Je, ni kweli Ngono inapunguza nguvu za kiroho?

Je, ni kweli Ngono inapunguza nguvu za kiroho?

Nguvu za kiroho ni kwa ajili ya kiroho na mambo ya imani. Ngono ni kwa ajili ya mwili so Kila kitu kinafanya kazi yake. Ndo maana usiku mchungaji anatoka kumpiga 🐕 style mke wake. Asubuhi anakuwekea mikono na mapepo yanalipuka. So kungelikuwa na uhalisia wa iko usemacho wachungaji wangelikuwa hawaoi.
 
Soma mada uelewe kwanza, na usome habari za hao watu uelewe
Nazijua vizuri tu licha ya wao kufanya ngono nje ya ndoa actually maisha yao yalikua na baraka tele. Hata suleiman tunaambiwa ndio mtu alikua na hekima zaidi ila pia alikua mzinzi sana same to Samson licha ya uzinzi alikua ana nguvu nyingi, hapo sijaongelea Daudi licha ya kuzini nguvu hazikumuisha.

So hakuna connection ya uzinzi na nguvu za kiroho. Nachojua dhambi zote ziko sawa so hata ukisengenya mtu bado una dhambi sawa na aliyezini kwahiyo tusijidanganye kuwa dhambi fulani ndio inaondoa nguvu za Mungu alafu uongo, umbea eti unabaki na nguvu zako!! Nope ni either zote zikuondoleee nguvu au zote zisikuondolee not otherwise.
 
Soma vizuri matokeo ya zinaa mfano Daudi na Samson hata Suleimani wote walipigwa na kitu kizito baadaye wakaomba urejesho
 
Watumishi watakwambia ni kweli zinaondoka kwa sababu wanataka kulinda moral authority zao.

Ngono inabadilisha tu focus yako, huwezi kuwekeza nguvu zako zote kwenye physical intimacy alafu utegemee spiritual intimacy ibaki kwenye kiwango kile kile.
 
Soma vizuri matokeo ya zinaa mfano Daudi na Samson hata Suleimani wote walipigwa na kitu kizito baadaye wakaomba urejesho
Soma vizuri sijamtaja daudi kokote maana najua case yake ni tofauti. Samson alitoa siri ya kuhusu nywele zake ila sio sababu alikua anazini na Delilah kwahiyo hata angezini milele bado angekua na nguvu zake.

Biblia ndio msingi wa imani ya wakristo, na hakuna popote inasema ngono pekee ndio inaondoa nguvu za kiroho huu ujinga umeanzishwa na manabii uchwara.

Mimi binafsi kabla sijaoa nimewahi kuzini na mwanamke na huo usiku nilikua nimekorofishana na Mama mmoja kwa kukataa kumkopesha hela. Usiku amekuja kiroho kunimaliza ila alinishindwa licha ya kwamba nilikua nazini.

Nguvu za Mungu ni neema yake ila hakuna binadamu msafi kiasi eti hana dhambi ya kuzuia nguvu za kiroho kuwa ndani yake
 
Hopefully wote mko salama.
Naombeni majibu tafadhali,

Hivi ni kweli kwamba Ngono inapunguza nguvu za kiroho..?

Suppose mtu yuko kwenye trend safi ya kiroho, anafunga, anasali, anaomba and everything spiritually anakifatisha to the point kwamba zile karama zake mbali mbali za kiroho anazipokea na zinampa nguvu ya kufanya mambo mbalimbali makubwa ya kiroho.

Ila huyo mtu awe hajaoa au hajaolewa, Je kama akifanya/atafanya Ngono, is there a possibility nguvu zake za kiroho zikaondoka..?

