min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mungu ni hadithi zimetungwa tu , labda hizo nguvu tuzitafutie sababu nyingine tofauti na hiyo ya MunguYou are not a believer..?
Mungu ni hadithi zimetungwa tu , labda hizo nguvu tuzitafutie sababu nyingine tofauti na hiyo ya MunguYou are not a believer..?
Sasa tunawezaje kutimiza haja za matamanio yetu na kubaki na nguvu zetu pia..? Au tufanyaje..? What is the way forward.?Spirit yako inakuwa dhaifu au weak
Sawa sawa. Naheshimu mawazo yako.Mungu ni hadithi zimetungwa tu , labda hizo nguvu tuzitafutie sababu nyingine tofauti na hiyo ya Mungu
woiiii kumbe yesu alikuaga haogi? naomba niendelee kusoma bibliaYesu hakuoaga kwa sababu gani?
Ok
Ingekuwa kweli ngono isingekuwepogi,
Soma vizuri alichoandika alafu jisahishe mwenyewe...woiiii kumbe yesu alikuaga haogi? naomba niendelee kusoma biblia
Soma vizuri… hapo sio hakuogaga ni hakuoaga au yanafanana hayo, shower and marriagewoiiii kumbe yesu alikuaga haogi? naomba niendelee kusoma biblia
Watu wana stress sana humu, hahaSima vizuri… hapo sio hakuogaga ni hakuoaga au yanafanana hayo, shower and marriage
mi nimesoma vizuri labda kama kuna typing error huko kwake mwanetuSoma vizuri alichoandika alafu jisahishe mwenyewe...
Mawazo mnayaweka wapi wanetu..?
😅😅😅 bana mi najua hakuogaSoma vizuri… hapo sio hakuogaga ni hakuoaga au yanafanana hayo, shower and marriage
Ah ah ah hayaa😅😅😅 bana mi najua hakuoga
Sio kweli, nina rafiki yangu mchungaji kijana tu alikua anawapelekea moto mabinti ila bado akisimama madhabahuni moto unawaka.Hopefully wote mko salama.
Naombeni majibu tafadhali,
Hivi ni kweli kwamba Ngono inapunguza nguvu za kiroho..?
Suppose mtu yuko kwenye trend safi ya kiroho, anafunga, anasali, anaomba and everything spiritually anakifatisha to the point kwamba zile karama zake mbali mbali za kiroho anazipokea na zinampa nguvu ya kufanya mambo mbalimbali makubwa ya kiroho.
Ila huyo mtu awe hajaoa au hajaolewa, Je kama akifanya/atafanya Ngono, is there a possibility nguvu zake za kiroho zikaondoka..?
Embu watumishi mnijibu kwa maelezo yanayoeleweka.
Ahsante.
Abraham naye hana akili kabisa kwa kuzini na kijakazi? Na yakobo? Mbona hawakuangamizwa?Wewe mwenyewe umesema hajaoa/hajaolewa, hiyo ni zinaa/uasherati.
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Wanawake je? Pia hawaruhusiwi kukutana kimwili na wanaume zao?Inawezekana,
Sisi waislam tukiwa katika kumi la mwisho la ramadhani pale mtu anapoamua kukaa itikafu (kujifungamanisha na msikiti kwa akili ya ibada) hairuhusiwi kukutana kimwili na mkewe
Pia, mahujaji (pilgrim) wakishahirimia (wakishaingia katika eneo la haram na kukusudia ibada ya Hijja) huwa hawaruhisiwi kukutana kimwili na wake zao
Kwahyo inawezekana kabisa
NdioWanawake je? Pia hawaruhusiwi kukutana kimwili na wanaume zao?