Je, ni kweli Samia alitengwa na Marais Wanawake kwenye Mkutano wa AU?

Kwahiyo haya maneno waliambiwa watanganyika??
 

Hizo siku atakuwa alipiga NYAGI za kutosha.
 
Mikosi na mabalaa havitakuacha, kwa huu ushenzi unaofanya.

Huwezi kusifu na kujitapa kwa mauaji yaliyotokea.

Umeamua mwenyewe kuwa sehemu ya dhambi na laana... na lazima vitakuwa nanyi...
calm down gentleman,
ukweli una tabia ya kukera sana ndugu mdau, lakini itabidi uzoee tu,
hizo poroja zingine nonsense na ni useless tu hata kwa wadau makini wa JF
 
Gentleman,
peleka porojo na uzushi wako nonsense kwa reporter wenu useless Lary Madow mkalenjini wa Eldoret pale Kenya, ndie pekee anaweza kufurahia porojo zako za kimamluki

Gentleman 😄
Na wewe heshimu nyuzi za watu kama wao wanavyoheshimu nyuzi zako

Punguza munkari
 
Gentleman 😄
Na wewe heshimu nyuzi za watu kama wao wanavyoheshimu nyuzi zako

Punguza munkari
hilo ni jambo la maana sana gentleman,
ndio maana kwenye nyuzi useless, binafsi maoni yangu hua ni mafupi mno napoona content ya uzi husika ni completely nonsense, na kiuhalisia katika haki ya kutoa maoni, comment yangu hua ni heshima kubwa sana dhidi ya uzi huo nonsense
 
Punguza kuwa

Punguza kuwa ZEZETA walau kidogo
 
Unajisikiaje kuwa chawa?
tuliza mihemko hasa ukifikia ukomo wa fikra mpya na mawazo mbadala dhidi ya maoni ya wadau wa JF,

Just relax gentleman otherwise utaanza kuporomosha matusi useless soon
 
ikiwa uko pointless ni vizuri kurelax kuliko kumbwelambwela nonsense jukwaani, right gentleman?
hahahhhahahaha! Sasa kati ya mimi na wewe nani anambwelambwela? We hata kwenye threads za kesi ya lisu huwa unambwelambwela kisa umelipwa buku 7 sasa ili ipande inabidi uonekane unafanya kazi ya uchawa kwa bidii!! Hahahahahhhaha! Ni shida tu mwanawane!
 
Tulimpinga Magufuli tangu mwanzo, umesahau tulikuwa tunamuita dikteta uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…