Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Hahahaaa kumbe alikuwa ameutwika, kwa umbo lile akiporomokoma kwenye ngazi lazima avunjike aisee.Mkienda Clubs muwe mnakunywa Pombe kistaarab kuepuka kudondoka kwenye ngazi usiku wa manane na kuvunjika Miguu kisha kusingizia Serikal
lafaMkienda Clubs muwe mnakunywa Pombe kistaarab kuepuka kudondoka kwenye ngazi usiku wa manane na kuvunjika Miguu kisha kusingizia Serikal
Klauzfm ni dude gani?Bashite ndo tegemeo ccm kuongoza vikosi kazi vya kuteka na kuua, ndo aliyeongoza utekaji wa studio za klauzfm, shambulizi la lissu na hili la mbowe.
Afadhali hiyo ya kujipiga, mwingine humu kasema alikuwa amelewa akaporomoka kwenye ngazi Sasa amaisingizia serikali.'Atakuja hapa PASCHAL MAYALLA aka Njaa atasema Mbowe alijipiga na kujijeruhi mwenyewe." UMEUA MKUU... ETI Mr. NJAA UMEPATIA SANA.
@tindo hata mfanye usanii gani.Mbowe hakwepi mkono wa sheria juu ya bil 8. Hajapigwa ila ameanguka.We mstaafu na ww unaandika huu utoto!
Kwani ye ni RC wa dodomaRais wa Nchi yupo Dodoma, Je ni kosa mkuu wa Mkoa kwenda Makao Makuu ya Nchi? Kama rais lazima apate taarifa kila siku za kila mkoa
@tindo hata mfanye usanii gani.Mbowe hakwepi mkono wa sheria juu ya bil 8. Hajapigwa ila ameanguka.
View attachment 1473310
Event kubwa Kama hio asihutubie hata kwa simukwani alikosekana mwakilishi wa RC kuelezea agenda badala ya kuhairisha kikao
Tena kaonekana kabisa Dodoma hotel
Sidhani kama anaweza kufanya kishamba namna hiyo
Ninachomaanisha hata mzue uongo kuwa amepigwa mateke. Kashfa ipo pale pale.Kwahiyo kuanguka na kuvunjika ndio itazuia kashfa yoyote?
Kudhihirisha kwamba mbowe kadondoka kwa ulevi,hata chadema wamepigwa butwaa hatuoni ile mitaarifa yao kama wakati wa Tubdu lissu alipopigwa risasiMkienda Clubs muwe mnakunywa Pombe kistaarab kuepuka kudondoka kwenye ngazi usiku wa manane na kuvunjika Miguu kisha kusingizia Serikal
Tundu Antipass Lissu Alidondoka kwenye ngazi gani?Mkienda Clubs muwe mnakunywa Pombe kistaarab kuepuka kudondoka kwenye ngazi usiku wa manane na kuvunjika Miguu kisha kusingizia Serikal
Tundu Antipass Lissu Alidondoka kwenye ngazi gani?
Rais wa Nchi yupo Dodoma, Je ni kosa mkuu wa Mkoa kwenda Makao Makuu ya Nchi? Kama rais lazima apate taarifa kila siku za kila mkoa
kwako Risasi 32+ ni mateke?..somo hicho ulicho qoute!.. tafadhali fikiria japo kidogo tu,,kutumia akili sio dhambiSerikal gani ya Kidikteta iliyowahi kumdaka kiongozi mkuu wa Upinzan na kuishia kumpiga Mateke?