Je, ni kweli Ngono inapunguza nguvu za kiroho?

Kuna ukweli hapa.
ni kwel sema watu hawaelew konekshen ya kiroho na sex.
Fuatilia tu kwa wenye madem wengweng unaweza ukalala na mdada mambo yako au biashara zikaanza kudorora(hapo itahtajika uoge dawa au maombi ya toba kujisafisha mwili) kuna mwingne ukilala nae utauza sana.

Na pili, wenye watoto wadogo akitoka kusex yan kuzin na mtu mwingne tofauti na mzazi mwenzie, haruhusiw kumgusa mtoto yule.

Akimgusa mtoto ataugua. Wengi hunawa majivu mkononi au kuoga dawa.
Majivu huondoa nguvu mbaya.

Mwisho..
Neno SEX - SEXAL ENERGY EXCHANGE Kwenye kusex huwa tunabadilishana nguvu kiroho.
piga uwa garagaza huwezi mkuta mtu kama diamond kalala na mdada wa hari ya chini nadhan mmenielewa hapo.
Baadhi ya watu wanaharibu maisha bila kujua

na tendo ni kama ibaada mwanaume unapopiga bao milango ya kiroho hufunguka sasa kama mwanamke wako anamikos bad energy au nzuri atakuambukiza.

ndo maana huruhusiw kulala na mdada aliye mwezin(period).
 


Hiyo no 3 inafanyikaje?
 
Nini faida na hasara za kuwa na hizo au kukosa hizo nguvu za kiroho?
 
Hiyo no 3 inafanyikaje?
Hii ni ngono ya kiwango Cha juu sana inafanywa na wabobezi hakuna umwagaji wa shahawa unatakiwa kuelewe shahawa sio maji, nguvu zako za kiroho zipo kwenye uchi unaweza kuifanya ngono no 3 na mke wako usimwage shahawa wala mkeo asifike kileleni Fanya mantra meditation ukiwa unafanya ngono no 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…