Je, ni kweli RC Paul Makonda alikuwa Dodoma usiku wa kuamkia leo?

Je, ni kweli RC Paul Makonda alikuwa Dodoma usiku wa kuamkia leo?

hilo mbona liko wazi, jiulizeni swali jepesi...kwann Bashite hata afanye kosa gani hatoguswa tofauti na viongozi wengine?!.

jibu ni KUNA SIRI NZITO ANATUNZA!.
Spika mtarajiwa juu ya sheria
 
Rais wa Nchi yupo Dodoma, Je ni kosa mkuu wa Mkoa kwenda Makao Makuu ya Nchi? Kama rais lazima apate taarifa kila siku za kila mkoa
Tambua ya kwamba ulitendalo Leo kwa mwenzio litajirudia kesho kwako
 
Watanzania ambao ni wajinga sana (retards) ni wengi sana. Alafu anakuja malaika na nia ya kuwaweka sawa! Nawaonea huruma watumishi hao.
 
Back
Top Bottom