Je, ni kweli RC Paul Makonda alikuwa Dodoma usiku wa kuamkia leo?

Je, ni kweli RC Paul Makonda alikuwa Dodoma usiku wa kuamkia leo?

We mstaafu na ww unaandika huu utoto!
@tindo hata mfanye usanii gani.Mbowe hakwepi mkono wa sheria juu ya bil 8. Hajapigwa ila ameanguka.
 
Tukio kuu Kama hili lililoandaliwa na spika ajae then aache kuja haijawahi tokea mazee hii ndo first time
 
Mkienda Clubs muwe mnakunywa Pombe kistaarab kuepuka kudondoka kwenye ngazi usiku wa manane na kuvunjika Miguu kisha kusingizia Serikal
Kudhihirisha kwamba mbowe kadondoka kwa ulevi,hata chadema wamepigwa butwaa hatuoni ile mitaarifa yao kama wakati wa Tubdu lissu alipopigwa risasi
 
Kwanini aliitisha mkutano kama alikuwa na safari ya dodoma?
Rais wa Nchi yupo Dodoma, Je ni kosa mkuu wa Mkoa kwenda Makao Makuu ya Nchi? Kama rais lazima apate taarifa kila siku za kila mkoa
 
hilo mbona liko wazi, jiulizeni swali jepesi...kwann Bashite hata afanye kosa gani hatoguswa tofauti na viongozi wengine?!.

jibu ni KUNA SIRI NZITO ANATUNZA!.
 
Tanzania tunaanza kufikia patamu sasa...
Yaani utu umeyoyoma...
Chuki imetanda kila kona...
Muda wa kubishana kwa hoja haupo tena...
Bado kidogo tu watu wataamua kumwachia Mungu amekujichukulia maamuzi kadri wanavojua...
 
Back
Top Bottom