Je, ni kweli Ngono inapunguza nguvu za kiroho?

Deleted01

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
3,886
Reaction score
9,027
Hopefully wote mko salama.
Naombeni majibu tafadhali,

Hivi ni kweli kwamba Ngono inapunguza nguvu za kiroho..?

Suppose mtu yuko kwenye trend safi ya kiroho, anafunga, anasali, anaomba and everything spiritually anakifatisha to the point kwamba zile karama zake mbali mbali za kiroho anazipokea na zinampa nguvu ya kufanya mambo mbalimbali makubwa ya kiroho.

Ila huyo mtu awe hajaoa au hajaolewa, Je kama akifanya/atafanya Ngono, is there a possibility nguvu zake za kiroho zikaondoka..?

Embu watumishi mnijibu kwa maelezo yanayoeleweka.
Ahsante.
 
Unapofanya mabaya tu unajitenga na Mungu, your positive energy diminishes. Ngono ni sehemu ya Maovu pia,
 
Mradi uwe umeoa
Hopefully wote mko salama.
Naombeni majibu tafadhali,
Hivi ni kweli kwamba Ngono inapunguza nguvu za kiroho..?

Suppose mtu yuko kwenye trend safi ya kiroho, anafunga, anasali, anaomba and everything spiritually anakifatisha to the point kwamba zile karama zake mbali mbali za kiroho anazipokea na zinampa nguvu ya kufanya mambo mbalimbali makubwa ya kiroho.

Ila huyo mtu awe hajaoa au hajaolewa, Je kama akifanya/atafanya Ngono, is there a possibility nguvu zake za kiroho zikaondoka..?

Embu watumishi mnijibu kwa maelezo yanayoeleweka.
Ahsante.
kwa kuzingatia dini yako,basi ngono ni ibada ila kama unazini hiyo ni kitu kingine
 
Inawezekana,

Sisi waislam tukiwa katika kumi la mwisho la ramadhani pale mtu anapoamua kukaa itikafu (kujifungamanisha na msikiti kwa akili ya ibada) hairuhusiwi kukutana kimwili na mkewe

Pia, mahujaji (pilgrim) wakishahirimia (wakishaingia katika eneo la haram na kukusudia ibada ya Hijja) huwa hawaruhisiwi kukutana kimwili na wake zao

Kwahyo inawezekana kabisa
 
Back
Top Bottom