Je, ni kweli Rais Samia pamoja na kukopa sana, hakuna mradi aliouanzisha?



Wewe wasemaje? Maana hii ni kama ramli chonganishi Alifu. 😂😂😂😂
 
Mradi mkubwa na kabambe aliuanzisha ni chawa na mabango!
Bila kusahau pikipiki, baiskel, kofia, fulana, mabasi nk nk vyooote vya mama!

Hii ni aibu kubwa kwetu sote. Instead of promoting intellectualism, we promote people with empty brains and heads, to speak on our behalf.

Who has given them that mandate? Wakati wa mjadala wa bandari na hata Loliondo, mambo yalijionyesha waziwazi. Chawa na uchawa ni hatarishi kwa uwepo na usalama wa nchi yetu. Njaa zao zikiendekezwa, tutajuta
 
Hata Mimi najiuliza hilo hilo swali. Japo nasikia sikia Zanzibar kunajengeka sana
 
Msalato airport mkataba ulisainiwa September 2021 na SGR Lot 4,5 na 6 mikataba ya ujenzi imesainiwa baada ya kifo cha Magu.

Ila bado ukopaji hauendani na kasi ya ujenzi maana miradi karibia yote inasuasua sababu ya ukata hasa ujenzi wa reli.
 
Wewe taja mmoja. Labda mradi wa kupoteza watu na kukabidhi rasilimali zetu Uarabuni
 
Ameua watu wengi kuliko watangulizi wake wote, hakika hii rekodi ya kujivunia sana kwake ukileta fyoko unatekwa, unateswa, unafirwa, unapotezwa , unauwawa, nani kama mama?
 
Amefanya kazi kubwa sana. Ameanzisha miradi mikubwa minne:

1. Kuteka na kuua wanaomkosoa

2. Na ulaji wa urefu wa kamba yako kwa anaowateua

3. Kuwasajili watanganyika wote wasio na akili kuwa machawa wake.

4. Kubandika mabango ya sura yake nchi nzima kwa gharama ya shilingi bilioni 300.
 
Ask Mpina +Gwajima
 
Muda wote Mitanganyika isiyo na Akili TIMAMU kama miLucas Mwasha mbwa badala ya kumsifia Mtanganyika mwenzao JOHN POMBE MAGUFULI ambaye kwa miaka yake ya Urais amelinda Rasilimali zetu,mijitu mijinga inashinda hapa inamsifia mtu aliyeuza bandari ,na mbuga za wanyama za Tanganyika,Alafu tukiwaambia mmeshaolewa wanaanza kukasirika,image ya magu ktk kuanzisha miradi mikubwa hakuna mpumbavu yeyote anayeweza kuifuta,pamoja na juhudi zote za kupaka matope image hiyo.Muda wote mama mama anatosha ,hv huyu mwanamke anatosha kwenye nn labda labda kupaka wanja,mipasho majukwaani, kuratibu utekaji na kuua watu wasio na hatia, anatosha sana huko labda na kujenga Kizimkazi nyumbani kwao Zanzibar.Mtanganyika JOHN POMBE MAGUFULI kafanya makubwa ambayo mipoyoyo yote iliyomo CCM na vilaza wote hawawezi kuona lkn MUNGU ANAWAONESHA KWA VITENDO na sio kwa kutumia machawa(wadudu).
 
Sasa hizi hasira zote za nini wakati tuko kwenye mjadala
siyo hasira Mshana lakini 'you are being very unfair to her', munamtwisha mambo ya maendeleo ya nchi nzima kwa kutaka ayafanye kwa miaka nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…