waves. Kwahyo waves inasababisha kupita bila kuathiri kitu na ndio maana ukatolea mfano tembo anapenya kwenye sindano hoe.
 

Aah nmekumbuka kuna mtu alinambia kitu lets say train ikiwa kwenye speed kubwa sana unaweza ukaigusa ikahama relini ndo mana wanaokimbizaga magari wanawekaga vitu vizito
 
Ulimwengu unatanuka /expanding zaidi ya speed ya mwanga..
 
Check mwanga wa jua unatumia mda gani kufika duniani ! Chukua tochi yenye mwanga mkali ukilenga mahali kabla hujawasha mwanga umeshafika . Ni kipi chenye speed kuliko mwanga ?
 
Jibu zuri sana
 
Asante sana kwa huu ujuzi. Asante kwa kunifumbua hapa
 
Hapa umedanganya uma proton ni partical while light ni wave kasome partical/wave duality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…