Akijibu nitag mkuuNini maana ya nguvu za kiroho?
Hapana.Hivi nguvu za kiroho ndo nguvu za kiume? 🤔.
Tafadhali nijibu kwa nyenyekevu mkuu.
Unapofanya mabaya tu unajitenga na Mungu, your positive energy diminishes. Ngono ni sehemu ya Maovu pia,Hopefully wote mko salama.
Naombeni majibu tafadhali,
Hivi ni kweli kwamba Ngono inapunguza nguvu za kiroho..?
Suppose mtu yuko kwenye trend safi ya kiroho, anafunga, anasali, anaomba and everything spiritually anakifatisha to the point kwamba zile karama zake mbali mbali za kiroho anazipokea na zinampa nguvu ya kufanya mambo mbalimbali makubwa ya kiroho.
Ila huyo mtu awe hajaoa au hajaolewa, Je kama akifanya/atafanya Ngono, is there a possibility nguvu zake za kiroho zikaondoka..?
Embu watumishi mnijibu kwa maelezo yanayoeleweka.
Ahsante.
Nguvu za kiroho ni nguvu ya ndani ambayo mtu hupata kupitia imani, maombi, au uhusiano wake na Mungu, na humsaidia kuwa na amani, uvumilivu, au uwezo wa kushinda mambo mbali mbali.Nini maana ya nguvu za kiroho?
Hapo sawa mkuu. Sasa nimejua kuwa kuna utofauti kati hizi nguvu mbili.Hapana.
Nguvu za kiroho ni nguvu ya ndani ambayo mtu hupata kupitia imani, maombi, au uhusiano wake na Mungu, na humsaidia kuwa na amani, uvumilivu, au uwezo wa kushinda mambo mbali mbali.Akijibu nitag mkuu
Embu jibu kwanza kabla hujauliza swali lakoYesu hakuoaga kwa sababu gani?
Ok
Ingekuwa kweli ngono isingekuwepogi,
Sasa ambao hawajaoa/hawajaolewa watimizaje haja zao..?Unapofanya mabaya tu unajitenga na Mungu, your positive energy diminishes. Ngono ni sehemu ya Maovu pia,
kwa kuzingatia dini yako,basi ngono ni ibada ila kama unazini hiyo ni kitu kingineHopefully wote mko salama.
Naombeni majibu tafadhali,
Hivi ni kweli kwamba Ngono inapunguza nguvu za kiroho..?
Suppose mtu yuko kwenye trend safi ya kiroho, anafunga, anasali, anaomba and everything spiritually anakifatisha to the point kwamba zile karama zake mbali mbali za kiroho anazipokea na zinampa nguvu ya kufanya mambo mbalimbali makubwa ya kiroho.
Ila huyo mtu awe hajaoa au hajaolewa, Je kama akifanya/atafanya Ngono, is there a possibility nguvu zake za kiroho zikaondoka..?
Embu watumishi mnijibu kwa maelezo yanayoeleweka.
Ahsante.
Sasa kama hujapata mtu wa kuoa/kuolewa nae, utimizaje haja zako..?Mradi uwe umeoa
kwa kuzingatia dini yako,basi ngono ni ibada ila kama unazini hiyo ni kitu kingine
Hizo nguvu mngezitafutia sababu nyingine hii ya Mungu ni kamba achaneni nayo tu bwasheeNguvu za kiroho ni nguvu ya ndani ambayo mtu hupata kupitia imani, maombi, au uhusiano wake na Mungu, na humsaidia kuwa na amani, uvumilivu, au uwezo wa kushinda mambo mbali mbali.
Huwezi kukosa mtu wa kuoa au kuoana naeSasa kama hujapata mtu wa kuoa/kuolewa nae, utimizaje haja zako..?
Sasa kama hujapata mtu wa kuoa/kuolewa nae, utimizaje haja zako..?
Thats only true kama umeamua kuoa kwa sababu ya kutimiza haja zako za mwili tu. Of which is a bad basis za kuingia kwenye ndoa.Huwezi kukosa mtu wa kuoa au kuoana nae
You are not a believer..?Hizo nguvu mngezitafutia sababu nyingine hii ya Mungu ni kamba achaneni nayo tu bwashee