Je, ni kweli Rais Samia pamoja na kukopa sana, hakuna mradi aliouanzisha?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Salaam Wakuu,

Eti ni kweli Rais wa Tanzania awamu ya Sita hakuna mradi hata mmoja aliouanzisha?

Inadaiwa miradi anayopiga nayo picha ilianzishwa na Hayati Magufuli. Pia hayati Magufuli alikuwa amekopa mikopo ya kujenga miradi hiyo.

Hela ambayo samia Kakopa imeenda wapi?
 
Inadaiwa miradi anayopiga nayo picha ilianzishwa na Hayati Magufuli. Pia hayayi Magufuli is alikuwa amekopa mikopo ya kujenga miradi hiyo.📌🔨
 
Inadaiwa miradi anayopiga nayo picha ilianzishwa na Hayati Magufuli. Pia hayayi Magufuli is alikuwa amekopa mikopo ya kujenga miradi hiyo.📌🔨
 
Ameanzisha mradi kule Kizimkazi ndio tunao ujua,huku Tanganyika ni miradi ya Magufuli PEKEE.
 
Hela ambayo samia Kakopa imeenda imeenda wapi?🤔🥺🙌🏿
 
Hela yote imeenda Zanzibar, Watanganyika kazi yenu itakuwa kulipa tu.
Zanzibar ni sehemu ya Nchi yetu Jamhuri ya Muungano Tanzania. Miradi iliyoanzishwa huko ni sahihi kwa sababu ni miradi kwa ajili ya Watanzania.

Tunao mfuko wa Taifa ambao pande zote za Muungano zinachangia.
Ufafanuzi zaidi juu ya mfuko rejea hapa


Kuimarisha miradi kule ni jambo jema upande huo nao utakuwa na nguvu kubwa ya kutimiza majukumu ya kimuungano kwa maslahi ya Watanzania wote.
 
Tanganyika ni koloni la Zanzibar. Zanzibar ni nchi ambayo ina Rais wake, Katiba yake na Bunge lake, Rais wa Tanganyika ni raia wa nchi ya Zanzibar.
 
Fanya evaluation ya ilani ya chama utekelezaji wake katika kipindi chake!

Fanya evaluation pia miradi iliyokuwa bado haijakamilika tanga JP alivyotutoka .
Then utapata jibu na kuelewa juu ya fallacy yako.
 
Halafu bado mazuzu yanasema mitano tena kwa mzanzibari, kweli aliyewaroga Watanganyika kazi ameiweza.
Nilichogundua ni kwamba viongoz wote wa ccm mpaka wale wa chini wanachokifikiria zaidi cha kwanza ni matumbo yao na huyu mama alivyomjanja kawaacha wafanye madudu yote wanayoyajua

Sasa wengi wamefurahia hapo wapo huru kufanya lolote hawajui wanajiibia wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…