Embu watumishi mnijibu kwa maelezo yanayoeleweka.
Ahsante.
Ina maana hujui au??? Siamini km hujui jibu ni NDIO!
No excuses
Na ili urudi tena hiyo toba yake sio mchezo lzm uliipe gharama
Mungu anasamehe hapohapo ukitubu, ili kurudisha ile presence yake ma nguvu hapo lzm ukae kwa muda kwenye maombi...
Ujue batan za kubonyeza ss

Toba , kuabudu na kuomba...bila kusahau kusoma neno
 
Yes.
Jibu ni NDIO.

NGONO, hupunguza nguvu ya ndani ya mwili.

ukipiga bao nyingi utahisi kuna vitu vimepungua kwenye uti wa mgongo.
na uti wa mgongo umebeba baadh ya chakra.

mimi nmeanza kusex nikiwa na umri wa miaka 23.
nilikuwa na vitabia/matendo ya miujiza sana chin ya 20s hapo.
  • niliweza kutuliza akiri na mawazo na kukontrol upepo na mvua.
  • pia niliweza kumsoma mtu kirahs sana na kumkontro atoke alipokaa na aende ndan ili nipite. nilijhs nauchawi
  • nilijiona special ata watu napopita walinikodolea macho na nilikua pia namaswal kwa watu wazma ila waliniona mtoto na kunikalipia ila wengne walinishangaa nimejuaje?

ila nilipo sex nguvu ile ilienda inapungua.
 
Kuna ukweli hapa.
 
Ni kweli kabisa ngono zembe husababisha nguvu za kiroho kupungua Lakini pia unaweza kupata nuksi, mikosi na mabalaa. Mbegu ya mwanaume+yai la mwanamke= HUUNDA MTOTO (nafsi mpya kabisa) huu si mchezo au burudani ni nishati ya juu kabisa manii ya mwanaume au maji matakatifu ya kike ni nishati kuu ikitumika vyema huleta baraka ikitumika hovyo huleta matatizo

Ngono inayofanywa kwa tamaa ya mwili
1. Hupoteza nishati ya roho
2. Huchosha mwili na akili
3. Hupumbaza fikra
4. Huharibu Hali ya kisaikologia

Punyeto na ngono ya kiholela na ya mara kwa mara ni hatari sana kwa mtu anayetaka kuwa tishio Duniani ebu chunguza baada ya punyeto au ngono zembe wengi hujihisi

1. Wenye hatia
2. Wenye hofu ya madhara
3.Wasiojiamini
4. Waliochoka kiakili na kimwili
5. Wazubaifu sana

KUNA AINA 3 ZA NGONO

1. NGONO YA MWILI (Ngono zembe)
Ngono hii hufanyika kwa ajili ya
👉Tamaa
👉kukidhi mihemko ya mwili
👉kukosa muunganiko wa kiroho
👉kupata starehe au kutoroka huzuni
Hii ni ngono inayosifika na inayowatawala sana watu

2. NGONO YA MAHABA (kiakili na hisia)
Hii ni ngono inayofanyika kwa wanandoa tu

3. NGONO YA KIROHO (sacred sexuality)
Hii ni ngono ya kiwango Cha juu kabisa haifanywi kwa mwili Bali kwa roho hakuna umwagaji wa manii kwa mwanaume wala maji kwa mwanamke.
 
Hopefully wote mko salama.
Naombeni majibu tafadhali,

Hivi ni kweli kwamba Ngono inapunguza nguvu za kiroho..?

Suppose mtu yuko kwenye trend safi ya kiroho, anafunga, anasali, anaomba and everything spiritually anakifatisha to the point kwamba zile karama zake mbali mbali za kiroho anazipokea na zinampa nguvu ya kufanya mambo mbalimbali makubwa ya kiroho.

Ila huyo mtu awe hajaoa au hajaolewa, Je kama akifanya/atafanya Ngono, is there a possibility nguvu zake za kiroho zikaondoka..?

Embu watumishi mnijibu kwa maelezo yanayoeleweka.
Ahsante.
Sio kupunguza tu inaua kabisa na kuondoa
 
Back
Top Bottom