Je, ni kweli Rais Samia pamoja na kukopa sana, hakuna mradi aliouanzisha?

Kaanzisha mengi,
Goli la mama,
Samia regal aid.
Vijana wa mama,juzickaka na e wekeza, mfuko wa Ku wekeza kwa, watumishi wa umma, kama saccos vile,
Cha maana ni kiwanda cha sukari kipya cha bagamoyo, mengine yote ni upuuzi
 
Tanganyika ni koloni la Zanzibar. Zanzibar ni nchi ambayo ina Rais wake, Katiba yake na Bunge lake, Rais wa Tanganyika ni raia wa nchi ya Zanzibar.
Acha kujitoa fahamu mkuu .. you better than that.
 
siyo hilo tu vipi hela wanazotoa mashirika ya umma kama gawio huwa zinakwenda wapi? siamini kama wanaingiza hazina …
 
Inadaiwa miradi anayopiga nayo picha ilianzishwa na Hayati Magufuli. Pia hayayi Magufuli is alikuwa amekopa mikopo ya kujenga miradi hiyo.📌🔨
Magu alikopa wapi, au alifilisi fedha za wafanyabiashara na baadae zikaisha? Unadhani kuendeleza miradi mikubwa kama SGR, JNHPP na daraja lile la Mwanza inahitaji vifedha uchwara?

Au mulitaka Samia aiwache hiyo miradi na aanzishe mipya halafu museme fedha za serikali zimepotea bure?

Wacheni ***** ***** zenu, mulitaka Samia ajenge dunia nzima kwa miaka minne lakini haitawezekana.
 
Kwanini aanzishe mradi mpya wakati alikuwa kwenye serikali iliyoanzishwa na Dr magufuli.
 
Sasa hizi hasira zote za nini wakati tuko kwenye mjadala
 
Mradi aliouanzisha ni kugawa pikipiki na baiskeli kwa maskini ili wamchague.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…