Ni kweli kabisa ngono zembe husababisha nguvu za kiroho kupungua Lakini pia unaweza kupata nuksi, mikosi na mabalaa. Mbegu ya mwanaume+yai la mwanamke= HUUNDA MTOTO (nafsi mpya kabisa) huu si mchezo au burudani ni nishati ya juu kabisa manii ya mwanaume au maji matakatifu ya kike ni nishati kuu ikitumika vyema huleta baraka ikitumika hovyo huleta matatizo
Ngono inayofanywa kwa tamaa ya mwili
1. Hupoteza nishati ya roho
2. Huchosha mwili na akili
3. Hupumbaza fikra
4. Huharibu Hali ya kisaikologia
Punyeto na ngono ya kiholela na ya mara kwa mara ni hatari sana kwa mtu anayetaka kuwa tishio Duniani ebu chunguza baada ya punyeto au ngono zembe wengi hujihisi
1. Wenye hatia
2. Wenye hofu ya madhara
3.Wasiojiamini
4. Waliochoka kiakili na kimwili
5. Wazubaifu sana
KUNA AINA 3 ZA NGONO
1. NGONO YA MWILI (Ngono zembe)
Ngono hii hufanyika kwa ajili ya
👉Tamaa
👉kukidhi mihemko ya mwili
👉kukosa muunganiko wa kiroho
👉kupata starehe au kutoroka huzuni
Hii ni ngono inayosifika na inayowatawala sana watu
2. NGONO YA MAHABA (kiakili na hisia)
Hii ni ngono inayofanyika kwa wanandoa tu
3. NGONO YA KIROHO (sacred sexuality)
Hii ni ngono ya kiwango Cha juu kabisa haifanywi kwa mwili Bali kwa roho hakuna umwagaji wa manii kwa mwanaume wala maji kwa mwanamke.